Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.
Kwa uzoefu wangu Hawa mabinti kuanzia umri wa balehe Hadi miaka25 au zaidi kidogo Huwa huwaambi kitu wakakusikia.
Haijarishi wewe ni mzazi wake au kaka yake vyovyote vile hata kama wewe ni kiongozi wa Dini au Dr huwezi kumpa ushauri akakusikiliza na then akaelewa.
Unapomshauri muda huo...
Utakasikia:
"Masela nina koneksheni ya vidio ikionesha mababu wa Simba wakiwa na mbuzi ndani ya basi sema niliifuta bahati mbaya"
"Dah mechi ya Arsenal juzi imenikosesha mkeka wa milioni 20"
"Niliwahi kuishi Dodoma, nilikuwga nawaitishia wabunge wale watoto wazuri wa udom"
😁
Hii nayo iwekwe kwenye maajabu ya wanawake.Hawa viumbe hawasomeki kabisa....
Wanawake bana likitokoea tukio hasa ajari wanakuwa wa kwanza kufika pale na huwakuti wanatoa msaada bali vilio tu utasikia Oooooh mungu wangu jamani hadi mkono umekatika jamaniiii jamaniiiii na wengine wakilia kwa...
Wanaume wengi wanapokuwa na “side chick” huvaa full romantic mode — kumuwekea mto, kwenda “down”, kuhakikisha yupo comfortable… na wengine hadi wanacuddle baada ya tendo!
Lakini huyu si wake halali, wala hamchukulii serious.
Swali ni moja:
Je, mwanaume akiwa na side chick, huwa anahisi kitu?
Au...
Samahani kaka magical power.
Mimi naomba nisaidie kisheria au kimawazo. Mimi nikilema sina miguu huwa natumia baskel
Hata kutembea natumia baskel kama naenda mbali huwa kuna kijana namuomba ananisukuma. Sasa kuna baba mmoja huwa ananipa msaada. Mara anipe hela yani ananijali sana. Anaishi...
Kabla ya mwaka 1582, jamii nyingi zilikuwa zinaadhimisha mwaka mpya tarehee 1 Aprili. Kumbuka karne hiyo papa alikuwa na nguvu kubwa ya kuamua chochote. Mnamo mwaka 1582, papa Gregory XIII akaamua kubadilisha kwamba mwaka mpya utasheherekewa inapofika tarehe 1 Januari.
Kuna watu hawakukubaliana...
Siyo kila jambo halali lazima liwe na marejeo kutoka kwa wachunguzi wa kale ndipo uthibitishe kwamba ni kweli au uongo!
Yapo Mambo mengi ya uongo yamethibitishwa kwa marejeo ili kuupotosha umma na baadhi ya mambo ya ukweli yalifutwa au kufichwa kwa kutokuandikwa popote duniani ili kuficha jambo...
Unakutana na Mtu anaamka asubuhi akifika tu kwenye kijiwe cha kahawa au mgahawani lazima itakuwa ndio mada atakayodiscuss kwanza kuliko kingine chochote na bora ingekuwa vitu concrete katika timu yake ya aidha simba au yanga bali utakuta ni udaku
Akitoka kwenye kijiwe hicho cha kahawa akasogea...
Sina uhakika sana na hili suala ila ni hisia zangu naonaga Kuna watu wanapenda kula kula Kama vile wajawazito yaani mtu anaweza mkala naye kitimoto ila baada ya nusu sana akiona kuku tayari ametamani kula baada ya nusu saa akikutana na samaki kanunua.
Yaani kitu kile kile cha protein ila...
Mitandao ya kijamii siyo tena sehemu ya kujipost tu au kufanya mawasiliano na watu. Kuna fursa mbalimbali zinazojitokea ukiamua kufanya maamuzi sahihi ya Mitandao kama vile kufanya biashara, kuwa "influencer" au "content creator"
KANUNI AU "ETIQUETTES" ZA KUZINGATIA UKIWA UNATUMIA MTANDAO...
Niambieni Tunaongeza budget gan kwene huduma zenu!!…..
Huko mbeleni taasisi binafsi zikiwezeshwa serikalini hakutakua na mteja hata mmoja.
NB: Nawaza kwa sauti
Mfano hako ka bundeji na kimfuko cha kuchukulia sample.
Binadamu ni wanyama tu kama wanyama wengine. Tuache kuwacheka nyumbu wengi wakifurumushwa na simba mmoja.
Historia fupi hadi tumefika hapa: US ameanza kuisumbua dunia mara tu baada ya vita kuu ya pili ya dunia. US ndiye aliibuka walau yupo salama, viwanda vyake vikifanya kazi na mashamba yake...
Hawa jamaa kwenye mambo yao mengi naona wanatumia salamu za kijeshi.
I am curious to understand, je hawa jamaa ni wanajeshi kamili na hayo mamlaka wameyatoa wapi?
Nimekutana na hii clip mitandaoni na kuisikiliza na kama ni ya kweli basi ndiyo maana CCM huwa wanaiba mali za umma.
Kwenye Clip anaonekana Pereira Ame Silima akituhumiwa kuiba vitu toka kwa mke wake.
Ingawa mkewe ni mtata, lakini asipuuzwe moja kwa moja!!
Kuna jambo linawakera Watanzania wengi kuhusu ajira katika balozi zetu nje ya nchi: kwa nini nafasi hizi haziwekwi wazi kwa umma? Serikali yetu ina balozi na ofisi mbalimbali za kidiplomasia kote duniani, lakini ajira za maofisa wanaopelekwa huko ni kama siri nzito.
1️⃣ Ukosefu wa Uwazi –...
Nimeona hii ninayoonyesha ya "CAREFULLY OVERTAKE" mara nyingi traffic polisi wanatutia hatiani kuwa tumeovertake kwenye restricted zone, je hii alama ya carefully overtake kwa Tanzania ina tofauti na mataifa mengine?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.