huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Sio mzuri, Hana shepu nzuri bado hata mapenzi kitandani hajui, huyu unafanyaje?

    Mchagua Jembe sio Mkulima na wahenga wakaongeza kuwa penye Miti mingi hapana wajenzi. Wanaume halisi huwa hatuchagui wanawake kutokana na Genes zetu purely ni za Kiume hivyo basi kila kiumbe kinachoitwa Mwanamke ni halali yetu. Ni ktk mtindo huo tunawapa heshima na thamani wanawake wote, Sisi...
  2. JamiiForums Tanzania Mnaolipa mamilioni kusomesha watoto EMS mmesikia kilichomkuta huyu jamaa kwa binti yake?

    Habari ndugu yangu, Kuna hizi meseji Kanitumia Mdogo Wangu Jana asubuhi, kitu kizuri nilikuwa online muda huo nilicho fanya niliscreenshort haraka na nikasevu na video kabisa, baada ya dakika tatu alifuta. Baada ya kufuta na Mimi nilitulia Wala sikumtafuta na yeye akawa kimya tu, ila ilivyo...
  3. JamiiForums Tanzania Aisee huyu dada wa Mgahawa amezidi sasa

    Kuna dada wa mgahawa X huwa anapenda sana kunichangamkia ila jana ndo nilijua ya kuwa ameshindlia wezele.. Aisee ana mkia, her butty is on another level... Jana kavaa dera flani hivi matata, alaf akawa akiingia ndani kuhudumia watu anakuwa ananitupia jicho fulani hivi then lile dera analivuta...
  4. JamiiForums Tanzania TISS siku ikishafikia steji hii muwezi kuzuia huyu mnaye mshikilia ?.

    Kashaona anataka wafuwasi.Alicho fanya umri wake na mafundisho na mambo yake anahisi kufanya hivi kutampa kufika 2030. Kuna mambo yatageuka kesho mje kusema tuliona wakati mlikuwepo. Hivi kwa nini afrika nchi nyingi mnasubiri mpaka moto ushamaliza kila kitu ndio mnaona kunaitaji kuzima moto.
  5. JamiiForums Tanzania Hivi huyu ni AI au ni mtu halisi nimekua na mashaka sana, anaitwa africanafai Instagram halllooooo chombo mzeer

    Ni mwanamziki, inasemekana ni mkenya picha zake zinanichanganya sana, aseee chombo kweli mtoto Yuko stand, mpaka naogopa nahisi ni AI
  6. JamiiForums Tanzania Naona halimi vizuri huyu

    Ngoja nimu onyeshe kwa vitendo.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Huyu ni Wema Sepetu?

    Watu wanabadilika sana huwezi amini kama huyu ndo wema sepetu.
  8. JamiiForums Tanzania Nipo kanisani, huyu Askofu kila mada anayotoa leo naona ananilenga mimi, nikipata nafasi nachomoka hapa

    Kwanza sadaka sitoi Huyu bwanah anatoa maandiko huku ananikodolea macho nafikiri atakuwa ameelekezwa tu namtu anipige vijembe Kaanza na mada za ugomvi na kupigana , anazungumza huku ananitolea macho japokuwa nimekaa nyuma ila ananitolea macho mpaka huku alafu ana macho makali kinoma yaani...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa kuto maoni kama haya huyu mwandishi nae atapotezwa kama Azory Gwanda?

    Kama kuna umuhimu wa maridhiano basi Lissu aachiwe.👇
  10. E

    JamiiForums Tanzania January Makamba alipewa tilioni 6 za matengenezo tanesco huyu wa sasa amepewa tilion ngap!?

    Alipo ingia makamba tuliambiwa ameomba tilion sita sababu matengenezo hayajafanyika kwa miaka mitano ya Magufuli. Huyu waziri wa sasa ameomba bei gani!?
  11. JamiiForums Tanzania Sometimes tufundundishane tu Kwa njia ngumu ili heshima iwepo, huyu nyangwisi hatanisahau 😎

    Mwaka jana, mwezi wa 4 nikiwa katika harakati za kueneza kampeni ya kataa ndoa hapa mtaani, alitokea bishoo mmoja na kusema, "bro wewe unajifanya kataa ndoa kumbe jogoo lenyewe haliwiki, unajifanya kataa ndoa ili kuficha ugumba wako.....hivi wewe unaijua raha ya ndoa?". Aisee! Ile kauli...
  12. JamiiForums Tanzania Karibuni Kwa Ushauri wenu wakuu Kwa Kwa kijana huyu.

    Kijana anataka kuwa vet (daktari wa wanyama) anataka kusoma bachelor of agriculture science halafu mwaka wa tatu achague livestock production, je baada ya hapo anaweza kutambuliwa kama daktari wa wanyama?
  13. JamiiForums Tanzania Huyu bodaboda mkazi wa chakani unguja zanzibar kafariki ndugu zake hawajulikani

    Yeyote atae mfahamu awasiliane na jeshi la polisi, au afike hospitali ya jitimai, ambapo mwili wake umewekwa. Wapambanaji tunaondoka makwetu tunakuja ugenini tunapitia mengi sana, lakini ni muhimu pale tunapo pata viridhiki kidogo tujitahidi kuanzisha familia, vuta demu ghetto WA kuishi nae...
  14. JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Msanii aliyedharaulika zaidi kwenye muziki wa Tanzania? – Kisa cha Rashidi Ziada (KR)

    Ukizungumzia wasanii ambao hawajawahi kupewa heshima inayolingana na mchango wao kwenye muziki wa Tanzania, kwangu jina la kwanza ni Rashidi Ziada (KR). KR alianza muziki tangu miaka ya 90. Amepitia makundi mbalimbali kama GWM, Wachuja Nafaka, hadi kuwa sehemu ya TMK Wanaume Family. Licha ya...
  15. JamiiForums Tanzania Sikatai wewe ni jasiri ila humfikii huyu dogo wa Dizonga

    Ishu sio kulala na Ashawo kichakani huku akiwa na Rand 2000 mfukoni ( Kama laki tatu na ushee ya kibongo) . Ishu ni kupiga chukuchuku ( Kufanya Raw Sex/ Sex bila condom) na Malaya wa DURBAN NATAL.. 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 Man Robbed After Dispute Over Sex Worker Payment: Verulam CBD - KZN A man was...
  16. JamiiForums Tanzania Sasa huyu mkuu wa gereza si atajamba mahakamani? Kwa Nini serikali mnaruhusu uzalilishwaji wa WATUMISHI?

    Leo ni zamu ya mkuu wa gereza kufanyiwa dodoso, na Mh Tundu Lissu Sasa huyu si atajajijambia jmn? Kwa Nini serikali inaruhusu uzalilishwaji wa WATUMISHI WA UMMA?
  17. JamiiForums Tanzania Kwa nini huyu mwanadada kila akiniona huwa anatabasamu kisha anaangalia chini?

    Jambo watanzania Iko hivi,kuna office moja ya umma nafuatilia huduma flani flani,sasa bana toka day one nafuatilia ile huduma kuna bibie mmoja tulikutanisha macho yetu,sasa wakati niko kwenye kiti nasubiri zamu yangu ifike akatokea incharge wao akatuambia wengine tuelekee kwenye dirisha ambalo...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake hawazeeki jamani. Hivi huyu bibi Cynthia mnamfahamu?

    Katika kundi la wanawake tasnia ya filamu huyu alitukosha sana vijana kwa zile ngumi zake na mapigano. Embu fikiria umemfahamu mpaka leo ila utamu umebaki pale pale.
  19. JamiiForums Tanzania Leo kumekuwa na Nderemo, Vifijo, Hai hai na Sherehe JF. Hongereni Mods. Huyu jamaa asirudishwe tena

    Nmeona sehemu kadhaa watu wakifurahia na kunywa pombe toka asubuhi wakifurahia na kuchekelea kwa yule jamaa mbabe wa JF kufungiwa. Kwa kweli kumekuwa na utulivu kwa baadhi ya watu huku wengine wakifanya sherehe . Mod uliyefanya hivyo weka namba yako ya simu hapa yufanye tone tone. Chizi Maarifa...
  20. JamiiForums Tanzania Weekend Nyingine Karibuni! Demu huyu ntamtawanya na sitataka demu tena hadi mwezi uishe

    Siiweki picha yake ni mtu maarufu mtamsumbua, kaja leo amataka akae weekend Mzima wakati nina ratiba Nyingine kesho Mpaka week inaisha itakuwa Powa Ila sijui wanataka nini hadi nimechoka ,
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…