huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Naomba Tundulissu aachiwe mara moja na bila mashariti yoyote nimeongea mimi na nikiongea huwa sirudii.

    Binafsi Mimi Leo nimetoa angalizo kuwa TAL wamuachie bila mashariti yoyote , akaungane na familia yake haraka. Mimi nafikiri kwa nilivyobarikiwa sifikirii Kama mtakubali nikasirike. Mimi Kama MTU wa haki na Mtumishi ambaye huwa siingiliwi katika mamlaka zangu . Nimesema TAL aachiliwe haraka...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Ni mchekeshaji gani wa Kibongo huwa hakuchekeshi kabisa?

    Wakuu, Leo nilikuwa nimekutana na clip moja ya huyu mchekeshaji anaitwa Ndaro huko Youtube Nimejaribu kuangalia for at least 3 minutes kwa kweli nimeshindwa. Yaani jamaa hachekeshi kabisa Lakini cha ajabu ni kwamba hiyo video ina views zaidi ya 400k. Kuna huyo Ndaro, Steve Mweusi na yule...
  3. kiss ov love

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume, huwa mnaharakia nini?

    No reforms, no election. Moja kwa moja kwenye mada, hivi nyie wanaume huwa mna shida gani? Wakati wa mizagamuano hamtaki kabisa kutumia muda kutuandaa, mnara ukisoma 5G nyie mnataka kuzama tu, shida ni nini? Mna haraka ya nini?, ndege kashakuwa wako manati ya nini eti? Wanaume wenye hii...
  4. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Picha za zamani za black and white huwa zinanipa huzuni nikizitazama

    Mara nyingi huwa naishia tu kuziangalia karibia lisaa tu nikitafakari sana 😢. Zinanipa hali fulani ya huzuni sio huzuni na sijawahi elewa ni kwa nini. Hata movies za Charlie chaplin hususani ile amecheza na kijana mdogo hivi ya black and white zinanipa huzuni sana.
  5. Kahama- shy

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo kwenye Biblia mengine Huwa yanafuraisha

    Pia Uliza yona alitumwa ninawi alikoenda anajua yeye🤣🤣😁 shusheni comments wakuu mambo yaliyowafuraisha katika Biblia
  6. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni golikipa mzuri ila huwa anawaza nini?

    Huyu golikipa wa Simba Hussein Abel ni kipa mzuri. Anadaka kama nyani. Ila nimegundua mawazo yake yanakuwaga mbaaali sana au ni swaga zake tu. Huu ni uzi wa kusherehesha Jumapili yenu tu. Msiuchukulie serious kihiiivyo.
  7. haszu

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kujitaman? Kuna wakati huwa najitamani mwenyewe

    Nikiangalia kwenye kioo, Sura, Ngozi ilivyo, macho, kifua unaona kabisa you are real blessed. Ukifika mbele za watu unakuta wanakupa attention tena kama wanaume ndio wanakua hawajiamini kabisa. It is good feeling to look at yourself and say “ yah, am blessed”
  8. Knock life

    JamiiForums Tanzania Byabato popote ulipo nadhani salamu umezipata na kama haujazipata nakupatia muda huu.

    Ndugu Byabato usiendelee na hizo dharau za kusema unaweza kuwachagulia wananchi wa Bukoba mjini Mbunge . Kuwa makini Sana wala usithubutu kuingia katika huo mtego wa kushindana na Mwenyekiti wa chama na kamati kuu waliokukata.
  9. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kwa nini hii kauli huwa inawapa kiwewe wababa🤣, 🗣️"Haukuwepo nyumbani kwa hio nimemuachia mkeo ile hela"

    Utasikia... "Ayaaaaaaaaaa"
  10. Moto wa volcano

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafiti zinaonesha Wanawake wanaoomba msamaha waume zao huwa wanadumu ktk ndoa

    Hakuna mwanaume anabakiwa na hasira zile zile akiambiwa bby am sorry na hakuna mwanaume anaweza kumvumilia mwanamke akiwa jeuri / mjuaji
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PolisiTz walikosa taarifa za kiintelijensia juu ya vurugu za WanaCCM? Mbona masuala ya CHADEMA huwa wanapata taarifa?

    WanaCCM wanabomoana mangumi Wanachomeana magari! Polisi hawakuwa na taarifa za kiusalama Mbona masuala ya CHADEMA huwa wanapata taarifa ?
  12. Richard

    JamiiForums Tanzania Watu wa TCRA wakikata Internet nchi nzima hadi masaa mawili je huduma muhimu yaani Critical Services huwa salama kwa kiasi gani?

    Katika nchi yoyote ile huduma za internet ni huduma nyeti sana kwa maana kwamba mahospitali, miundombinu kama usafiri, njia za reli na sehemu zingine nyeti hii ni huduma muhimu isohitaji hata nukta ya sekunde kuhujumiwa. Kitendo cha TCTA kukata mtandao wa internet nchi eti kwasababu ya kuzuia...
  13. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Huwa mnadili vipi na ndugu wa aina hii?

    Za jumapili wakuu moja kwa moja kwenye mada, hivi huwa mnadili vipi na ndugu wa namna hii yeye akikutafuta ni kukuomba hela tu,, na hakuna chochote anachokusaidia kwenye maisha yako. Ni dada yangu mtoto wa mama angu mkubwa, kuna kipindi waliuza eneo lao kama milioni 30 hivi, wakapewa mamilioni...
  14. Simara

    JamiiForums Tanzania Je Maziwa ya Mama huwa yanaharibika?

    Habari zenu wajuzi, nina mtoto wa miezi 9 ila nimesafiri takribani week mbili sasa na huku nilipo nilikamja maziwa yangu siku moja tu, je nikirudi naweza mnyonyesha? Kuna imani kuwa maziwa ya Mama usiponyonyesha hata siku tatu ukija mnyonyesha mtoto anaharisha hivyo natamani kujua kutoka kwa...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Hili dude (dubwi) huwa silielewielewi

    Hili dude huwa naliona sehemu mbalimbali mitaani. Watu wanapataje faida na hasara kwa biashara ya hili dude maana sijawahi kulielewa naona watu wanalichezeachezea tu wengine wanatoka wamefurahi wengine wanatoka wamenuna, Anayefahamu A,B,C kuhusu hili dude aseme uelewa wake anitoe ushamba...
  16. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Hivi hii meseji humu JF huwa inatokana na nini

    Unakuta thead ina kichwa cha habari kinachokuvutia uisome,ila ukitaka kuifungua unakutana na "You do not have permission to view this page or perform this action",what the hell?.
  17. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu hapendi nishike uke wake tukiwa faragha

    Wakubwa, kuna kitu kinaninyima raha sana. Nikiwa faragha na mke wangu, nikimshika uke ili niuchezee huwa anautoa mkono wangu, kwa kweli hii hali inanisononesha sana. Nifanyaje wakuu, au nimuache tu?
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Aliyesema wazuri huwa hawafi amekiona cha mtemakuni yeye na familia yake

    Yusuphu Makamba aliwahi kusema kuwa wazuri huwa hawafi Leo hii ana nini cha kuwaambia Watanzania?
  19. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ni mimi tu huwa sipendezwi na chakula cha mgahawa na Hotelini?

    Wakuu sijawahi kula nikasema hiki chakula kitamu na kinazidi na chakula cha nyumbani. Niseme ukweli chakula cha nyumbani kwetu hata kama kimepikwa na mama yangu mwenye umri wa miaka 74 bado huwa nakiona kitamu na kila ladha asili kuliko chakula chochote cha hotelini. Nimeenda kwenye hoteli...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwezi kuisaliti pakubwa Simba SC halafu LAANA ya Wazee wao ambao huwa HAWATANII pale WAKIKUAMULIA isikupate na kukuharibia

    𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Aliyekuwa beki kisiki wa Simba Sc, Henock Inonga Baka amepewa mkono wa kwaheri na klabu ya AS FAR Rabat ya Nchini Morocco aliyokuwa akiitumikia kwa msimu mmoja baada ya kuondoka Simba Sc. Chanzo Taarifa: maulidkitenge katika ukurasa wake wa Mtandao wa Thread Haya sasa wale WANAFIKI...
Back
Top Bottom