huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna wale wanawake ambao huwa wanaikalia wakichoka wanalala kifuani halafu watulia sisi ndio tunakuwa tunanyanyua kiuno kuwafaata juu utasikia aaaa,ai

    Kuna wale wanawake ambao huwa wanaikalia wakichoka wanalala kifuani halafu watulia sisi ndio tunakuwa tunanyanyua kiuno kuwafaata juu utasikia aaaa, ai na huwa tunawakumbatia kwa nguvu halafu wanatulia huku wakisisimka. Tukikaribia kukitupa tunaongeza spread pah pahpah😀🙌🏿. Kesho nitawapa offer...
  2. JamiiForums Tanzania Ukiwaona watu wakieneza chuki na matusi mtandaoni, huwa unachukua hatua gani?

    Eti Wakuu, Kwa upande wangu hii ni tabia ambayo huwa hainivutii kwani siyo muumini wa kusoma au kukabiliana na lugha isiyofaa na kwa kweli wakati mwingine mtu mwenye tabia hii hufikia hatua ya kum-block ili nisiendelee kuona vitu vyake anavyoandika mtandaoni vyenye lengo la lugha ya chuki na...
  3. JamiiForums Tanzania KERO DAWASA kwanini mmeshindwa kutoa majibu kwa Wakazi wa Mbezi Beach maji ya bomba kutoka machafu kwa muda sasa

    DAWASA leo katika mkutano na waandishi wa habari mmeulizwa kuhusu tatizo la kutoka maji ya bomba yakiwa machafu kwa baadhi ya wakazi wa Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam. Hii inamaanisha nini kwa sisi wakazi wa maeneo haya? Maji ya bomba ni machafu yanayotoka katika maeneo yetu yanazidi...
  4. JamiiForums Tanzania Toka nijiunge JF sijapata wa kum-cc humu wenzangu huwa mnawapataje

    Naamini mitaa hii manzi zipo nyingi sana ila ni adimu kupatikana kwa upande wangu wakuu nipeni miongozo namimi niwe na c mbili kwenye comments
  5. JamiiForums Tanzania Kweli kuwaelewa wanawake ni ngumu, wanachanganya sana!

    Nimefanya tafiti nimegundua mwanamke anaweza ku squirt (katerero) na asifike kileleni!, na anaweza asi squirt na akafika kileleni!!. Kiufupi ku squirt ni jambo tofauti nakufika kileleni!, na kufika kileleni ni jambo tofauti na ku squirt!.. japokuwa haya mambo mawili yanaweza kutokea kwa wakati...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini mabosi wengi ikifika muda wa kujaza kifusi kwenye nyumba huwa hamtaki?

    Eti uelewa mbovu au ni nini?
  7. JamiiForums Tanzania Hivi ukioa binamu yako shangazi anabaki shangazi au anageuka mkwe?

    Sijawahi kukutana na ndoa ya watu ambao ni mabinamu lakini ikitokea mabinamu wameona ina maana shangazi na mjomba watabaki na titles zao au wanakuwa mama mkwe na baba mkwe? Nb: Haishauriwi kisayansi binamu kuoana ili kuepuka kurithisha watoto changamoto kubwa za kijenitiki.
  8. JamiiForums Tanzania Nidhamu yako ya pesa huwa inarudi ukibakiza kuanzia kiasi gani?

    Wakuu, kuna ile ukiwa na pesa ni kama kiwango cha nidhamu ya matumizi huwa kinapotea au kushuka unakuwa unatumia tu. Na baada ya kubaki na kiwango kidogo nidhamu inarudi wakati unasubiri michongo itiki tena au mshahara uingine. Wewe nidhamu huwa inarudi ukibaki na kiasi gani? Mimi nikibaki na...
  9. JamiiForums Tanzania Wanasema kila nchi huwa ina mangenge ambayo yako nyuma serikali yenyewe Ndo yanaenesha USA na ISRAEL

    Najua wengi mnafahamu kwamba Israel wana endesha Rais wa USA kuna madoni yameweka system mkononi sema ya kule yanakula na Wananchi ya kwetu Afrika ni kausha Damu GUPTA na SA
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huwa unatumia nini kuifanya nyumba yako iwe na harufu nzuri?

    Wakuu kila nyumba ina harufu ambayo wakazi wameizoea na kuhisi kawaida, ila mgeni ukiingia ndio utaiskia kama ni nzuri au mbaya, iwe ya marashi au uvundo. Kuna nyumba zinanukia vizuri sana, harufu murua sana hutatamani kutoka ukiingia. Kuna njia za Kiasili ambazo wengine hutumia kwenye nyumba...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Watu wengi huwa wanalala vyooni

    Habari, Nimegundua watu wengi huwa wanalala kwenye vyumba vyenye choo ndani au vyoo vyenye chumba ndani. Hii ni baada ya kuona ujenzi wa nyumba nyingi za kupanga, air bnb, na nyumba za kuishi hujengwa kwa kuweka chumba kwenye choo. Yaani nikimaanisha watu wengi wanalala kwenye vyumba vyenye...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Ni taratibu gani huwa zinafuatwa ioi mtumishi wa umma ili mtumishi wa umma kwenda kusoma nje ya nchi?

    Kuomba ruhusa kwa muajiri wako. Basi.
  13. K

    JamiiForums Tanzania CIA HUWA HAWABISHIWI. UKISHINDANA NAO BASI KABURI LITAKUHUSU

    Hawa jamaa Wana double agents Kila Taifa ambalo Kuna ubalozi wao unaowakilisha Taifa lao la Marekani ikiwemo Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania. Kwa kifupi CIA ni Wazuri Sana katika kutumia Double Agents kuwamaliza wale waliowakusudia, ni vyema wasikilizwe kabla bendera hazijawa nusu mlingoti...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wamasai wanavyopandisha mori huwa ni mashetani, hisia au akili kutoweka ?

  15. JamiiForums Tanzania Hivi wazazi mnaoleaga hivi watoto huwa mnajielewa kweli?

    Katika pita pita zangu nimekutana na watoto acha niwaite tu "broiler" Wana tabia za ajabu sana ila kilichonishtua ni kuona wazazi wao wanachukulia normal sana hawashutuki wala hawajali juu ya tabia za ajabu ajabu walizo nazo watoto wao. Nimeshangaa rafiki yangu kanialika chakula cha usiku...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwa nini oil rich gulf islamic states huwa hazichangii bajeti kama msaada?

    Labda nilipitwa lakini sijawahi kusikia hata siku moja wakichangia bajeti kama msaada kwa tanzagiza, ila nasikia USA au EU wakitishia kukata msaada kusaidia bajeti kwa nini oil rich gulf states huwa hazizibi pengo ukichukulia ni marafiki wazuri wa regime iliyopo? huwa nasikia wakitoa fedha kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Je, huwa unaota umepoteza kiatu/viatu?

    Kuota umepoteza kiatu kwa ujumla kunaashiria kupoteza mwelekeo, kukwama kwa safari ya mafanikio, au kupoteza utambulisho na ulinzi katika maisha yako ya kila siku. Kiatu katika ulimwengu wa ndoto huwakilisha maandalizi ya hatima yako, mamlaka, na jinsi unavyopiga hatua kuelekea malengo yako.
  18. JamiiForums Tanzania Hakuna laana mbaya kama kutesa watu au kuwanyanyasa kwa namna yeyote ile, huwa mwisho wake unakuwa mbaya sana

    Hakuna uamuzi mbaya kama kutesa watu au kuwanyanyasa kwa namna yeyote ile, huwa mwisho wake unakuwa mbaya sana Njia ya haraka sana ya kulaaniwa ni kutesa watu na kuwanyanyasa Laana haiji kwa njia moja inakuja kwa namna tofauti sio lazima njia iliyomlaani fulani ndiyo itakayomlaani na yule...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanaosimamia usaili Sekretarieti ya Ajira huwa hawajali muda, sijui huwa hawajipangi, inakera sana

    Sekretarieti ya Ajira wao huwa wapo strict sana kukusema inapitokea umeitwa katika usaili kisha ukachelewa hata kama ni dakika chache, wanakuona haupo serious kwenye kutafuta kwako, hivyo na wao wawe wanajali muda wanaoupanga kwa ajili ya interview. Haiwezekani wapange mtihani Saa Nne asubuhi...
  20. JamiiForums Tanzania Walokole kweli hii mistari huwa mnaisoma....au kudonoa donoa bibilia

    ikiwa ni jumapili tulivu kama calender ya KKKT inavyoelekeza hili neno la leo linanifikirisha sana na nimelijua zamani sana sema sasa labda uwenda tafsiri yangu ni tofauti lakini hamna kitu sikipendi kama kuomba kwa makelele napenda utaratibu na ukimya kwani najua Mungu atanisikia tu Mathayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…