Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 21,384
- 56,037
Mahakamani ulikuwa uwanja wa hudhuni sana watu wamelia kwa uchungu sana hata Katibu mkuu John Mnyika ametokwa na machozi hasa pale Tundu Lissu aliposema kama mnanifanyia hivi Mimi mjuzi wa Sheria mmeniweka Gerezani Mwaka mzima kwa makosa ya uongo.
Vipi kuhusu watanzania wasiojua Sheria 😭
Vipi wewe unayesoma hapa ukipewa Kesi ya UONGO Baba yako hajulikani hata na Diwani wa Kata ambaye aliingia madarakani kwa ile hali ya 29 October?
Mama yako hajulikani hata na mtendaji wa kata ?
Haki kwanza