icc

The ICC Champions Trophy is a One-Day International (ODI) cricket tournament organised by the International Cricket Council. The 2013 tournament was intended to be the final edition of the Champions Trophy, but it was extended to 2017 due to its widespread popularity. In 2018, the ICC decided to replace the tournament with the World Twenty20 championship to be held every two years, and no Champions Trophy was contested in 2021. However, as part of the 2021 Future Tour Programme, the event was reinstated for the 2025 cycle onwards. In November 2021, the ICC confirmed the tournament would next take place in 2025 in Pakistan, with India hosting the tournament in 2029.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mashtaka ya ICC: Wakichomoka kwenye kesi ya maandamano, bado watakabiliwa na kesi ya enforced disappearance. Wana wakati mgumu sana

    Baada ya kusoma mashitaka waliofunguliwa katika Mahakama ya kimataifa ya ICC, huu ndio ukweli wanaokwenda kukabililiana nao na hapo sijataja kosa la kuwaondoa wamasai kwa nguvu kule Loliondo mkoani Arusha. Tukumbuke kwenye hayo mashitaka ya enforced disappearance ambayo ni mashitaka yanayohusu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Chama cha Mwalimu, Chama cha ukombozi wa Afrika, Chama cha kijamaa, leo imeshtakiwa ICC. Julius Nyerere anabingirika kaburini

    ROSTAM AZIZ, Mweka Hazina Mstaafu wa CCM, anasema alipoanza mishe zake chamani, alikuta fomu za CCM hazina mahala pa kujaza MFANYABIASHARA. Chama kiliundwa kwa raison detre (SABABU YA UWEPO) ya kupigania wanyonge, masikini wa kutupwa, wakulima na wafanyakazi. Yeye anasema akasukuma...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Watanganyika tutawapa ushirikiano wa kila hali na namna Mahakama ya ICC hadi wafuatao muishie jela na iwe fundisho milele

    1. Samia Suluhu Hassan 2. DGIS Selemani Mombo 3. IGP Camilius Wambura 4. CDF Jacob Mkunda 5. Mkuu wa Operesheni TISS Fadhili 6. CP Awadhi 7. SACP Mafwele 8. Mshauri wa Rais Siasa Bw. Kheri 9. Mohamed Mchengerwa 10. Abdul Ameir 11. Mkuu wa CMI Meja Jenerali Mkeremi. 12. Chief of Staff...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wameua watu wengi hadi wanaogopa kutaja idadi wa watu. Tukutane ICC

    Walianza na singeli kuwa waandamanaji ni watu wa nje Wakaja na singeli kuwa waliahawishiwa Wakamalizia na singeli kuwa wamelipwa. Mara eti wamechoma mali, mara wameua polisi. Wanaulizwa swali moja tu. Mmeua wangapi ? Wanashindwa kujibu. Uzuri mshaelekea kibra na ICC wanawasubiri kwa hamu...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya Nje na Jumuiya za Kimataifa ili zituelewe ni lazima IGP apelekwe ICC kushitakiwa

    Ili Jumuiya za Kimataifa na Mataifa ya Nje ziweze kutuelewa ni vyema IGP aweze kupelekwa The Hague - ICC kufunguliwa mashitaka ya mauaji yaliyofanyika. Hii itasaidia Sana IGP wajao wasiweze kutoa AMRI kama hizi katili za kuua watanganyika na kutoa AMRI za Curfew za kibabe. Chao
  6. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakili Revocatus Kuuli: Hakuna nchi yoyote Mwanachama wa ICC inaweza kukwepa kuchunguzwa

    Akiongea na Wakili TV Revocatus Kuuli wakili wa mahakama ya ICC amesema "Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) inaweza kumshtaki hata Rais akiwa madarakani" Afafanua hali hiyo, je wafungwa waliopatikana na hatia wanapelekwa jela ipi Fedha za kuendesha kesi ICC hutoka wapi Mawakili wa...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Siku ICC ikiomba google itaje wasiojulikana walikuwa wanatumia google map location kujua makazi mtabaki midomo wazi. Nawapa stori ya kweli

    Hii ni kweli kuwa dunia unaweza kujiona umejificha kumbe hupo uchi. Kuna kijana mmoja huko Marekani mwenye asili ya asia raia wa Marekani, ni kijana mdogo wale vijana wanaopitia ujuaji na ujanja wa UVCCM mfano tu. Wakati wa matembezi alitokea kibaka na kupora simu yake ya iphone na ile simu...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania ICC yazidi kunukia kwa Samia na Wakuu wa Vyombo. Mbunge wa Congress Marekani ataka Uchunguzi huru Mauaji ya raia Tanzania

    Nilisema na nitasema tena. Huwezi ua maelfu ya watu alafu Dunia ikakuacha. Mbunge wa Bunge la Congress Marekani Ayanna Pressley ametoa tamko kudai uchunguzi huru wa Kimataifa kuhusu mauaji maelfu ya Watanzania yaliyofanywa na vyombo vya Ulinzi wa Usalama wakati na baada ya uchaguzi. Ikumbukwe...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nitashuhudia watawala wetu na wakuu wa Usalama wakitakiwa kutii amri ya ICC bila shuruti

    Naamini ICC itawaita Mahakamani kiungwana TU huko the Hague. Hivyo naamini watatii amri ya ICC bila shuruti. Sisi raia wa kawaida hayo ndio maisha yetu ya Kila siku,pale tunapokamatwa na Mapolisi wetu. Uki over speed TU,unaombwa leseni,ukibisha unaambiwa tii amri bila shuruti. Kama namuona...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tucheke pamoja (UTANI): Utetezi wa Samia, DGIS, CDF na IGP mbele ya Majaji Mahakama ya ICC

    Samia- Waheshimiwa Majaji, mimi sikutoa maelekezo yeyote kipindi cha Uchaguzi. Nchi ilikuwa chini ya mwanangu Abdul na Msaidizi wangu Kheri. Hawa ndo walikuwa wanawasiliana na DGIS, IGP na CDF DGIS- Waheshimiwa Majaji. Mimi sijui lolote. Hata kwenye Taasisi yangu hakukuwa na chain of comand...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kamishna Mkuu Haki za Binadamu UN ataka uchunguzi mauaji ya Uchaguzi Tanzania, Lissu na wengine waliokamatwa kuachiliwa

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, leo ameitaka Serikali ya Tanzania kufanya uchunguzi kuhusu mauaji na ukiukwaji mwingine wa haki za binadamu uliofanyika katika muktadha wa uchaguzi wa Oktoba 29. Hii inafuatia taarifa zinazoeleza kuwa miili ya watu waliouawa...
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ngoma inogile. Baada ya Vyombo vya Kimataifa kumwaga ukweli, Wahutumiwa wa Mauaji wanaweza kushtakiwa popote sio lazima ICC

    Kwa mujibu wa Sheria za Nchi mbalibali duniani Mahakama za Nchi husika zinaweza kutoa hati ya Kukamatwa Wahutuhumiwa Wanaotuhumuwa kutenda Makosa dhidi ya Binadamu. Kwa kuwa Chombo kikubwa kabisa cha habari duniani CNN kime confirm kuhusu vyombo vya Ulinzi na Usalama kuua raia kipindi na baada...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa huu ushahidi uliowekwa na CNN, Samia, DGIS, CDF na IGP tukutane ICC

    Heko CNN Ukisikia investigative Journalism ndo hii sasa. Ukisikia uandishi wa habari wa kiuchunguzi ndo huu. Dunia imejua rasmi kilichotokea Tanzania kipindi cha Uchaguzi na baada ya uchaguzi. Yafuatayo; 1. Samia, CDF, DGIS na IGP tukutane ICC. Jinai haifi wala haiozi. Ni suala la muda tu...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Muhaho wa Samia: alitaja taasisi zote zitakazomtembeza na viatu kichwani akashindwa kuitaja ICC

    Wote mmemsikia na mmemuona hata alivyokuwa akizungumza huku hawezi hata kuwatazama wajumbe wake wa tume yake ya mchongo. Soni kama yote na huku alijikuta yeye mwamba kuua watoto wadogo katika namna ya kihalifu kabisa. Yan huyu ni mhalifu sugu. Na mimi swali moja najiuliza kwanini alilenga kuua...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hatari ya kushitakiwa ICC: Waliogiza raia wauawe ovyo ovyo, watarudia kosa hilo Desemba 9 ?

    Hili ndio swali ambalo binafsi najiuliza hasa ikitokea raia wanaandama kwa wingi na kwa amani huku media za kimataifa zikiwa zinafuatilia kwa karibu (zinakusanya ushahidi) kwa njia mbalimbali ikiwemo kutumia picha za satellite . Mtazamo wangu: Kwasababu limeshafanyika kosa na kuna juhudi za...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tunataka ICC ije kuchunguza mauwaji yaliyofanyika kabla na wakati na baada ya uchaguzi na sio muhalifu ajichunguze mwenyewe

    Tunataka ICC ije kuchunguza mauwaji yaliyofanyika kabla na wakati na baada ya uchaguzi na sio muhalifu ajichunguze mwenyewe.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Swali: Ikitokea mtu akapelekwa ICC, je Makamu wake anapona?

    Just for curiosity! Anaweza kuwa treated as an accomplice? Kama Mods will spare this let us educate each other
  18. kyagata

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa nini mpaka sasa hakuna mtanzania aliyefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji?

    Sijui mambo ya sheriia za kimataifa yalivyo. Nilikua naomba kufahamishwa, mbona mpaka sasa hakuna Mtanzania au taasisi yoyote ambayo imefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji? Au utaratibu wa kufungua kesi huko icc ukoje wakuu? ==== Majibu kutoka kwa wadau
  19. Poker

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachunguzi wa ICC tayari wapo Kenya kwaajili uchunguzi

    Kwa taarifa za kunyapia nyapia tayari icc wametua nchini kenya tayari kwa kuanza uchunguzi wao. Taifa la denmark kupitia kwa mfalme wake imesema inasimama nyuma ya watanzania na wao ndio waliofungua mashitaka huko ICC. Pia mwanamfalme huyo anaunga mkono maandamano ya 9/12/2025 akisema tayari...
  20. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wauaji na Watekaji Kamwe Hawawezi Kujichunguza Wenyewe, Tunataka Wachunguzi Toka ICC, Tume ya Haki ya Umoja wa Mataifa, African Union na SADC

    Huyu bibi anawafanya Watanganyika ni viumbe wasio na akili. Eti anathubutu kutamka kuwa ataunda kamati ya uchunguzi dhidi ya Mauaji yaliyofanywa kuhusiana na uchaguzi! Hii ni kejeli, matusi na dharau kubwa kwa Watanganyika. 1. Wachunguzi binafsi wametamka wazi kuwa waliowaua Watanganyika, ni...
Back
Top Bottom