Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillius Wambura amesema matukio ya utekaji, ujambazi na uporaji yamedhibitiwa kwa kiasi kikubwa katika kipindi cha miaka minne iliyopita.
IGP Wambura ameyasema hayo leo, Jumatatu Juni 9, 2025 jijini Dar es Salaam wakati wa kufunga Kozi ya Maafisa na...