Mahakama ya wilaya ya Mkoa wa Arusha imemwachia huru mfanyabiashara Maarufu wa madini ya Tanzanite jiiini Arusha Lucas Mdeme(46) na mwenzake Nelson Lyimo(58) waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka sita likiwemo la uhujumu uchumi baada ya upande wa mashtaka kudai haina Nia ya kuendelea nao katika...