huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Andunje mpenda Magoli. Huyu jamaa hatumpendi lakini tukubali. He is something. Hapoi , Haboi

  2. N

    JamiiForums Tanzania Ananisumbua sana huyu mwanamke

    Wakuu Nina ndoa ya miaka 10 wife ana sumbua sana anataka tuachane sababu siijui amekubali na dharau sana anafai nimpe nauli arudi kwao hanitaki tena. Tumezaa watoto watatu tunaishi Mwanza, yeye kwao ni Mbeya na mimi kwetu Singida. Nipeni ushauri wakuu. Tumejenga nyumba moja na biashara ya duka
  3. JamiiForums Tanzania Ni maneno gani ukikuta mtu kakomenti humu jukwaani unajua kabisa huyu kavurugwa na maisha?

    Ciao, Kuna baadhi ya watu humu jukwaani wamevurugwa na maisha kwa iyo wasikusumbue akili. Utawajua kwa hizi komenti 👇 "Jiandae urudi shule" "Kwan shule zimefungwa?" "Hama apo kwa shemeji yako 😁" "Unahitaji kumeza dawa zako" "Tafuta hela" "Njoo pm" "Mwanaume mzima unawaza mapenzi?"...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Huyu ananinyima tu au ni kweli?

    Wakuu,nimeamka na nyege zangu leo,nikacheck phone book yangu demu wa kupiga chapchap,huyu mmoja kanijibu eti yuko tarehe za mimba. Hivi kuna mtu mzima analogous mimba kweli?
  5. JamiiForums Tanzania Kazi wanazofanya Watu Weusi Marekani Sio Kubeba Box ,Dada huyu kwenye Video Ametupa Ubuyu

    My Take Bora nibakie nyumbani Tanzania kubeba zege kuliko kusafisha Mavi ya wazee na Watoto wa Kizungu 😆😆😆👇👇 https://www.instagram.com/reel/DY4s2xCIHzu/?igsh=aWlrNjB6M2NrNjhh
  6. JamiiForums Tanzania Jamaa aliewadanganya wapalestina waendelee kupambania nchi hewa huku yeye akijikusanyia mabilioni. Mtoto wake yupo france na ndio mrithi wa mabilioni

    Jenzii wengi hawawezi kumuelewa huyu tapeli
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kabla ya sasa hivi tulishwahi na Waziri wa Fedha Mzanzibari kwenye muungano?

    Kwa nijuavyo, hatujawahi kuwa na waziri wa fedha mzenj tangia Nyerere hadi Magu. Najua Fedha si suala la muungano huenda ndiyo maana wote wenye akili timamu waliamua kutokuwa na mawaziri wa fedha wazenj. Je, ilikuwa ni ubaguzi, upendeleo, au mahitajio ya katiba ya JMT? Imekuwaje Samuya...
  8. JamiiForums Tanzania HUYU MBUNGE ASIRUDI JIMBONI MAANA HAJUI KIJANA NI YUPI

    Wana jamvi naomba tumsikikize Mbunge wetu kupitia chama tawala. Inanipa shida kuamini kama anajua maana ya vijana au wazee. Kwangu mimi ningemshauri arudi darasani badala ya kurudi jimboni Kwale maana vijana hakuwatendea haki.
  9. JamiiForums Tanzania Je unahisi huyu Waziri ni nani ???

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema Serikali iko tayari kuchukua hatua za kisheria dhidi ya kiongozi au mtumishi yeyote wa umma atakayebainika kufanya matumizi mabaya ya rasilimali za taifa, lakini amesisitiza kuwa hatua hizo haziwezi kuchukuliwa kwa msingi wa tuhuma zisizo na...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia suluhu Hassan Naomba mfukuze waziri wa mambo ya ndani huyu anakuhujumu mchana kweupe

    Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe. Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi yetu liko juu sana sio ndani ya nchi tu mpaka nje ya nchi tumeona nchi za magharibi zinataka kutunyima...
  11. JamiiForums Tanzania Turudi nyuma huyu Okello inaonyesha Historia ya Africa mashariki mbona ina mkwepa

    Ili swala lipo uganda,lipo kenya na visiwani na sijajua tanzania. Ila mimi sio muelezaji mzuri kuandika ila naleta mafail ambayo tuanze kuulizana kwanza. Ina wezekana kuna nguvu kubwa ambayo hata walifikisha haya walifutwa nchi hizi zote tatu Africa mashariki na kwa nini waliuungana kwa uwoga
  12. JamiiForums Tanzania Huyu dada ajengewe sanamu lake

    Zamaradi.. Katika chapisho lake leo huko Instagram.. Kaongelea namna safari ya mwanaume inakuwa ngumu. Kaelezea how society na mifumo yake haimfavor mwanaume.. Kaelezea how majeraha yetu hayasikilizwi, how tunapaswa kushow up hata kama nafsi zetu zinaumia Katika jamii ambayo wanawake wamekua...
  13. JamiiForums Tanzania Video: Huyu jamaa amewashangaza wengi

    Wakuu hakuna haja na maneno mengi tazama mwenyewe: https://vm.tiktok.com/ZSCM2hCSL/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
  14. JamiiForums Tanzania Huwa najiuliza, Michael Scofield ilikuwaje akawa shoga?

    Kwa wapenz wa movies moja ya series maarufu duniani ni prison break na moja kati ya character maarufu na star humo ni Michael Scofield Huyo jamaa anajua sana. Nikianza kukubali mwanzoni kabisa alipo chukua initiative za kwenda kumwokoa bro wake Lincoln Burrows how alivyo plan, alivyo...
  15. JamiiForums Tanzania Huyu anayemfatilia Heche na ndiye aliyehusika October 29.

    Teknolojia ni kali.Saa yake na kofia .
  16. JamiiForums Tanzania Wadau hivi deni LA taifa lina effects kweny uchumi WA mtu binafsi kama huyu mdau alivyoeleza Facebook kwenye hiyo comment yake baada ya Prof Tibaijuka

  17. JamiiForums Tanzania Huyu haogopi kupotea?

    Mchekeshaji Andrew Ngonyani maarufu Braza K, amelikosoa Bunge akilitaja kuongoza kwa utoaji wa taarifa pasipo mpangilio wala utaratibu kuliko bunge zote ambazo amewahi kuzishudia akiomba mabadiliko, zaidi wampe mualiko ili awasilishe hoja hiyo Bungeni. "Tokea nimeanza kuona Mabunge, hili...
  18. JamiiForums Tanzania Ujio wa huyu ni kwamba na Tanzania deni linafutika kwa kualikwa au ?

  19. JamiiForums Tanzania Msaada wa kimalezi na kisaikolojia kwa mtoto huyu anayezunguka na Mama yake anayetembea kwa miguu na mikono barabara ya Uhuru Kariakoo.

    Huyu mtoto anaharibikiwa kisaikolojia,mtoto anayetakiwa kushikwa mkono anamshika Mama yake mgongoni,kwa sababu Mama yake anatembea kwa magoti na mikono,yule mtoto anatazama watu anaogopa anahisi labda yeye ni kiumbe kingine,mtoto mdogo lakini kichwani kwake inaweza kuwa anawaza mambo mengi akiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Hii screenshot ya huyu dada imekaaje ?!

    maamuzi mengine kumpa mtu magumu.... Mimi nimempigia ila kuna maneno kaniambia.. BOyfriend wake line yake inakuaga imezimwa kwa sababu ya madeni ( kwanini azime )red flag sign 2...miezi mitano ata kwa wazazi wa mwanaume hapajui eti alimuahidi biashara hela zipo NMB nikamuuliza ameziona jibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…