The Chronicle of Huru (Romanian: Cronica lui Huru) was a forged narrative, first published in 1856–1857; it claimed to be an official chronicle of the medieval Moldavian court and to shed light on Romanian presence in Moldavia from Roman Dacia and up to the 13th century, thus offering an explanation of problematic issues relating to the origin of the Romanians and Romanian history in the Dark Ages. Publicized and endorsed by the Romantic nationalist intellectuals Gheorghe Asachi (who edited the published version) and Ion Heliade Rădulescu, it was argued to have been the work of Paharnic Constantin Sion (or another member of his family) or that of Gheorghe Săulescu, Asachi's friend and lifelong collaborator.
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amezitaka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi pamoja na Wizara ya Katiba na Sheria kufanya uchunguzi wa kina ili kujiridhisha kama watu wote waliokamatwa katika matukio ya Oktoba 29, 2025 wameachiwa huru, kama...
Nimeona mitandaoni juu ya kauli hii ya Mbowe kuwa CHADEMA ya sasa chini Lissu haijengi hoja kama ilivyokuwa akina Mtei na Bob Makani.
Hii sio kweli kabisa. Sasa Hivi Lissu na Heche ndio wanahoja za mashiko. Kwa katiba hii ya CCM ambayo hata mtu hajapigiwa kura anakuwa madarani utaingia ikulu...
Nahisi kama tangu tumepata uhuru huyu atakuwa Jaji mkuu ambae yupo linked na siasa.
Analialia kuwa yeye na mahakimu wake wana hali mbaya kimaslahi hivyo anaomba waongezewe posho.
Hapa mahakama zitakuwa huru?
Mimi nilitarajia aombe mabadiliko ya sheria ambayo yatamfanya awe na mhimili ambao...
Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amezungumzia kuhusu maslahi ya Watendajiw a Mahakama mbele ya Rais Samia Suluhu ambaye anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
Katika taarifa zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii, NICODEMUS LOYORE ameachiliwa huru mchana wa leo, baada ya kukamatwa tangu tarehe 19.12.2026. Loyore alikamatwa akiwa ofisini kwake jijini Dar es Salaam na watu waliokuwa wamejitambulisha kuwa wanahusiana na jeshi.
Linaiva jikoni linasubiri kupakuliwa tuu! Hakuna uhuru wa kuua raia wako namna ile tena raia asiye hata na panga halafu usimame kujifanya oooh! Hii ni nchi huru wasitupangie nyokoooo , utatolewa kwa aibu uhuru wa nchi na nchi kuwa huru sio kofia au tiketi ya kuua raia wako hovyo hovyo hata kama...
Je yakifanyika yale yale yaliofanya amani itoweke baada ya maridhiano, je maridhiano yatakuwa na maana? Maridhiano ni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi sio sinema
Marekani imekiuaka sheria za kimataifa.
Mkataba wa Montevideo juu ya uhalali wa dola huru kutoingiliwa umekiukwa.
Hakuna aliyepinga kwa kukemea chochote.
NB:
Anayetaka kuthibitisha hili, aende pale Mabibo zilipo Hostel za wanachuo wa UDSM aulize steshenari aliyokuwa anauza Dada Devotha. Watakuambia hajui alipo zaidi ya wiki sasa....
Shetani yuko kazini jamani kulinda himaya na utawala wake ktk Tanganyika akiwatumia mawakala wanadamu wenzetu...
Netanyahu Atangaza Mpango wa $110 Bilioni wa Kujenga kiwanda Huru cha Silaha cha Israeli
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ametangaza uwekezaji mkubwa wa shekeli bilioni 350 (takriban dola bilioni 110) katika muongo ujao ili kuendeleza sekta huru ya silaha za ndani.
"Niliidhinisha jumla...
"Na mimi hii nitaendelea kusema hata wakereke ndio Mungu aliumba kila nchi akaipa rasilimali zake, rasilimali za Tanzania ni za Watanzania na Mheshimwa Rais alitoa maelekezo anayetaka aje tushirikiane. Kama tuna rasilimali zetu lazima tuzilinde kwa wivu. Hata kama watu wanaungana kutunandika...
Unawaza nini?
Unakumbuka nini?
Je unakuogopesha?
Je inakuumiza?
Je inakuogopesha?
Binafsi nina shuhuda zangu nitashare kwenye comments
Karibuni kwa mjadala
https://www.jamiiforums.com/threads/ambulance-zetu-na-wahudumu-wa-chumba-cha-mahututi.1728818/
Mambo vipi wana JF.,.
Nimeona hii taarifa rasmi ya Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Oktoba 2025 – wanaomba wananchi wapeleke maoni, ushahidi, picha, video, maandishi na nyaraka zozote za matukio hayo kwa barua pepe: maoni@tume.uchunguzi.go.tz au WhatsApp/SMS.
Sasa...
Mnakumbuka kipindi cha Magufuli vimemo vya vi organizations mbalimbali vilivyotolewa na majibu ya MAGUFULI?
Baadaye wakijua kuwa unajiamini na hitishiki wanaendelea kumwaga pesa maisha yanasonga.
Hata wasipotoa pesa tutaishi vivyo hivyo ingawa wewe mwananchi ndiyo tutakuminya zaidi kwenye...
Tunarejea tamko la Mwakilishi Mkuu kwa niaba ya Umoja wa Ulaya la tarehe 2 Novemba 2025, na tamko la pamoja la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Norway na Uingereza la tarehe 31 Oktoba 2025, kuhusu uchaguzi nchini Tanzania.
Tumehuzunishwa sana kwa vifo na majeruhi wengi waliotokana na matukio...
Hatimaye Kitabu cha MAGUFULISM- Falsafa Mpya kuelekea Afrika huru Kiuchumi || Vita ya Kiuchumi dhidi ya Propaganda kimetoka katika mfumo wa nakala tete (Soft Copy).
Kitabu hiki kimesheheni mambo mengi unayoyajua na usiyoyajua kuhusu Dr. John Pombe Magufuli na falsafa ya MAGUFULISM kwa Ujumla...
Haya ndio mweshimiwa lissu aliyakataa yani utoke kwa makubaliano kisa mkubwa na sio mahakama.
Angalieni video vizuri ya niffer ambayo unaona alivyotoka mahakamani bado yupo na mapolisi na usalama.
Hii script ya CCM kusema raisi kawa na haki ni uwongo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.