huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. babukijana

    JamiiForums Tanzania X mwanamke na x mwanaume huwa wapi mna tatizo?

    Nilitandika vibinti enzi hizo,na vikazaa hovyo tu,. Mi nikaendelea tu kibabubabu na kibibibibi. Mi ndoa nilishakataa. Sasa X zaidi ya saba wanataka kurudi ntawapeleka wapi? Huku nna x wa mwisho nae anandai hela nyingi tu. Kwenda mahakamani kujitetea ni kila siku,ni mke wa ndoa kabisa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania HIVI WACHAWI HUWA WANAMSAADA GANI KWENYE VITA VYA LEBANON NA GAZA?

    Hawa watu huwa wana msaada gani? Maana mbona science ndio inaonekana ndio kila kitu...si dini wala uchawi unaweza kusaidia
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwanini wapalestina hukosa maji na chakula lakini huwa hawakosi roketi?

    Nilipoliona hili swali nilitatizika Sana. Kwamba Kila wakati Palestina wanaosaidiwa kupata chakula na maji, lakini fedha za kununua roketi za kuishambulia Israeli wanazo.
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini "miungu" mingi iliyojiteokeza huwa inajaribu kufuta Wayahudi, walikosea wapi

    Ukisoma Biblia, kuna miungu mingi ilijitokeza akina Baal/Hadad/dagon, wote hawa nia yao siku zote ilikua kufuta Wayahudi, historia yote imejaa aina ya miungu yenye chuki na hasira dhidi ya Wayahudi, japo siku zote hawa Wayahudi huibuka washindi ila bado kila 'mungu' anayejitokeza huwa hasomi...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini msajili wa vyama vya siasa huwa habadilishwi mara kwa mara?

    Tangu nimepata akili za kufuatilia siasa wasajili wa vyama vya siasa ninaowafahamu ni John Tendwa na huyu wa sasa Francis Mutungi, Sina kumbukumbu kama katika kipindi cha miaka 15 kumekuwa na wasajili wa vyama vya siasa zaidi ya hao wawili, lakini sijawahi kuona tengeua tengeua katika hiyo...
  6. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania JE wajua ni Tanzania pekee Bunge hukutana kujadili matundu ya vyoo vya shule na zahanati? Duniani ni Tanzania pekee

    Bunge la Tanzania baada ya miaka 60 plus unakuta mjadala unahusu choo cha zahanati, kwamba real watu wanakutana Dodoma kujadili Choo cha zahanati fulani. Unakuta wanajadili Madaraja na Makaravati, wanajadili matundu ya vyoo vya shule. Na raia walivyo wajinga ndio vitu wanapenda kusikia, yaani...
  7. Thabit Madai

    JamiiForums Tanzania Simba anakwenda kupoteza huu mchezo

    - Historia inaonesha kwamba mara nyingi Simba wakiingia kwenye Derby na Mbwembwe huwa wanapoteza mchezo au kutoka sare. Mara kadhaa Simba wakiingia kama second team huwa wanashinda, ndio maana hata wakati Sinbad wakiwa kwenye ubora walihangaika kuwafunga Yanga hawakuwahi kushinda mara 3...
  8. Tman900

    JamiiForums Tanzania Unapomjari mtu, mara nyingi huwa mtu ni Vigumu kuona unatenda sahibi.

    Mwaka huu 2024 mwezi wa nne. Mwenge Dar es salaam. Nilikuta na Dada mmoja 26 Miaka. Nilitokea kumpenda nikamuomba namba tukandelea kuwasiliana. Baada ya mda tukaanzisha mahusiano. Kila siku nilikua na mtumia pesa ya matumizi. Huyo dada alinieleza kua ana Watoto 3. Kwa kua nilimpenda...
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Sikuwa najua kama Mwenge ukizimwa huwa unawekwa mlima Kilimanjaro

    Ina maana sikulisoma hili shuleni ama lilinipita nimesikia kwamba baada ya tendo la ibada hii kuisha na hatimaye mwenge kuzimwa huwa unapelekwa mlima kilimanjaro unawekwa kule juu mpaka siku ya kuuwasha. Mimi nilikuwa najua unapelekwa makumbusho huko. Anayeijua itifaki ya mwenge anisaidie hapo.
  10. Abas s baqar

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tembo akilala kama wanyama wengine hatoweza kuamka kwasababu ya uzito

    Je ni kweli mnyama Tembo huwa hawezi kulala kama wanyama wenzie na akilala kama wanyama wenzake hupelekea kifo kwasababu ya uzito wa mwili wake
  11. B

    JamiiForums Tanzania Unapozidishiwa chenji huwa unarudisha au ndio wimbo wa Albert Mangwear "kimya kimya" mwendo wa haraka mbele

    Katika mihangaiko ya hapa na pale unaweza kwenda dukani ama sokoni inapotokea muuzaji kakuzidishia 'chenji" unachukua hatua gani!?? Binafsi huwa narudisha Wewe je? Wafanyabiashara wanapitia changamoto sana
  12. W

    JamiiForums Tanzania Huwa unasoma na kuelewa Sera ya Faragha (Privacy Policy) kabla ya kukubali (Accept)?

    Sera ya faragha (Privacy Policy) ni maelezo ya kina kuhusu jinsi taarifa binafsi zinavyokusanywa, zinavyochakatwa, kutumika na kulindwa katika programu ya simu au tovuti husika. Wengi wetu hukubali sera za faragha bila kuzisoma, lakini n muhimu kupitia sera za faragha za tovuti na programu...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Huwa unahisi vipi ukimpigia na kumtext mpenzi wako halafu yeye akujibu tu text bila kukupigia?

    Mfano umeanza kumtumia ujumbe wa kumsalimia mpenzi wako lakini ukaona kimya kisha baada ya dakika 20 ukaamua kumpigia lakini pia hapokei, unaamua kutulia kisha yeye anakuja kukujibu tu ujumbe wako baada ya lisaa na hakupigii ingawa alikuta missed call yako. Je huwa unachukuliaje hali hii pindi...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Njaa ni kali wanangu ila tuwe makini na maamuzi nyeti wakati wa ukata maana huwa hayajirudi

    Mkopo juu ya mikopo. Kusaini mikataba ya kukunyonya basi tu ili upate hata kidogo cha kujikimu. Kuridhia masharti ya mganga ya kuleta damu ya mtu. Kuuza kiwanja kwa bei ya bure ili kupunguza makali ya tabu. Kumuua baba ili urithi mali maana uvivu wako umekuletea njaa kali. Kumpiga kibuti...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini uhai wa mapenzi ya kujionyesha mbele za watu kwamba mnapendana sana huwa hayadumu?

    Mifano ni mingi sana humu nchini. Hivi shida hasa huwa ni nini, licha ya kujiapiza na kusifiana kupitiliza mtaani, mitandaoni na kwenye vyombo vya habari mpaka kutoa machozi, lakini mwisho wa siku ndoa au uhusiano una sambaratika vizuri tu. Huwa ni macho ya watu wabaya au maombi mabaya ya watu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mimi nikajua Israel huwa inajibu mapigo muda huohuo. Leo ni siku ya nne

    Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE. Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi wa Afrika huwa wanabeba bunduki kubwa/ mitutu/ rifles badala ya bastola?

    Karibu nchi zote za Africa polisi wanabeba mitutu/ rifles tofauti na nchi nyingi za Magharibi wakoloni wao ambao polisi wao wanatumia bastola zaidi. Hii imesababishwa na gharama za bastola au ufanisi wa mitutu?
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa uendeshaji wa Hizbullah huwa hautingishiki kutokana na vifo vya viongozi wao.

    Imeelezwa kuwa mfumo wa mgawanyo wa madaraka na utayari wa kimapambano ni mmoja ya mifumo bora katika vyama vya utetezi wa haki kwani huwa daima hautingishiki kutokana na vifo vya viongozi wao wakuu. Kutokana na mfumo huo nafasi yoyote inayoaachwa wazi basi huwa kuna makundi ya waliotayarishwa...
  19. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Kwanini Al jazeera huwa hawaoneshi video za Walestina wanaopinga Hamas?

    Wakuu ni nadra sana kuona hizi video mtandaoni hasa kwene media za al jazeera! Hawa raia wanawatukana Hamas kwamba wamefanya maamuzi ya kijinga ndio yanawaua https://youtu.be/5JJK0X7D82w?si=BsTgKOsUjPAt__gz
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Makomando wa Israel huwa ndani ya Lebanon, tena ndani haswa

    Idadi kubwa ya makomando wa Israel huishi Lebanon ndani na hamna wasichokijua au kukifanya humo tena kimya kimya.....ndio hutoa taarifa za wapi pa kupiga, husaidia sana kwenye mapigo dhidi ya magaidi wa waislamu. ================= The New York Times says that Israel has worked since the...
Back
Top Bottom