icc

The ICC Champions Trophy is a One-Day International (ODI) cricket tournament organised by the International Cricket Council. The 2013 tournament was intended to be the final edition of the Champions Trophy, but it was extended to 2017 due to its widespread popularity. In 2018, the ICC decided to replace the tournament with the World Twenty20 championship to be held every two years, and no Champions Trophy was contested in 2021. However, as part of the 2021 Future Tour Programme, the event was reinstated for the 2025 cycle onwards. In November 2021, the ICC confirmed the tournament would next take place in 2025 in Pakistan, with India hosting the tournament in 2029.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kamanda wa Janjaweed ahukumiwa jela miaka 20 na ICC.Je, walioua watu oktoba 29 watapona?

    👇
  2. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kauli za Viongozi, Taasisi za Serikali zinazozuia watu kutumia Uhuru wao wa demokrasia nao wapelekwe ICC

    Kumekuwa na kauli za Viongozi wa Kiserekali na Taasisi zake ambazo zimekuwa ni za upande moja au upendeleo Kwa minajili ya kutishia au kuzuia raia kutumia Uhuru wao wa kidemokrasia. Mojawapo wa hizo kauli za Viongozi wa kipolisi kutishia Vyama Vya upinzani na raia, Kwa kinachoitwa uvunjifu...
  3. Mudawote

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mimi siyo Mchawi ila Wafuatao inabidi wapotee kiushahidi MO29 kabla ya kesi ya ICC

    GTs, Mimi siyo mtabiri ila naona kabisa wafuatao (ongezea) inabidi wapotezwe na yule aliyewatuma wafanye mauaji MO29. Yaani iko hivi kesi ya ICC ili iwe na nguvu lazima pawe na watu watakao kiri kuwa walitumwa na aliyewatuma kuua. Ila kama hawapo kesi ya MO29 itakuwa haina nguvu. Hivyo...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ICC wakitoa Arrest Warrant ya Samia na wenzake tutawaomba Marekani na EU waombe Baraza la Usalama UN likubali kuundwa Taskforce kufanya ukamataji

    Hili lilishawahi kufanyika huko nyuma wakati Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Yugoslavia ilipotoa amri za kuwakamata Washtakiwa waliohusika na Mauaji ya Kimbari kwenye vita ya Yugoslavia. Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipitisha kuanzishwa kwa Taskforce ya kijeshi ambayo ilifanya kazi...
  5. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ICC, Maendeleo ya Kesi ua Uhalifu dhidi ya Utu

    Mahakama ya ICC Inasema ilipokea mashtaka ya uhalifu dhidi ya ubinadamu. Kesi hiyo ilifunguliwa na taasisi za kimataifa zinazotetea haki za binadamu, ambapo mashtaka makubwa ni pamoja na: 1. Mauaji ya maelfu ya waandamanaji 1. Utekaji, mauaji na upotezaji wa wapinzani wa kisiasa, wanaharakati...
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Unauliza nguvu ndogo ndo ipi? Kwa hiyo nguvu kubwa ndo kuua kwa risasi, kuzika kwenye makaburi ya halaiki na kuzuia majeruhi kutibiwa? Tukutane ICC

    Kwa kiburi kabisa, akiwa mbele ya Camera anasema kwa kujiamini kabisa eti nguvu ndogo ndo ipi? Kwa akili zake kabisa akaona yale ndo aongee mbele ya camera tena akiwa anarekodiwa? Kwa hiyo aliambiwa nguvu kubwa inayofaa ndo kuuwa watu wa risasi za moto kwa makusudi? Kuwazika kwenye makaburi ya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kutokana na hotuba ya leo, ni kukaza ICC intervention. Amedhamiria kuwasafisha watanganyika

    This is my observation. No more No Less
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Tanzania Considers ICC Exit as Court Faces Accusations of Unfair Targeting of Africa and Western Bias

    Tanzania may soon consider leaving the Rome Statute of the International Criminal Court (ICC). This debate has grown stronger after recent calls on the court in The Hague from Lawyers for the victims, backed by groups like the World Jurists Association and the Madrid Bar Association to...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ikiwa rais Samia na watuhumiwa wenzake huko ICC watakamatwa, Nani atashikilia kiti cha urais?

    Kuna Mbinyo unabinywa kwa nguvu. Kuwa wale wote wanaotuhumiwa kwa mauaji ya raia wasiokuwa na hatia Oktoba 29 mpaka Novembee 4 20205 wakamatwe na kufikishwa The Hague Uholland. Mtuhumiwa wa kwanza anatajwa kuwa Rais Samia na wenzake. Je , wakikamatwa na ICC nani anatakiwa kukalia kiti cha...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania D9 dunia nzima itakuwa inaiangalia Tanzania, kitendo cha kuua hata mmoja tu itakuwa One Way Ticket to ICC

    UN is watching YOU. AU is watching YOU. EU is watching YOU. SADC is watching YOU. ICC is watching YOU. EAC is watching YOU. COMMONWEALTH is watching YOU INTERNATIONAL NGO's are watching YOU. COUNTRY FRIENDS are watching YOU. NEIGHBORS are watching YOU. YOUR FRIENDS are watching YOU. TANZANIA...
  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwigulu na 'PhD' yake, kama kweli anayo, anajua ICC?

    Naona kama bwana Mkumbo Madelu aka Mwigulu Nchemba anaitwa ICC soon. Sijui kasomea nini lini na wapi hadi awe zoba na zwazwa hivi? Hivi, kwanini haoni kuwa amemua kujitupa kwenye tanuri alilokoka Samuya na Kikwkwekwe? Msaidieni jamani wenzake mliomo humu. Niwasilishe.
  12. Emekha Ikhe

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ijue safari ya ufunguaji kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu (ICC) kwa muktadha wa hali ya Tanzania

    UFUNGUAJI WA KESI KATIKA MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA UHALIFU ICC KWA MUKTADHA WA HALI YA TANZANIA Naomba nitumie lugha rahisi kwa Ufafanuzi ambayo hata asiye mwanasheria aelewa ili kuendelea kutoa Ushirikiano wa taarifa za uhalifu wa Haki za Binadamu uliotokea Kabla, Wakati na baada ya Kilichoitwa...
  13. aise

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi ICC inavyofanya kazi, wahusika wa mauaji ya Oktoba 29, 2025 hawatafikishwa kwenye hiyo mahakama

    Habari za jioni wakuu! Mauaji yaliyotokea October 29 2025 hapa nchini, wengi wetu matumaini ya kupata haki yako ICC, ila kwa jinsi mahakama hiyo inavyofanya kazi, ni ngumu kupata haki huko. Kwanza ICC haina 'Jeshi wala Polisi' Inategemea majeshi ya nchi husika kumkamata mtu, sasa kwa jeshi...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Viongozi 10 wa Afrika waliowahi kufikishwa ICC

    BBC. 1. Uhuru Kenyatta (Kenya) Uhuru Kenyatta Rais mstaafu wa Kenya. Alifunguliwa mashitaka Machi 2011 kwa makosa matano ya uhalifu dhidi ya ubinadamu. Kenyatta alidaiwa "kulidhibiti kundi la Mungiki" na kulielekeza kufanya mauaji, uhamisho, ubakaji na aina nyingine za unyanyasaji wa...
  15. Emekha Ikhe

    JamiiForums Tanzania The Laws and Core Legal Text Governing the International Criminal Court (ICC)

    THE LAWS AND CORE LEGAL TEXT GOVERNING INTERNATIONAL CRIMINAL COURT (ICC) Alphonce Lusako (Adv) Following the fact that, The International Criminal Court (ICC) has been asked to investigate alleged mass killings as part of grave Human Rights Violations during a crackdown on post-General...
  16. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Zanzibar hayupo kwenye list ya ICC?

    Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar, rais wa Zanzibar ndiye amir jeshi mkuu wa vyombo vya usalama Zanzibar. Ndiye mwenye mamlaka kwa vyombo hivi. Ndio maana vyombo vinampigia Mwinyi mizinga na siyo Samia. Kwa maana hiyo, rais wa Zanzibar ndiye aliyetoa order ya vyombo vya Zanzibar, KMKM kuja bara...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuangallia picha na Video zilizopelekwa ICC, nina Maswali Kadhaa

    Kuna baadhi ya picha ni Screenshot za Watu walipost Twitter(X), Instagram Facebook nk. 1). Je, wale waliopost hizo Picha Mtandaoni ndo Watakuwa Mashahidi? 2. ICC wanapokea Ushahidi wa Screeshot? Bila link husika? 3). Je, hawa waliopost hizo Picha ambazo zimekuwa screeshot, wakifuta ushahidi...
  18. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Mambo machache usiyoyafahamu kuhusu jela ya ICC

    Mambo machache usiyoyafahamu Kuhusu Kituo cha Kuwazuilia washitakiwa wa ICC 1. Ni jela Ndani ya jela: Jengo kuu ni gereza la Uholanzi linalofanya kazi kikamilifu, na ndani yake kuna kitengo chenye wafungwa wa kimataifa wenye sheria na kanuni zake. Muonekano wa lango kuu la jela hiyo 2...
  19. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Naomba elimu kuhusu kesi iliyofunguliwa ICC dhidi ya Samia et al

    Imefunguliwa kesi na wanasheria wa ulaya, je wanasheria wetu au UMMA wa TANZANIA utahusikaje katika kuendesha kesi hiyo in terms of kutoa ushahidi
  20. Criss

    JamiiForums Tanzania ICC wakishatoa hukumu utekelezaji utakuwaje?

    Wazee tukubaliane tu Maza na wenzake ndiyo wameenda hivyo, hiyo imeisha . Waandishi wa yale mashtaka wanaweza kuwa ni majini au viumbe wa ajabu iabisa coz siyo kwa mpangilio ule aagh!🫢 Ukitaka kuelewa angalia Mpangilio wa makosa yanayomkabili yeye na wenzake kisha gawanya na viwango vya...
Back
Top Bottom