huru

The Chronicle of Huru (Romanian: Cronica lui Huru) was a forged narrative, first published in 1856–1857; it claimed to be an official chronicle of the medieval Moldavian court and to shed light on Romanian presence in Moldavia from Roman Dacia and up to the 13th century, thus offering an explanation of problematic issues relating to the origin of the Romanians and Romanian history in the Dark Ages. Publicized and endorsed by the Romantic nationalist intellectuals Gheorghe Asachi (who edited the published version) and Ion Heliade Rădulescu, it was argued to have been the work of Paharnic Constantin Sion (or another member of his family) or that of Gheorghe Săulescu, Asachi's friend and lifelong collaborator.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania MPAKA LINI TUTAKUJA HURU?

    Kwa mawazo yangu nafikili nch tutakuja kua huru pale taasisi mbili muhimu zitakapokuja kupata viongozi wenye akili na wenye kujielewa. Wenye kujali maslai ya taifa zaidi kuliko kujali maslai yao binafsi. Taasisi hizo ya kwanza ni jeshi la polish. Siku ukipata kiongozi anaejielewa na kuelewa kua...
  2. JamiiForums Tanzania Kituu pekee cha kukikomboa kutoka palestina na pawe huru ni hamas, muslim brotherhood, IRGC na uislamu wa itikadi ya msimamo mkali.

    Wala gaza sio wahanga wa uyahudi. Wala gaza sio wahanga wa u-magharibi. Bali gaza ni wahanga wa kufanyika midoli ya jihadi uchwala. Masikini kwa bahati mbaya hawatakaa hawaelewe kwa maana tangu utotoni wamefundishwa kumchukia mbwa wa jirani wakati wa nyumbani kwake ndio anakula kuku wake.
  3. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Serikali inabidi kuruhusu uchunguzi huru hapa Tanzania

    1. Ugonjwa wa ghafla uliompata "Edward Lowassa" kuelekea 2015 2. Kifo Cha Chacha Wangwe. 3. Kifo cha Sokoine 4. Kifo cha Membe 5. Kifo Cha Dr Mengi 6. Kifo cha Mch Christopher Mtikila 7. Kifo Cha Magufuli 8. Kupigwa risasi kwa Lissu 9. Kupotea kwa Bilali Mwisho , humanity, humanity ndo...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa Wasabato tu na wenye Fikra Huru

    Wapenda katika bwana salam kwa jina la bwana wetu yesu kristo!! Ukihisi hujakua kihisia, au huwezi kushkilia Mihemko, au re avaluate mapokeo yako Logically tafadhali pita nimelileta kwenu kwasababu binafsi limenishinda!! Nimekuwa na mwanafunzi wa Bible kwa muda sasa karibu miaka mitano au...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Mawakala wa Vyama Malawi Wasipewe Nakala za Matokeo ya Kituo Husika Kama Uchaguzi Ni Huru na Tume ya Uchaguzi ni Huru Pia?

    Kwakuwa Tume ya Uchaguzi ya watu wa Malawi ni Huru , basi hakuna sababu ya kuzuia mawakala kupata nakala ya matokeo waliyoshuhudia. Kunyima nakala ni uhuni, uwazi unahitaji kila chama kuthibitisha takwimu... Tume Huru haipaswi kuogopa ushahidi, kwani ukweli hudumu kupitia uwazi na usawa. Ila...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 If not lip services, Lissu anaachiwa, Chadema inashiriki uchaguzi, TAL Mgombea Urais, tunafanya uchaguzi mkuu huru na wa haki kweli

    Wanabodi Kufuatia mazungumzo ya rais wa TLS juzi kuomba kuonana na Rais Samia,kumuomba pamoja na mambo mengine,ni kuomba Lissu aachiwe,kanuni za uchaguzi zirekebishwe,Chadema ishiriki uchaguzi. Kiukweli,sijawahi kuona rais msikivu kama Samia!,siku ya Jumanne mtu aombe kumuona rais,kesho yake...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Kassim Majaliwa: Uchaguzi utakuwa huru wa haki na uwazi, Oktoba tukapige Kura

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wananchi kujitokeza kushiriki uchaguzi kwa kuwachagua viongozi, ambapo amesema uchaguzi huo utakuwa huru, wa wazi na haki huku akitoa rai kwa Wananchi kutopata hofu ya kujitokeza kupiga kura akidai kuwa wasiwe na shaka ya usalama. Ameyasema hayo...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa upinzani madhubuti wa Chadema na Tume Huru ya Uchaguzi. CCM inachukua mgombea yoyote hata asiye na ushawishi kwa wapiga kura.

    CCM imeamua kuwaacha wagombea wenye ushawishi kwa wananchi kwa kuwakomoa kwa kuamini yeyote ikimuweka anapata ubunge. Hata walioachwa hawana pa kwenda kwani wakifanya hivyo visasi vitawafuata. Kukosekana kwa mfumo huru wa uchaguzi na CCm kumiliki vyombo vyote vya dola ( mahalama na bunge) na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Watu wawili ambao wanaweza kutuletea demokrasia na chaguzi huru sio wanasiasa!

    Kuna watu wawili ambao kesho wakienda kwenye TV au watoke na wasema maneno haya nchi hii tutakuwa na chaguzi huru na demokrasia. Watu hawa sio wanasiasa au wazee je wa hao ni nani na watasema nini 1. Mkuu wa majeshi atoke na aseme tena kwa upole sana. Aseme nchi yetu inapenda haki, nchi yetu na...
  10. JamiiForums Tanzania KURA HURU: Mgombea yupi ungetamani awe Rais wa Tanzania 2025 - 2035

    ANGALIZO: Kura hizi ni Huru na hazihusishi Mchakato wa Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 nchini Tanzania. Hivyo Wagombea wanaowekwa hapa wengine hawajatangaza nia wazi kuwa watashiriki na wengine wapo katika mchakato. Wewe kama mchangiaji huru piga Kura yako kuchagua Rais unayemtaka.
  11. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe jinsi Hayati Magufuli alivyokataa pesa za Matajiri akiwemo Mzee Mengi katika kampeni zake

    Wazungu wanamsemo wao unasema " Scratch my back I Scratch yours " hii kwa kiswahili inaitwa nipe nikupe. Hicho ndo maCCM wanafanya dhidi ya matajiri. Je watakuja kulipa nini. Wakikwepa kodi or whatever watawafanyaje? Wafanyabiashara wa kiafrika wanamakandokando mengi sana ukiwachekea...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msiwe huru kupitiliza kupost "Anonymous" kwenye magroup ya facebook, Admins na Moderators bado wana uwezo wa kuwajua,

    nimeona watu wengi wakitumia njia ya anonymous kupost mambo ya siri au nyeti kwenye magroup ya Facebook, wakiamini kwamba hawawezi kutambulika. Hata hivyo, ni muhimu kuelewa ukweli halisi kuhusu jinsi mfumo huu unavyofanya kazi. Kumbuka: Ingawa anonymous posts hazionyeshi jina lako kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Family time ya kiafrika ni baba asiwepo ndio watoto wanakuwa huru, Baba ukiwepo akijumuika kunakuwa hakuna uhuru

    Kwa asili yetu waafrika wengi baba anafaa zaidi kwenye mijumuiko inayohitaji maamuzi na kuonekana kama kichwa mfano kwenye vikao, misiba, sherehe, kuitetea familia kwenye hatari, n.k. Mama ndie anaonekana kufaa zaidi kwenye family time iwe ni kukaa pamoja sebuleni, kula pamoja, kwenda out...
  14. JamiiForums Tanzania Ureno kutafakari ikiwa itaitambua Palestina kama taifa huru

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa Ureno Luis Montenegro imetangaza Alhamisi kuwa itatathmini iwapo itaitambua Palestina kama taifa huru wakati wa hadhara kuu ya Umoja wa Mataifa mwezi Septemba mwaka huu. Ufaransa, Uingereza na Canada ni mataifa ya hivi karibuni zaidi yaliyotangaza azma hiyo, hatua...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimondo: Wanajua uchaguzi ukiwa huru, wa kifuata utaratibu na haki CCM hawawezi kupita

    Mchungaji mstaafu wa KKKT Dkt. Steven Kimondo amesema kuwa chama cha mapinduzi hakitaki kufanya mabadiliko/reforms zinazoombwa ni kwa sababu wanajua uchaguzi ukiwa huru na haki hawawezi kushinda. Mchungaji Kimondo amerejelea maneno aliyowahi kuyasema Balozi Humphrey Polepole kuwa CCM ikifanya...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya BRICS yaunda mfumo wa ikolojia wa AI huru

    China inaendelea kuongoza katika masuala ya teknolojia ya akili mnemba (AI) ndani ya nchi za BRICS ikiwa na 47.2% ya tasnifu zilizotajwa zaidi za AI na kushika nafasi ya juu katika kuweka hataza za AI kimataifa. Ukiungwa mkono na zaidi ya dola bilioni 150 za ufadhili wa serikali, mkakati wa AI...
  17. JamiiForums Tanzania Admin wa Tume Huru ya Taifa Uchaguzi amefanya kwa Makusudi au ndio ukweli? Chapisho lililopo kwenye tovuti lina makosa ya uandishi!

    Tume huru ya uchaguzi wametoa chapisho ambalo lina makosa ya kiuandishi jambo ambalo sio la kawaida kwa taasisi.. kwanza kabisa mwanzoni linasomeka hivi.... Tume Huru ya Taifa ya Uchafuizi imetangaza kuwa Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani utafanyika Siku ya Jumatano ya tarehe 29 Oktoba, 2025...
  18. JamiiForums Tanzania LHRC: INEC itoe uhakikisho kuwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki

    Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Fulgence Massawe ametoa wito kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kujitokeza hadharani na kuwahakikishia wadau kuwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki. Massawe ametoa wito huo leo Julai 24, katika mahojiano katika...
  19. JamiiForums Tanzania INEC iliundwa ili kuhakikisha chaguzi zetu zinakuwa za Haki, Huru na zakuaminika

    Rais Samia ametunga sheria mbalimbali kuimarisha demokrasia nchini ikiwemo sheria ya tume huru ya uchaguzi ili kuhakikisha chaguzi zinakuwa za haki,huru na za kuaminika. Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 imeitambua demokrasia na haki kama nguzo muhimu na ya msingi katika utekelezaji wa maono...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Kumbukizi: Balozi pole pole; "uchaguzi ukiwa huru na haki CCM ijiandae kukabidhi ikulu"

    Wasalaam. Kujiuzulu ubalozi kwa aliekua balozi wa Tanzania nchini Cuba hakujaja kwa bahati mbaya, kwani ni mara kadhaa hapo nyuma mzalendo huyu amekua akikionya chama chake ccm juu ya kuheshimu misingi ya democrasia na utawala bora. Lakini CCM ni kama sikio la kufa halisikii dawa kiasi wenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…