huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Janga la umeme linaloendelea, tujuzane wapi unaweza kwenda kufanya kazi zako kwa kulipia au kununua wanachouza

    Ni miezi miwili au mitatu sasa hakuna umeme wa uhakika kabisa, nijikite kwenye mada. Wapi kwa Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, au kwingine ukiwa na kazi za ofisini kwenye laptop unaweza kwenda kufanya kazi zako pindi umeme unapokatika. Maana yake wengine tutakufa njaa na kazi za watu...
  2. JamiiForums Tanzania Tunaomba serikali iyaachie mashirika muhimu ya umma yenye kutoa huduma kwa jamii moja kwa moja yajitegemee kila kitu kasoro usimamizi tu

    Hii ni kwa maslahi ya wananchi... Kinachopelekea uzembe na kudorora kwa utoaji wa huduma kwa wananchi ni Kwamba... Wana uhakika wa mshahara bila kujali mauzo... Ingebidi wawe wanawapata malipo kulingana na wanavyouza wangekuwa na adabu na kujituma. Kwa mfano TBC wanajua kabisa... Uangalie...
  3. JamiiForums Tanzania Taadhari Kuna Wizi wa pesa katika Baadhi ya benki zetu kupitia huduma za Kibenki kwa njia ya simu. Wateja wa benki tuchukue taadhari. Mamlaka Ziamke!

    Habari zenu wanaJf, poleni na miangahiko yakusukuma gurudumu la maisha. Napenda nitangulize radhi kwenu kwa matatizo ya kiuandishi yatakayo jitokeza katika uandishi wangu. Ndugu zangu kama nilivyo taadharisha hapo juu. kunawizi unaendelea Na Ndugu yangu kakutana na hii adha. Tukio lenyewe...
  4. JamiiForums Tanzania Tigo wameondoa makato ya shilingi 100 kimya kimya kwenye huduma ya NMB Mobile

    Kilichoniondoaga voda ni hii ishu ya sh.100 sasa nilivyokuja tigo nao haikuchukua muda wakaanzisha huo ujinga tena bila kuarifiwa wala kushirikishwa. Mshahara jana ukaingia kwa wengine na ukachelewa kwa baadhi yetu basi watu kutokana na kupigika wakawa wanachungulia moja kwa moja accounts zao...
  5. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Sitegemei kukosea tena kuhusu Sheria ya Huduma ya Vyombo vya Habari

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kwa awamu hii hatarajii kukosea tena kuhusu Media services act ambayo wadau wa habari wamekuwa wakiilalamikia tangu kuundwa kwake 2016. Nape amesema hayo alipokuwa akipokea mapendekezo ya wadau wa habari nchini katika...
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wahudumieni wananchi msipiganie madaraka tu

    Mijadala mingi katika mitandao yetu ya kijamii inajikita katika kulinda madaraka ya baadhi ya watu. Mwananchi wa kawaida anakosa majibu ya maswali anayokutana nayo kila siku. Huyu ana mfukuza yule na yule ana msema yule katika tu kulinda madaraka au kuyapigania. Maswala kama maji, umeme...
  7. JamiiForums Tanzania Machozi ya furaha na mikumbatio Kherson bada ya huduma ya treni ya kuunga Kyev kurejeshwa

    Urusi walipopiga mabomu na kuteka mji wa Kherson, walisema wameukomboa, ila baada ya wazalendo wa Ukraine kutembeza kichapo cha kuwaondoa, wananchi wamepokea na furaha sana maana ndio ukombozi haswa.. Tears as first Kyiv train arrives in freed Kherson Tears as first Kyiv train arrives in freed...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Suala la Mitihani na Usaili kufanyika siku ya Jumamosi tutalitazama

    Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Jubilei ya Miaka 50 ya Utume na Huduma ya Kanisa la Waadventista wa Sabato leo Tarehe 19 Novemba, 2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma SAMIA SULUHU HASSAN - RAIS Kwanini hajawahi kuhudhuria...
  9. JamiiForums Tanzania Only in Tanzania, tuko tayari kupiga kelele Bar zikeshe ila sio huduma nyingine.....

    Kuna mambo yanafikirisha sana. Watanzania (baadhi) wako tayari hata kuandamana kugomea Bar zisifungwe ila sio huduma nyingine za msingi. Leo hii eti mabenki yote yanafungwa jioni kuanzia saa Tisa na nusu, only NMB na CRDB pengine na NBC kwa pale Mlimani City na baadhi ya maeneo. Kwahio kama...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kwanini TCRA haisimamii na ku-regulate bei za huduma za mitandao?

    Habari ya asubuhi wana JF. Nimeleta hoja hii mbele yenu, kupata maoni kutoka kwenu. Hii ni kutokana na kubadilika kwa bei za vifurushi mara kwa mara bila kutolewa sababu za kubadilika kwa gharama za huduma hizo. Kwanini hakuna chombo kama EWURA!? Kinachofanyika kwenye mafuta kifanywe na huku...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Rais Samia kuimarisha huduma za kibingwa bobezi

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, imeongeza fedha za kusomesha Wataalamu bingwa na bobezi hadi kufikia shilingi Bilioni 8 kutoka Shilingi Bilioni 3 za mwaka wa fedha 2021/22, utakaosaidia kuboresha huduma kwa wananchi na kupunguza Rufaa za nje ya nchi. Mpango...
  12. JamiiForums Tanzania 40% Watanzania hawajafikiwa na huduma rasmi za kifedha

    Wizara ya Fedha na Mipango imesema asilimia 40 ya Watanzania bado hawajafikiwa na huduma rasmi za kifedha. Kauli hiyo imetolewa leo Jumanne Novemba 15, 2022 na Kamishna wa Uendelezaji Sekta ya fedha, Charles Mwamaja wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoani Dodoma kuhusu wiki ya fedha...
  13. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Tabia Nchi isiwe kichaka cha kuwanyima huduma muhimu wananchi

    Mtanzania ukimpa sababu, umemaliza, ataitumia sababu hiyo kila sehemu. Ukizungumzia umasikini wa bongo watasema ni kwa sababu ya ukoloni ambao umeisha miaka 60 iliyopita lakini bado hakuna hatua serious. Kwa sasa dunia ipo kwenye agenda ya Mabadiliko ya Tabia nchi, na Tanzania imeichukua suala...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kujua ni vifaa gani vinahitajika katika kuanzisha huduma hii ya hosting Tanzania

    Wadau wa jukwa hili naombeni kujua ni vifaa gani muhimu vinahitajika kuanzisha sever kwa ajili ya hosting ? Ukitoa kuwa na Generator la automatic ambalo ni muhimu kuwepo na Internet ya nguvu either na solar power kwa kujilinda ikitokea tatizo lolote kwenye vyanzo vya umeme. Je ni vitu gani...
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania msilalamike. Shukuruni na tuendelee kuomba Mungu. Nchi hii hatua kwa hatua inatoka mikononi mwa wakoloni weusi CCM...!

    Hakuna ubishi kuwa, mambo katika nchi yetu hayako shwari. Uamusho na ukombozi huwa hauji katikati ya furaha ya kula na kunywa. Mambo yalifikia ukomo wa uharibifu mwaka 2015 mara baada ya John P. Magufuli kutawazwa kuwa Rais wa 5 wa Tanzania. Huyu alianza kwa kuharibu mfumo wa kisiasa na...
  16. JamiiForums Tanzania EWURA yazitaka mamlaka za maji nchini kutoa taarifa sahihi za huduma ya maji na usafi wa mazingira

    MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ( EWURA) Mhandisi Modestus Lumato,akizungumza wakati wa kikao kazi cha Watendaji wa Mamlaka za Maji za Mikoa na Miradi ya Kitaifa kilicholenga kuhakiki taarifa za utendaji wa Mamlaka hizo kwa mwaka 2021/22 kilichofanyika leo...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Serikali kuingia ubia katika kutoa baadhi ya huduma

    Katika kuhakikisha kuwa baadhi ya huduma zinakuwa endelevu kama maji na umeme serikali itoe dhabuni au kuingia ubia na private entities kutoa baadhi ya huduma.. Wakati mwingine mambo yanakuwa ni mengi kwa serikali kwa kufanya hivi mzigo unaweza pungua kidogo
  18. R

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari andaeni Makala kuhusu changamoto ya Upatikanaji wa Huduma za maji

    Habari za Leo wapendwa Binafsi nina familia na ninaona namna familia yangu jinsi inavyopitia kipindi kigum kutokana na hii changamoto ya Maji. Mimi nilikuwa nashauri Media zote nchini waandae Makala kuhusu upatikanaji wa Maji wazunguke mitaa yote jiji la Dar es salaam wahoji wananchi na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Nape: Serikali haifurahishwi na Mahusiano ya watoa huduma za Mawasiliano na Watumiaji

    Hayo yamesemwa leo Bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye (MB) wakati akichangia Mjadala wa Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa utakaotekelezwa Mwaka 2023/2024. “Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu yanayoonyesha...
  20. JamiiForums Tanzania Nape: Bando ni huduma ya ziada, ukitaka lisiishe tumia salio la kawaida. Mbunge ataka liwe kisheria

    Waziri wa habari, Nape Nnauye amewataka wabunge kuacha kutuhumu wizi kwenye mitandao ya simu kwa ujumla. Nape amesema bando ni huduma ya ziada ambayo ina masharti ya muda, mtu akitaka lisiishe uko utaratibu wa kutumia 'Main Tarrif' akitolea mfano tiketi za kusafiria za mwezi ambayo hauwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…