huu mwaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Tegemea huu mwaka kuvunja rekodi ya vifo vya wabunge na mawaziri wa CCM wanaweza fika mpaka 30

    Mimi siyo mtabili ila ukweli mtauona hasa tunapoikalibia 2030, kama wewe waziri au mbunge anza kujichimbia kaburi kabisa
  2. Chizi Maarifa

    Huu Mwaka Umeanza vizuri. Hatari sana Hii inaombwa kuchakatwa yenyewe

    Ukiwa na vijjcent Tz mambo yanaenda mswano. Ntachelewa kuondoka Tz nizile zile kidogo nikirudi kwa watu nikawe nachapa kazi. Huku nachapa K tu kwa sasa. Hii yenyewe imejiinamisha mbele yangu... Mwaka umeanza vizuri kwa kweli.
  3. 4

    Yoyote asemae huu mwaka sio wa haki kutamalaki ,njoo na utajibiwa

    Wana wa Mungu jf , heri ya mwaka mpya, kila mmoja kwa imani yake . Rejea kichwa cha habari hapo juu, Yeyote ambae anasema kwamba huu mwaka sio wa haki ajitokeze kwa hoja na atajibiwa. Huu mwaka ni wa haki nyie machawa kaeni mguu sawa mtajua ,hamjui. Mungu kaniambia Mengi ila kubwa sana...
  4. nzalendo

    Muda kama huu mwaka jana

    Nilipiga bao pahala...nilikuwa na upwiru balaa,,,nashukuru halikwenda bure...leo nina mtoto mdogo kuliko mjukuu wangu wa mwisho. Sema AMINA.
  5. Mad Max

    2025 Abu Dhabi GP: F1 Race ya Mwisho kwa huu mwaka itakayoamua nani awe World Driver’s Champion kati ya Norris, Verstappen au Piastri!

    Wakuu, Formula One Grand Prix kwa mwaka 2025 ndio imefika tamati weekend hii, kwa jumla ya GP 24 kuanzia March pale Australian GP na ya mwisho hii Abu Dhabi GP, uwanja wa Yas Marina. Hadi sasa msimamo wa michuano kwa upande wa kombe la madereva (Driver’s World Championship) unaongozwa na Lando...
  6. Mad Max

    Weekend nyingine mbaya kwa Man City na Liverpool. Huu mwaka wa Arsenal. Period!

    “Hali inazidi kua mbaya. Ata baada ya mapunziko marefu ya EPL bado kuna team zinapwetapweta. Walibebwa sana misimu iliopita na system ila sasa ukweli unajiweka wazi. “ -Kuna mlevi anaongea hapa. Nimemnukuu.
  7. B-2 STEALTH BOMBER

    GE2025 Kuna mtu huu mwaka utamwishia vibaya sana

    Wakuu mpo wazima hapa. Leo nimewaza tu. 1. Kuna mtu ana jikuta yeye ni NYERERE wa sasa hivi hapa jamhuri ya muungano wa Tanzania 2. Kuna mtu hataki kustaafu. Analazimisha mambo kwa utashi wake na manufaa yake na familia yake. 3. Kuna mtu ameonesha udalali wake wazi wazi. Kashindwa ndani ya...
  8. A

    KERO Lini Wizara ya Kilimo itanunua Mahindi Mwaka wa 2025/26? NFRA hawajibu maswali yetu

    Nianze kwa kupongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayoifanya kwa kweli mnastahili pongezi kubwa. Mimi nina ombi moja, ninaomba nisaidieni kuuliza swali kwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe pamoja na Wizara yake kuwa ni lini Serikali itakuwa na mpango wa kununua Mahindi kwa huu Mwaka wa 25/26...
  9. Doto12

    Nime process Mkopo mkagoma, TOPUP zimegoma huu mwaka?

    Mimi ni mjasiriamali. Nimekopa benki 4 kwa kawaida Nina kipato Cha mil 2.5 kwa mwezi, hiki kias huingia kwa guarantee ya si chini ya 2.5m huingia japo inaweza kuzidi kulingana na biashara zangu. Benki nne zimeniamni na zimenikopesha na kunikata kias kubalika kila mwezi na haijawahi niletea...
  10. K

    KERO Wakazi wa Matosa Uzaromoni – Goba tuna changamoto ya Kalavati, huu mwaka wa pili TARURA wanakuja kupiga picha wanaondoka

    Tunaomba ujumbe wetu huu ufike hadi kwa Waziri wa Ujenzi, kwa muda wa Miaka miwili, sisi Wananchi wa Matosa Uzaromoni, Mtaa wa Mikumi, Kata ya Goba, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam tunapitia changamoto kubwa ya usumbufu wa maji ya mvua kutokana na udogo wa ‘Kalavati’ Tumelalamika sana...
  11. B

    KERO Responded Wakazi wa Chanika Zingiziwa tuliwekewa nguzo huu Mwaka wa tatu sasa hatuna umeme na hatujui kinachoendelea

    Sisi Wakazi wa CHANIKA ZINGIZIWA tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua huu mwaka wa pili sasa, tangu Mwaka 2023 tuliambiwa tutaletewa mradi wa umeme lakini hii sasa ni 2025 mpaka leo hatuna umeme. Inashangaza sana, Chanika ni Wilaya ya Ilala, Wilaya ambayo imekuwa ikisemwa inaingiza mapato zaidi...
  12. ARGAN MARA

    Mwenye uwezo wa kufunga mipaka afunge chakula kinanunuliwa sana na majirani zetu na huu mwaka kutakuwa na njaa

    Habari za jumapili kwa mapenzi makubwa kwa taifa langu naomba taarifa hii imfikie mwenye uwezo wa kuzuia chakula kuuzwa Nnje ya nchi Kutokana na majirani zetu ususani Kenya na Congo kwa kipindi hiki wanauitaji mkubwa wa chakula kupelekea kununua kwa wingi mazao yalipatikana katika msimu...
  13. Imchomvu

    Nahhitaji mchumba mwanamke alie tayari anicheki tuyajenge huu mwaka nataka kuoa

  14. grandMullah23m

    Mpango wa kukimbia kodi 2025

    Salaam wanajukwaa...katika pitapita zangu na maongezi na fundi namna ya kuanzisha ujenzi wa msingi,ameniorodhesha mkeka mrefu🥲..ambapo Kuna kipengele cha wall puty/chokaa kg 20..ambayo bei ni 20000@..naomba kujua matumizi yake kwenye hatua za awali za ujenzi wa msingi...
  15. The ice breaker

    Huu mwaka ni wa kula Bata tu

    Wakulungwa , huu mwaka 2025 Mimi nimeamua kula Bata na kufurahisha nafsi yangu, Yani ni mwaka sio wa kujitesa tena . Haya maswala ya kutafuta pesa na Bado hauli Bata nimeona sio kweli..maisha yenyewe mafupi haya , time yoyote unaweza ukakata moto na pesa zako usifaidi wa kafaidi wengine ambao...
  16. TAI DUME

    Ndio kwanza Januari 2, ila huu mwaka bora uishe tu

    Nilikuwa nausubiri sana huu mwaka 2025 coz ilikuwa Aprili niende abroad kwa masomo ya juu zaidi kwangu. Lakini leo nimepokea taarifa kwamba ufadhili wangu huo umesogezwa mbele ni mpaka mwakani. Huu ufadhili nimeusubiri kwa mwaka mzima na ndio ilikuwa achievement yangu ya 2025. Na wewe umepigwa...
  17. Expensive life

    Wakuu huu mwaka 2025 unapoenda sehemu iwe barber shop, restaurant etc, kabla yakupata huduma ni bora ukauliza kwanza bei yalinikuta

    Niliwahi kuingia barbershop moja humu ndani kuna full kiyoyozi huduma si mchezo masaa mawili kinyozi anakunyoa hana haraka. Nikanyoa si unajua tena wadada wa barber shop kaka uso wako una mafuta sana ngoja tukusafishe uso, nikatoka nimeg’aa ile mbaya, ikaja bill macho yalinitoka 45000. Uzuri...
  18. ommytk

    Kwa hali ilivyo ikitoka amri kuingia 2025 uwe na tsh 500,000 wengi tubaki

    Sijui uko wenzwetu uku kwetu mambo yamekuwa magumu balaaa sijui ndio ukiona ugumu kuna neema mbele inakuja.maana hapa ata wakisema kuingia 2025 uwe na laki 2 naona bado kuna kubaki 2924
  19. Half american

    Siku zinayoyoma kwa kasi sana kwenye huu mwaka wa kufosi au hii hali ni kwangu tu?

    Habari wakuu, nianze kwa kuwapa pole kwa janga la kariakoo ni janga zito sana Mungu awatie nguvu wahanga wote katika kipindi hiki kigumu. Nirudi kwenye mada, wakuu siku zinakwenda spidi sana nadhani nanyi mnalipitia hilo, kuna jambo nilipanga kufanya november nna utaratibu wa kuweka reminder...
  20. ESCORT 1

    Meja Jenerali Ameir Hassan, Mkuu wa Kamandi ya Maji (Navy), Je naye ni Komando?

    Wakuu… Naombeni mnifahamishe huyu Mkuu wa Kamandi ya Wana Maji, Meja Jenerali Ameir Hassan ni Komando? Nimeona ana bawa katika gwanda lake?
Back
Top Bottom