Whackiest
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 1,309
- 1,782
Kwanini matajiri huwa hawashiriki moja kwa moja kufanya ubaya badala yake vijakazi wake
Je waogopa Karma ?
Je wanaogopa lawama
Tuchukulie hii scenerio
Au naomba kutapa ufumbuzi
mfano kwnye kampuni X Tajiri amegundua kuna wizi umefanyika na aliyefanya anabainika .
Boss anamwamuru kijakazi wake kutekeleza majukumu mfano
1.Kuua
2.Kumfungulia shitaka dhidi ya hatia
3.Kumfukuza kazini.