The White House (Ikulu), also known in English as the State House, is an official residence and workplace of the President of the United Republic of Tanzania. The current building, then called Government House, was constructed under the first British Governor of Tanganyika Horace Byatt in 1922 to the designs of architect John Sinclair. It is built on the remains of the original building constructed by the German administrators of German East Africa that had been damaged by the Royal Navy in December 1914. The south wing was added in 1956 to honour the visit of Princess Margaret, Countess of Snowdon and retains the name The Princess Margaret Wing to this day. The building was renamed State House on independence.
The State House blends African and Arabian architecture, with wide verandahs and covered walkways. It is white-walled with floors of African terrazzo, and stands in over 33 acres (13 ha) of grounds overlooking the Indian Ocean on the east and Dar es Salaam to the west. The brass-studded west doors are surmounted by a replica of the Republic's Coat of Arms and flanked by two giant drums. During 2001 one of the entrances after the car gates was adorned with two male Lions overlooking guests as they would be welcomed to the State House of The United Republic Of Tanzania.
The building contains a number of gifts from state visitors, including an Ethiopian shield with crossed spears, given by Emperor Haile Selassie and a representation of the coat-of-arms of the Republic of Tanganyika, given by the government of India in 1961, that acts as a backdrop to the President's seat in the Council Chamber.
Kiuhalisia Ufisadi huu wa Leo unaoibuliwa na Mange Kimambi, Kuna uwezekano Mkubwa chimbuko lake ni Ikulu, na wahusika wa Karibu ni Waziri wa fedha na Governor wa BOT, na Kwa kiasi kikubwa Wafanyabiashara wakubwa wanahusika Kwa kukwepa Kodi kupitia Ikulu na vyombo vyake, mtu kama GSM ana tabia ya...
Moja ya sababu kubwa iliyomfanya Magufuli asikae Magogoni ilikuwa ni nguvu za giza ambazo ziliachwa mle.
Polepole amesema hawa jamaa wanakushambulia kwa mbinu zote ikiwemo hizo za giza. Na akasema ilibidi Magufuli ahamie Dodoma kabla Ikulu haijakamilika ili akae apate utulivu wa nafsi na...
Tunapoelekea kuzindua kampeni za uchaguzi unaotarajiwa kufanyika siku 61 zijazo, tume huru ya Taifa ya uchaguzi {INEC} ikiwa imeteua wagombea 17 wa kiti cha urais, chama cha Mapinduzi {CCM} kina silaha 3 muhimu katika uchaguzi mkuu huu wa 2025, ambazo ni;
1. Rekodi ya utekelezaji wa ilani ya...
Nadhani IKULU Sasa zilitakiwa ziwe wazi, kila mgombea atokee kwke akambe KAZI ya kuajiliwa kuwa Rais
Inakuaje Samia analala IKULU? Chanzo ni katiba MBOVU,
Kama majimbo hayana wabunge, kama wizara hazina waziri ni wakati mwafaka Sasa
Mgombea wa CCM atokee IKULU aombe kibalia IKULU atokeeeee
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Taifa Letu lipo mikononi Mwa Kiongozi Mcha Mungu, kiongozi mwenye hofu ya Mungu, kiongozi mwenye Kumjua Mungu na kujua yeye siyo chochote mbele za Mungu. Taifa linaongozwa na lipo Mikononi Mwa Kiongozi anayejua Ukuu wa Mungu na anayejua kuwa Mungu ndiye alfa...
Wakati ule tulisema Christopher Mtikila sio yeye yule kabla hajaenda kusoma Ulaya,labda wazungu wametuletea Christopher Mtikila mwingine,sasa na huyu ndugu yetu Mwabukusi labda si yeye kuna waarabu watakuwa wamembadilisha ubongo au AI,inawezekana kabisa huyu sio Mwabukusi.
Tukatae au tukubali kuna namna Sisi waislamu hawa viongozi wa kisiasa au kiserikali wanavyotuchukulia au kuna namna hawa maaskofu hasa hawa wakatoliki wanavyojipostion aisee very educated on sasa sie mashekhe zetu tumekusanywa ukumbini tukipiga soga na kupewa alkasusi pamoja na juice ya bakhresa...
https://www.youtube.com/watch?v=b3GTpUdBkQs
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma, tarehe 26 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.
Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae.
Watanzani...
Mdogo wake Rostam alikuwa na msala pale Mahakama ya Kisutu.
Rostam.... alienda kumuona John Pombe Magufuli, muda mfupi baadae mdogo wake Rostam aliachiwa.
Mbona Pole pole hakujiuzuru kupinga hili? Tena lina ushahidi tofauti na hilo la mgodi wa makaa ya mawe?ni uongo wa dhahiri kwamba Polepole...
Tuna haki ya kuhoji: Mtu huyu ana rekodi chafu na ana kesi nchini Afrika Kusini lakini jana amebainisha mwenyewe kuwa alikuwa nchini, saa chache kabla ya Harambee ya CCM.
Hapa kuna ujumbe gani kwetu?
Hivi ni rekodi ambayo haitakuja kuwekwa hivi karibuni tangu demokrasia ya vyama vingi mwaka 1992. Tutamaliza salama miaka 25 kibindoni tukiwa Ikulu. Inshallah!
Wakuu,
Hili ni tukio la kichama, katika shughuli ambayo kama atafanikiwa basi acc hizo za ikulu ndio zitatumika kirusha matukio yake.
Kwanini zinatumika leo Samia akienda kuchukua fomu kama mgombea wa CCM, ni kwamba wameshapitisha kwamba yeye ameshakuwa Rais?
Vyama vingine vikienda kuchukua...
Ndugu Polepole,
Salaam!
Tangu ujihuzuru nafasi ya Balozi huko Cuba umekuwa na mlolongo wa ushauri kwa Rais wa Tanzania na watanzania. Ushauri huo umefuatana na baadhi ya malalamiko ktk maeneo kadhaa, ikiwemo:-
(a). Uchaguzi ndani ya CCM;
(b). Haki za kibinadamu;
(c). Kalenda ya Uchaguzi...
Muungano wa Tanzania na Zanzibar ni kitu nyeti cha thamani kubwa sana kinacholindwa kwa gharama yoyote, yaani kwa gharama yoyote ile.
Na watu walioapa kuulinda Muungano kwa gharama yoyote wapo na ni wengi sana pia. Hivyo, hakuna Rais ambae yuko tayari kuona Muungano unamfia mikononi mwake; kila...
Pole pole episode ya NNE
Itawafanya kamati kuu kutizamana
Je mwajua itazungumzia Nini?.
Kikubwa ni chanzo Cha kifo Cha Hayati Magufuli na watatajwa wote walio usika na ushahidi wake
All the best
Ila Kassimu Majaliwa na Desdory Mpango hawako salama
Picha za Ikulu ya Nairobi, Kenya.
Angalia mazingira, Angalia muonekano wa ndani, angalia mpangilio wa vitu
Chini Picha za Ikulu ya Chamwino Dodoma Tanzania
Angalia mazingira, angalia mipangilio ya ndani n.k. Ni kama tumepigwa vile
No Reforms No Election ✊️ ✌️
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.