huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Asiaminike sana system wengi huwa hawastaafu

    Na anajitahidi kuweka imani aaminike, System inaweza kukufunga hata gerezani miaka kadhaa uchunguze mtu fulan mfungwa au tukio fulan ndani, Na ika ku harass sana huku nyuma ya mlango ikikupoza kiaina, Wanaoona karibu wakakuamini na kukuweka kwenye Taasisi zao , Au mwanachama anayesumbua...
  2. JamiiForums Tanzania Umewahi kutapeliwa ? Nini huwa ni sababu kuu ya mtu kutapeliwa kirahisi?

    Umewahi kutapeliwa mali, pesa, imani au mapenzi katika mazingira yasiyoeleweka mpaka wewe mwenye ukajishangaa imewezekanaje "kuingizwa mjini" ? Mifano ya utapeli ni pamoja, Unaambiwa utume pesa upate kazi na unatuma kweli, kazi hupati Unamtumia nauli demu aje na haji na wakati mwingine...
  3. JamiiForums Tanzania Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

    Umekutana na mpenzi wako akiwa ashatumika? Imagine ni siku ya harusi yenu. Sasa nakutengnezea picha jinsi mara zote inavyokuaga Kuna maex wake, kuna aliofanya nao one night stands, kuna waliomla kimasihara. Kuna yule muhuni ambaye hana future wala hela halafu mkeo anamkubali kinoma. Siku mbili...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hivi wazungu na Waasia huwa wanatuchukuliaje sisi waafrika.

    1. Viongozi wakiafrika wanaiba Pesa kwao harafu wanaenda kuziweka kwenye mabenki ya ulaya na Marekani. Kichekesho nchi hizo hizo zinaenda kuomba mikopo huko.wanachofanya ni kutukopesha Pesa zetu zilizofichwa huko na viongozi wetu. 2. Rais wa inchi anaishi ulaya kwa kodi za wananchi wake nchini...
  5. JamiiForums Tanzania Asusiwa chakula msibani kisa huwa hali kwenye misiba ya wengine

    Tulikuwa kwenye msiba mmoja huku Buhigwe Kigoma, tulikuja kumsindikiza jamaa yetu aliyefiwa na dada yake, kufika msibani watu walikuwa wengi tu kama kawaida ya msiba huku watu wakiendelea kumsadia mfiwa shughuli za pale kama kuandaa chakula. Cha kushangaza baada ya kumaliza kupka kila mtu...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi wauza bia huwa mnawauliza Wanamiaka mingapi kabla ya kuwauzia maana haiuzwi chini ya 18

    Huwa najaribu kuwaza kunamatangazo. Haya ya pombe mwisho huwa wanasema haiuzwi kwa waliochini ya miaka 18. Je ni kweli wahudumu huwa mnawauliza wateja wenu umri wao kabla ya kuwauzia bia??????
  7. JamiiForums Tanzania Kwani field wanachuo huwa tunaenda kufanya nini?

    Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo kimoja hapa Tanzania. Chuo kilitupa nafasi ya kuchagua sehemu ya kufanya field kwenye account ya SIMS, nikachagua kufanya field VETA mojawapo hapa Tanzania Cha ajabu huku wametupokea lakini hakuna tunachofanya, hakuna mwenye habari na sisi. Mi...
  8. JamiiForums Tanzania Je, huwa unahakikisha kuwa daktari aliyekuhudumia ni daktari bingwa kwa kadri ulivyolipia kuonwa na daktari bingwa?

    Hospitali, hasa hospitali binafsi, huwa zinatoza ada tofauti kwa huduma za daktari wa ujumla (Medical Doctor/GP), daktari bingwa na daktari bingwa bobezi. Kama umeomba na kulipia kuonwa na daktari bingwa (Specialist), ni muhimu kuthibitisha kuwa huduma uliyopokea ndiyo uliyolipia. Nimegundua...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi Wanawake Mkizama Penzini Akili Huwa Mnaziweka Wapi?

    Dada yangu alipoteza akili zake baada ya kuingia kwenye mahusiano na mwanaume X Nasema hivi kwasababu kabla ya hapo alikuwa vizuri , alikuwa akipangilia mshahara wake kutimiza malengo yake kama kuanzisha biashara, kujenga nk Lakini punde si punde akapata mwanaume X wakapendana kwa kadri...
  10. JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini ndoa za kanisani (kikristu) na msikitini (kiislamu) huwa hazidumu

    Ndoa ni suala la kimila. Inatakiwa kufanyika kwa kufuata taratibu za mila na desturi za utamaduni husika. Unaenda kufunga ndoa yako kanisani kwa mujibu wa mila na desturi za wazungu/wayahudi kwani wewe mzungu/myahudi? Utamaduni wa wazungu/wayahudi unakuhusu vipi wewe msambaa wa Lushoto...
  11. JamiiForums Tanzania Watu wavivu sana na wasiojua kuchangamkia fursa huwa na milipuko yao!.

    Mara nyingi njaa huwa kitu kibaya sana,binadamu kutokutafakari afanyeje ili kuweza kupambana na mazingira yake pamoja na kujiendeleza in short kutokujitambua yeye ni nani! Mlipuko wa watu wavivu baada ya njaa kuuma kupitiliza!... Hapa ni S.A MAJUZI.
  12. JamiiForums Tanzania Hivi unapofumba macho bila kusinzia huwa unaona?

    Hivi Unapofumba Macho Bila Kusinzia, Huwa Unaona? Hivi unapofumba macho na sio kusinzia, je huwa unaona? Unaona nini ukifumba macho yako? Ni kweli huwa unaona au huwa unahisi? Ukifumba macho sasa hivi kuna kitu unaona ? Unadhani ni halisi ? Au huwa unatengeneza picha mwenyewe kwenye kichwa...
  13. JamiiForums Tanzania Vipofu wakilala huota ndoto kama ilivyo kwa mtu anayeona? Umewahi kujiuliza huwa inakuwaje?

    Kwanza kabisa tuelewe ndoto ni kitu gani. Huwenda ikawa si jambo geni kabisa kwa wengi. Ndoto ni nini? Ndoto ni mfululizo wa matukio, mawazo, hisia na uzoefu ambao ubongo huunda wakati mtu akiwa amelala. Ndoto nyingi hutokea katika hatua ya usingizi inayoitwa REM (Rapid Eye Movement), ambapo...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake wavaa ushungi huwa wanasuka au kuvaa mawigi?

    Wanawake wanaovaa ushungi/ hijabu au vilemba muda wote huwa wanasuka nywele au kuvaa mawigi?
  15. JamiiForums Tanzania Kwa nini huyu mwanadada kila akiniona huwa anatabasamu kisha anaangalia chini?

    Jambo watanzania Iko hivi,kuna office moja ya umma nafuatilia huduma flani flani,sasa bana toka day one nafuatilia ile huduma kuna bibie mmoja tulikutanisha macho yetu,sasa wakati niko kwenye kiti nasubiri zamu yangu ifike akatokea incharge wao akatuambia wengine tuelekee kwenye dirisha ambalo...
  16. JamiiForums Tanzania Kuanzia miaka ya 27 mpaka 31 sijawahi hata kuumwa homa. Hivi kinga ya mwili nayo huwa inaingia "prime" halafu baadaye inaanza kushuka?

    Sio kwamba naiombea homa irudi, Mungu aniepushe nayo mbali. Ila kuna jambo nimeligundua kuhusu maisha ya binadamu, sijui na kwenu ipo hivyo. Nikiwa mtoto wa shule ya msingi nilikuwa mtu wa kuumwa mara kwa mara. Kuna zile siku unaishiwa nguvu kabisa, mwili unalegea, macho yanakuwa mazito...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi Mtoto wa kike ukiulizwa na Mwanaume anaekutaka hili swali "Niambie kuhusu wewe" huwa mnajibu nini?

    Kwangu mimi hili swali huwa linanitatanisha sana. Huwa nashindwa nianzie wapi kujibu hili swali. Kwa sababu inakuwaga kama tuko kwenye Interview ya Kazi. Au huwa wanamaanisha nini? Ni wanataka kujua kuhusu nini? Nashindwa kuelewa.
  18. JamiiForums Tanzania Baa na Club Kubwa za Buza: Viwanda vya Kuzalisha Mashoga - Ni Wakati wa Kufichua Uovu Uliofichwa Mbele ya Macho Yetu!

    Dunia inacheka huku inaungua. Na sisi, Watanzania, tumelala usingizi wa pono, tukipuuza, huku moto ukiteketeza mtaa baada ya mtaa. Tumetulia, tukijiaminisha kuwa maafa bado yako mbali, bila kujua kwamba tayari yamevunja milango yetu na kuingia chumbani. Ukweli huu ni mzito na mchungu, na...
  19. JamiiForums Tanzania kwanini the most dirty minded people huwa na sura zisizo na hatia

    hawa watu wanaweza ongea neno ukajiuliza mara mbilimbili ni yeye au limetoka kwenye kinywa cha mtu mwingine mtazame sura sasa so innocent lazima atawaacha midomo wazi na kushikilia mbavu Akili zao na sura zao zisizo na hatia huwa havishabihani hata kidogo pia ni hatari zaidi kwenye kufanya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Si kwamba ni wote au siwaamini, lakini wakala wa bidhaa original akiwa Mbongo hunifanya niwe na wasiwasi ataingia tamaa kirahisi kutuuzia feki

    Unakuta makao makuu ya kampuni yenyewe yapo Dar au kwenye majiji mingine, na ukifika huko unaona kabisa tofauti ya uendeshaji. Kila kitu kinafanyika kwa weledi, usimamizi ni wa kiwango cha juu, na mara nyingi mameneja ni watu wenye uzoefu mkubwa walioujenga ndani ya kampuni hizo kwa miaka mingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…