huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wajuba tutasimama na watoa huduma no matter what.

    .
  2. JamiiForums Tanzania Huduma za Afya ya Akili ziingizwe kwenye Huduma za Mama na Mtoto

    Mjadala uliofanyika Machi 3, 2023, katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania (MEWATA) kuhusu afya ya akili baada ya kujifungua, umenikumbusha mbali. Siku moja napita pita katika wodi ya watoto wachanga nawahimiza akina mama kunyonyesha watoto, mama mmoja aliniita, “Dokta...
  3. JamiiForums Tanzania TANESCO Wakipigiwa simu ya dharura wanachelewa au hawatokei kabisa

    Habari waungwana! Mimi bhana nakwazika sana na suala hili hasa wakati wa dharura hawa TANESCO bhana ni wazito mnoo kufika eneo lilipotokea tatizo. Niliwah pata shida ya Luku, nikapiga simu na nipo karibu na ofisi zao, wakasema watafika ndani ya muda mfupi, cha ajabu nililala giza kiukwel maana...
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji huduma ya kutengenezewa website yenye subcription

    Nahitaji huduma ya kutengenezewa website yenye subcription kwa gharama nafuu maana bado ni biashara changa
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania Commercial Bank sasa kuna pension/salary advance kwa kutumia TCB POPOTE MOBILE : Kuna madhara yoyote kutumia huduma hiyo hiyo?

    Sasa unaweza kuvuta pesa kutoka kwenye mshshsra wako au pensheni yako mpaka limit waliyoweka. Huduma hiyo imeanzishwa two days back. Je kuna madhara yoyote kutumia huduma hiyo? Haya mambo ya technology yana siri nyingi! Mfano haya makampuni ya simu yanatuibia sana kwa kula bundle eti kuna...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Intaneti: Changamoto za gharama na ubora wa huduma zisifumbiwe macho

    Ili Jamii inufaike kikamilifu na Intaneti, changamoto kama Ubora wa Huduma na Gharama hazipaswi kufumbiwa macho Maisha ya Wananchi wengi yamebadilika kwa kiasi kikubwa kutokana na Upatikanaji wa Intaneti. Uwepo wake unawezesha kufurahia Haki nyingine za Msingi za Binadamu
  7. JamiiForums Tanzania Mitandao ya Kijamii na Uhuru wa Matumizi Yake Sahihi ni Huduma Muhimu kwa Wengi

    Mitandao ya kijamii imerahisisha sana uwepo wa majadiliano ya mtandaoni kuhusu masuala yoyote yanayoigusa jamii husika. Mitandao imekuwa ni uwanja wa kutafuta suluhu za matatizo ambayo jamii inakumbana nayo, lakini pia imekuwa kijiwe ambapo watu hubadilishana mawazo na pengine kupeana mbinu...
  8. JamiiForums Tanzania Dhamira ya Kuhakikisha Kila Mmoja Ananufaika na Huduma ya Intaneti Bado Inakwamishwa Sehemu Mbalimbali Duniani

    Serikali kwa kushirikiana na watoa huduma wanaweza kuzuia huduma ya kufikia mtandao kwa njia nyingi. Kwa mfano, serikali zinaweza kukata gridi ya umeme au kuhujumu miundombinu ya huduma ya mtandao kama vile minara ya simu za mkononi na kebo za fibre optic. Serikali pia zinaweza kuzuia ufikiaji...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Hatujaibania starlink kutoa huduma ya intaneti, Elon Musk bado hajakidhi vigezo tulivyomuwekea

    Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania. Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda Watanzania...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mavunde afanikisha huduma ya Bure ya wenye matatizo ya macho. Kijana aliyeacha masomo kwa tatizo la kutoona apona, aahidi kumsomesha

    MAVUNDE AFANIKISHA HUDUMA YA BURE YA WENYE MATATIZO YA MACHO, KIJANA ALIYEACHA MASOMO KWA TATIZO LA KUTOONA APONA. AAHIDI KUMSOMESHA. Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde kwa kushirikiana na Lion Club tarehe 24 na 25 waliendesha huduma ya kambi ya macho katika Kituo cha afya...
  11. JamiiForums Tanzania Naiomba serikali ipokee ushauri wetu kuhusu kuboresha huduma ya mabasi ya mwendokasi

    Lengo la serikali kuwekeza katika mkundombinu iliyotuletea huduma ya mabasi ya mwendokasi ni kupunguza usumbufu utokanao.na foleni kubwa za magari wakati wa kuingia na kutoka mijini. Hasa nyakati za ahsubuhi na jioni. Mimi na baadhi ya wadau tunaamini kuwa huduma hii inapaswa kurahisisha...
  12. JamiiForums Tanzania NADHARIA Huduma ya Pacemaker haipo Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Baadhi ya wanachama wa JamiiForums wamedokeza kudai kwamba huduma ya Pacemaker haipo Muhimbili. Aidha, madai hayo yanabainisha kwamba wagonjwa wamekuwa wakiahidiwa kuletwa kwa huduma hiyo lakini mpaka sasa haijawekwa na kuna taarifa kuwa baadhi wamepoteza maisha kutokana na kukosa huduma hiyo.
  13. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Huduma ya Pacemaker haipo Hospitali ya Taifa Muhimbili, wagonjwa wanakufa

    Bandugu, kama unaye mgonjwa wako Muhimbili na anahitaji huduma ya Pace Maker (umeme wa moyo) hali ni balaa. Wanaahidiwa tu sasa ni zaidi ya miezi miwili. Wagonjwa wanakufa. Dada yangu ameahidiwa kuwekewa zaidi ya mwezi kumbe hakuna kitu. Amefariki Leo. --- Habari hii imefanyiwa kazi Jamiicheck...
  14. B

    JamiiForums Tanzania “Benki ni SimBanking” kuongeza ujumuishi wa huduma za fedha, Moshi

    Wakazi wa Moshi mkoani Kilimanjaro wameonekana kuipokea vyema promosheni ya “Benki ni SimBanking” ikiwa ni sehemu ya jitihada za Benki ya CRDB kuongeza ujumuishi wa Watanzania kwenye huduma za kibenki. Wakazi hao waliojitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa promosheni hiyo mkoani Moshi walionyesha...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kuna Kampuni Tz yenye Huduma bora zaidi kwa wateja zaidi ya Sokabett?

    Oiii wadau, sijui ni mimi tu ila sikuhizi napigiwa sana simu na watoa huduma wa makampuni mbalimbali hasa haya ya kubettisha na kiukweli huwa mara nyingi nawamind kwasabab nakua niko busy na shughuli zangu. Ila kuna hawa wahudumu wa Sokabet weeee, kwanza sauti zao tu! zinashawishi unatamani hata...
  16. JamiiForums Tanzania Saratani kwa Watoto: Huduma za Afya zinawafikia ipasavyo?

    Leo Februari 15 ni Siku ya Kimataifa ya Saratani kwa Watoto Inakadiriwa Watoto na Vijana wa hadi miaka 19 wapatao 400,000 hugundulika na Saratani kila mwaka. Ugonjwa huo ni sababu kuu ya Vifo licha ya Saratani nyingi za Watoto kutibika. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), baadhi...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Makakala hongera sana kwa mabadiliko makubwa katika utoaji VISA na Pasipoti Ubalozini; wajengeeni uwezo watoa huduma wenu

    Tanzania ukifanya vizuri Sana lazima kuna sehemu utabutua. Uhamiaji mmefanya vizuri Sana kusogeza huduma za Pasipoti na Visa za kielekronikia kwenye mtandao. Utaratibu wa kuomba na kukamilisha maombi upo fresh na unaendana na mahitaji ya Dunia Kwa sasa. Lakini wakati mnatengeneza mfumo mzuri...
  18. JamiiForums Tanzania Matumizi ya Digitali ni Muhimu Katika Utoaji wa Huduma Bora za Serikali

    Katika dunia ya leo, si tu biashara zinazopeleka huduma zao mtandaoni, pia kuna mabadiliko ya kidigitali kwa serikali. Serikali zimekuwa zikilazimika kupitia mabadiliko mbalimbali kadiri mahitaji na matakwa ya raia yanavyobadilika. Mabadiliko haya ya kidigitali ya serikali ni matumizi endelevu...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Huduma za visima vya maji imeboreshwa

    Habari Jf . Tumekuwa tukitoa huduma za uchimbaji wa visima, pampu za maji na bomba kwa muda mrefu sasa. Huduma tumeboresha ili kuwafikia watu wengi zaidi. Gharama za kufanya underground water survey zitafidiwa kwenye gharama ya kuchimba kisima. Gharama ya kufunga pump( installation cost)...
  20. JamiiForums Tanzania Muswada wa huduma za habari umekwama kujadiliwa Bungeni kwa madai ya ufinyu wa muda

    Nilishangazwa Sana na taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gershon Msigwa, kuwa Serikali imeshindwa kuupeleka Bungeni katika kikao kinachoendelea hivi sasa, muswada wa marekebisho ya Sheria ya huduma za Habari, kwa madai kuwa Bunge hilo limekosa muda wa kuujadili muswada huo! Hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…