huu mwaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo ikitoka amri kuingia 2025 uwe na tsh 500,000 wengi tubaki

    Sijui uko wenzwetu uku kwetu mambo yamekuwa magumu balaaa sijui ndio ukiona ugumu kuna neema mbele inakuja.maana hapa ata wakisema kuingia 2025 uwe na laki 2 naona bado kuna kubaki 2924
  2. Half american

    JamiiForums Tanzania Siku zinayoyoma kwa kasi sana kwenye huu mwaka wa kufosi au hii hali ni kwangu tu?

    Habari wakuu, nianze kwa kuwapa pole kwa janga la kariakoo ni janga zito sana Mungu awatie nguvu wahanga wote katika kipindi hiki kigumu. Nirudi kwenye mada, wakuu siku zinakwenda spidi sana nadhani nanyi mnalipitia hilo, kuna jambo nilipanga kufanya november nna utaratibu wa kuweka reminder...
  3. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Meja Jenerali Ameir Hassan, Mkuu wa Kamandi ya Maji (Navy), Je naye ni Komando?

    Wakuu… Naombeni mnifahamishe huyu Mkuu wa Kamandi ya Wana Maji, Meja Jenerali Ameir Hassan ni Komando? Nimeona ana bawa katika gwanda lake?
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Lyrics za wimbo wa 'Huu Mwaka' wa Dayoo na Rayvanny

    Huu mwaka eee ndo mwaka wa kuforce yaani mtake mcitake huu mwaka mtaniita boss Rayvanny Huu mwaka eee ndo mwaka wa kuforce yaani mtake mcitake mtaniita boss Huu mwaka ee wa faida sio loss tushalala njaa huu mwaka mwendo wa misosi Sisi Mungu anatulinda japo maadui wengi wanatuwinda Vita...
Back
Top Bottom