huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vifaranga vilivyofia airpot kwa kukosa huduma vipo wapi kwa sasa?

    Hivi karibuni tulisikia vifaranga 60,000 vikiwa vimekufa kwa kukosa huduma kwenye uwanja wa ndege wa Dar baada ya kuingizwa nchini kinyume cha sheria na kutokuwa na vibali. Vifaranga hivyo ni mali ya Kampuni ya Phonex ya Mkuranga Mkoa wa Pwani swali je viko wapi kwa sasa vifaranga baada ya...
  2. H

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Clinic ya Marie Stopes Mwanza inatoa huduma za utoaji mimba (abortion)

    Clinic ya Marie Stopes iliyoko jijini Mwanza wanajihusisha na vitendo vya utoaji mimba. Mimba zinatolewa sana hapa, hasa za wanafunzi wa vyuo vikuu maarufu vya hapa Mwanza (sitaki kuvitaja) na wake za watu waliopata mimba za michepuko. Mchezo unaofanyika ni kwamba wanawake wanaohitaji hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Alichokisema nabii Bashando baada ya huduma WRM iliyo chini ya nabii Suguye kufungiwa

    Alichokisema Nabii #Bashando "Mimi ni miongoni mwa watu ambao sikuuelewa kabisa ufunuo wa nywele na kucha wa Nabii Suguye, na niliukosoa hadharani, ila pamoja na kutokuuelewa haunipi sababu ya kushangilia huduma ya WRM kufungwa. Hapa kuna jambo ambalo watu wengi hatuelewi. Ni kwamba kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Orodha ya nchi barani Afrika zenye Huduma ya Elimu bora kwa mwaka 2022. Tanzania ni ya ngapi?

    1. Seychelles 🇸🇨 (51st) 2. Algeria 🇩🇿 (73rd) 3. Mauritius 🇲🇺 (78th) 4. Egypt 🇪🇬 (84th) 5. Kenya 🇰🇪 (90th) 6. Tunisia 🇹🇳 (104th) 7. Eswatini 🇸🇿 (105th) 8. Ghana 🇬🇭 (106th) 9. Morocco 🇲🇦 (113th) 10. South Africa 🇿🇦 (114th) 11. Cape Verde 🇨🇻 (118th) 12. Sao Tome and Principe 🇸🇹 (119th)...
  5. J

    JamiiForums Tanzania DG - RUWASA awaomba radhi wananchi wa vijiji vya Igando na Kijombe kwa kucheleweshewa huduma ya maji

    Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA Mhandisi Clement KIVEGALO ameowaomba radhi wananchi wa vijiji vya Igando na Kijombe wilayani Wanging’ombe kufuatia kucheleweshwa kwa mradi wa maji waliousubiri kwa muda mrefu. “Kwa kweli kwanza nitumie nafasi hii kuwaomba radhi wananchi wote kwa kusubiri mradi huu kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: RS Barkane wanaitaka huduma ya Mayele upesi

    FISTON Mayele anatakiwa na klabu ya RS Berkane 🇲🇦 ambao tayari wameaanza kumshawishi meneja wa wa nyota huyo ili avunje au kununua mkataba wake kisha wampe pesa ndefu kiasi cha $ 550k (Sh 1.2b) kama atakubaliana kuvunja mkataba wake na Yanga ili atue haraka nchini Morocco. Chanzo: RFA
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata huduma ya car insurance kwa leo

    Wakuu habari. Gari yangu imeisha insurance bila kujua muda umeisha, naweza pata wapi huduma kwa siku ya leo. Ni third part Asanteni sana
  8. JamiiForums Tanzania Dar: Serikali yalifunga Kanisa la Nabii Suguye

    Hellow Serikali imeingilia kati huduma za kiroho zitolewazo kanisa la WRM kivule maarufu kwa nabii Suguye mpaka sasa hawajatoa sababu maalumu ya kuzuia huduma hizo kusitishwa kwenye kanisa hilo. Kwa upande wangu kama walivyo chunguza hilo kanisa na kugundua mapungufu yaliyopo basi wafanye...
  9. JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa ushindani kunafanya tuwe na huduma nyingi mbovu

    Kwa muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali kadhaa, ambayo mengi sikuwahi kuyapitia majibu. Kwa mtazamo wangu, nadhani kukosekana kwa ushindani kwenye sekta kadhaa, kunafanya hata upatikanaji wa huduma hasa za kijamii ziwe mbovu/hafifu. Ushindani ni nyenzo kuu linapokuja swala la huduma bora...
  10. JamiiForums Tanzania Muhimbili waanza kutoa huduma kupunguza uzito, watatu wenye kilo 100+ wamepata huduma kwa Sh milioni 3.5 hadi 4

    HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila,iliyopo jijini Dar es Salaam, imeanza kutoa huduma ya kupunguza uzito uliokithiri, ikiwa ni hatua ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza. Hadi sasa watu watatu wenye uzito zaidi ya kilogramu 100 wamepata huduma hiyo inayogharimu kiasi cha Sh milioni...
  11. JamiiForums Tanzania EALA wapitisha muswada wa Kamisheni Huduma za Fedha

    BUNGE la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), limepitisha muswada wa Kamisheni ya Huduma za Fedha ya Afrika Mashariki (EAC). Muswada huo wa mwaka 2022 unalenga kuanzishwa kwa kamisheni kama taasisi huru yenye majukumu, mamlaka, vyanzo vya fedha na makao yake makuu. Kupitishwa kwa muswada huo...
  12. JamiiForums Tanzania Tabia hii kwenye vituo vya kutoa huduma za afya haipo sawa

    Habarini, Kuna tabia imejengeka kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya (hospitali, zahanati, vituo vya afya) ambapo mteja baada ya kumaliza kuhudumiwa, analazimika kuacha karatasi ambayo ina taarifa za msingi kuhusu mgonjwa husika. Karatasi hiyo inakuwa na taarifa za aina ya vipimo na majibu...
  13. JamiiForums Tanzania 'Siku ya Huduma ya Afya kwa Wote 2022'. Je, unapata Huduma za Afya zenye Ubora?

    Kila Desemba 12 ya kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Huduma ya Afya kwa Wote ambayo inalenga kutoa wito kwa Viongozi kufanya Uwekezaji wenye Tija na kuharakisha juhudi za kuelekea katika mpango wa 'Afya kwa Wote' Katika kujenga 'Dunia Tunayoitaka', kila Mtu kila Mahali anaweza kupata Huduma...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

    JF, Kwa heshima na taadhima ningependa kujua Nabii Mwamposa amefikaje fikaje hapo alipo na namna Mungu anavyoendelea kumtumia. Nadhani ni muhimu watumishi Hawa wawe wanatuwekea historia zao ili kuweka mazingira halisi ya mahusiano yao na Mungu wetu kabla ya kufikia hatua hiyo...wengine utakuta...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Nigeria yarejesha huduma za usafiri kwa Reli ya Abuja-Kaduna

    Nigeria jana Jumatatu ilirejesha huduma ya usafiri wa treni kati ya mji mkuu Abuja na mji wa kaskazini wa Kaduna, miezi minane baada ya kusitishwa kufuatia moja ya mashambulizi makubwa zaidi kutokea nchini humo. Machi 28, watu wenye silaha walitumia vilipuzi kulipua reli na kushambulia kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Karibu Bright and Genius Editors upate huduma bora

    BRIGHTING AND GENIUS EDITORS TUNAANDIKA NA KUHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO: Business Proposal/Plan Katiba za Vikundi Cover Letter na CV/Resume Website Content Barua za Wadhamini Study Plan na Statement of Purpose Personal Statement Mikataba LAKINI PIA TUNAHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO: 9. Thesis...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli huduma za afya zimeboreshwa?

    Rais Samia Suluhu anaendelea kuboresha sekta muhimu zinazomlenga direct mwananchi na sekta ya afya aliipa kipaumbele, Serikali ilitenga bajeti katika sekta ya afya shilingi Trillion 1.1 ili kukamilisha mahitaji yote yanayotakiwa katika sekta hiyo ikiwemo ununuzi wa vifaa tiba, ujenzi wa vituo...
  18. JamiiForums Tanzania Lugha chafu, dharau na rushwa kwenye huduma za kijamii, hospitali, idara ya maji, TANESCO na ofisi nyingine za Serikali hata hili serikali mshindwa?

    Kwanini haya masuala yamerudi kwa kasi kwa hawa watoa huduma? Mbona mengine hata hayaitaji fedha kutasimamia lakini wananchi wanakumbana na hii janga la kudharauriwa, kunyanyapaliwa, kukejeli, kutojaliwa na wala kutoheshimiwa... na ukitaka ukwepe hayo yote basi TOA RUSHWA.. Tunaenda wapi sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Nitumie Plexi, showbox, Febbox au huduma ipi yenye uhakika na idadi kubwa ya movies / series ?

    Mwezi huu nataka nijipe kalikizo kidogo baada ya kuchoshwa na kazi ngumu za useremala kwa miezi 11 iliyopita, Ni muda wa kuchill atleast Najua wengi mtakimbilia kuniambia nishushe series kwa torrennts lakini amini usiamini si kila kitu kipo kwenye torrents, kuna series kibao kama za netflix na...
  20. JamiiForums Tanzania Ukiona dalili za mimba kuharibika nenda kituo cha afya usipate huduma ya kienyeji

    Mwanamke yeyote ambaye mimba imetoka au kutolewa anatakiwa kupata huduma ya afya ya uzazi kwa kuokoa Maisha yake katika kituo chochote cha afya kilichopo karibu yake. Huduma hii ni salama akiipata kwenye kituo cha afya kwani ataweza kupata huduma ya kusafishwa kizazi , atapata ushauri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…