huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. Justus wisdom

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya ufugaji samaki na kuuza vifaranga vya samaki

    Karibuni kwa huduma ya ufugaji wa samaki na mbegu bora ya samaki sato na kambale. Tunapatikana Bunju B Darajani (mingoi), njia ya kwenda bagamoyo karibuni sana.
  2. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nimeilipia huduma mtandaoni kwa M-PESA visa, dollar 1 ni sawa Tsh 3,000

    Kama kichwa cha habari hapo juu Nimeilipia huduma Fulani mitandaoni naona gharama ni kubwa sana ni kwamba voda huwa wanakata makato yao wa huduma ama ndio hali iliyopo
  3. Congo

    JamiiForums Tanzania TRL imarisheni huduma za reli ya Mwakyembe

    Huduma za treni kwenda Pugu zimekuwa mbovu sana siku za karibuni. Treni zinachelewa. Zinaenda mwendo wa kusuasua. Mabehewa ovyo. Abiria wanaingia bure. Hiyo treni bado inahitajika iimarisheni. Itengeezeeni COST CENTRE yake muine kama inalipa ili ipewe ruzuku ya serikali au mpandishe bei.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Huduma ya jeshi la polisi ya kuripoti mali iliyopotea (lormis) mbona haifanyi kazi?

    Baada ya kusajili mali iliyopotea nimetumiwa control number nifanye malipo ya usajili lakini kila nikijaribu kulipa inasema control number ni batili. Nimepiga simu makao makuu nikaambiwa niende kituo cha polisi kilicho kariba. Nimefika huko nako sikupata ufumbuzi! Nimeambiwa labia mtandao...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kinondoni yafunga saluni zinazotoa huduma za masaji na kujichubua ngozi kwa kuwatundikia drip

    Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imefanya ukaguzi wa saluni kadhaa zinazotoa huduma mbalimbali, ikiwemo huduma za ‘kusinga’, ili kubaini ikiwa zinafuata taratibu za utoaji huduma. Hadi sasa, wamefunga saluni mbili zinazotoa huduma hizo pamoja na urembo wa ngozi kwa sababu walikuwa wakifanya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama na uboreshaji huduma kidijitali

    Wakuu habari, leo nimeona nitoe pongezi kwa Mhimili wetu wa Mahakama kwa kuboresha huduma za usikilizaji na umalizaji wa kesi kwa wakati. Kwa kweli hili suala la mtu yupo Dar anaweza kufungua kesi Mwanza na ikafunguliwa na kupangiwa tarehe au kusikilizwa kwa video limenikosha sana...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama: Huduma za Uchunguzi wa Magonjwa Sasa Kupatikana Wilayani Mwanga, Kilimanjaro

    WAZIRI MHAGAMA: HUDUMA ZA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SASA KUPATIKANA WILAYANI MWANGA Wanachi wa Halmashauri ya Wilya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro sasa kusogezewa huduma za Afya za uchunguzi wa magonjwa ikiwemo huduma za upimaji wa kansa ya matiti kwa akina mama pamoja na Ultrasound kwa ajili ya...
  8. Anastasia21

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja goba kibululu Kwa ukubwa wa 25x20 ambapo utapata huduma zote za jamii kama maji,umeme na mengineyoKwa million 10 tu nashida na pesa

  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wapambanaji: Kama unataka kufungua duka dogo la kuuza accessories & huduma ndogo ndogo zinazohusu magari pitia hapa!

    Wakuu. Kutegemea na muda wako na location uliopo, unaweza kufungua duka dogo ukawa unauza accessories ndogo ndogo za gari na kutoa huduma ndogo ndogo pia. Ukitoa gharama za fremu, kwa mtaji wa chini ya Million 2 unaweza kuanza na hii biashara. Tunaweza kudiscuss vitu ambavyo unaweza kuanza...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Lwamo: Zaidi ya Asilimia 90 ya watoa huduma migodini ni Watanzania

    Zaidi ya asilimia 90 ya huduma zinazotolewa kwenye migodi ya madini nchini zinatolewa na watanzania huku vijana wakiaswa kutunza afya zao na kuepuka makundi hatarishi ili kuzifikia fursa zilizopo kwenye migodi. Hayo yamesemwa leo Oktoba 7, 2024 na Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini...
  11. K

    JamiiForums Tanzania NMB Kariakoo Siku ya Huduma kwa Wateja haiwahusu

    Tawi lenu lililipo mtaa wa Livingstone Kariakoo ni tawi linalotoa huduma mbovu zaidi ya matawi yote niliyowahi kuhudumiwa. Ni mara kadhaa inanichukua hadi saa tatu kuhudumiwa huku nikiwa na kadi yenu ya Loyal customers ambayo pia nailipia. Kuna madirisha manne lkn mara nyingi kama sio zote...
  12. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Kila Mtanzania anayeingiza kipato kwa kufanya kazi alipe kodi. Hakuna cha misamaha kwa viongozi wakiwemo wabunge kwani wote tunahitaji huduma bora

    Watanzania wote wenye umri kuanzia miaka 18 walipe kodi zote kwa kazi wanazozifanya kihalali Kuanzia Rais na viongozi wengine wote pamoja na wastaafu wanaopata mishahara ya asilimia ya 80% ya walio madarakani. Pasiwe na misamaha ya kodi kabisa. Kiongozi anapata msamaha wa kodi, halafu...
  13. Prof_rutta22

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale SOFTWARE Huduma za Printing, Scanning, na Photocopy kwa Wanafunzi

    Huduma za Printing, Scanning, na Photocopy kwa Wanafunzi 📢 Wanafunzi wa Vyuo Mnakaribishwa! 📢 Unahitaji huduma za haraka na nafuu za stationery? Karibu Dodoma Mjini kwa huduma za: ✅ Printing za miradi, makala, na nyaraka mbalimbali ✅ Scanning ya hati muhimu kwa ubora wa juu ✅ Photocopy ya haraka...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ofisi za umma zisizo na eneo la wageni kukaa wakisubiri huduma ina maana gani?

    Ni jambo la hovyo sana unafika ofisi za umma kuhudumiwa unakuta hakuna mahali pa raia/wateja kukaa kusubiria zamu yao kuhudumiwa, watu wamezagaa tu kwenye koridor kama nzi. Ni kero zaidi ukizingatia watumishi wengi utoaji huduma wao ni wa taratibu sana(slow people) na bado huwa wana muda mwingi...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yakabidhi gari la kubebea wagonjwa, litatoa huduma kwa wafungwa na mahabusu

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Senga Gugu leo amezindua na kukabidhi jumla ya magari 11 huku gari moja likiwa ni Gari la Kubebea Wagonjwa ambapo pia gari hilo litataoa huduma kwa wafungwa na mahabusu katika gereza la Ukonga na Magereza ya karibu. Katibu Mkuu amezindua na...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Asionewe AWESO, Wizara/Idara zipi zinafanya vizuri katika utoaji huduma bora kwa watanzania?

    Kumekuwa na malalamiko makubwa ya upatukanaji duni wa huduma ya maji hususani katika jiji la Dar es salaam. Watanzania wamekuwa wakimtaka Mh. Aweso aachie ngazi nafasi yake ya uwaziri kwa kuwa wizara imemshinda. Binafsi nimekaa nikajiuliza, tofauti na wizara/idara za kukusanya pesa kutoka kwa...
  17. Kangosha

    JamiiForums Tanzania Hongereni TTCL kwa kuboresha huduma ya Internet

    Tangu wiki iliyopita naona huduma za internet kwa TTCL zimeboreshwa Sana. Yaani mtandao upo faster isivyo kawaida. Hongereni TTCL.
  18. T

    JamiiForums Tanzania Karibu kwa kozi ya lugha ya Kiingereza

    Nachukua fursa hii kukukaribisha wewe utakayekuwa na uhitaji wa Huduma hii aidha wewe mwenyewe au mwanao/wanao. Tunaweza kufanya makubaliano ya kujifunza online (kwa njia ya mtandao) au kwa njia ya KAWAIDA. Zaidi ikiwa kuna wanafunzi wanaosoma masomo Saba (7) O'level (arts pure) kuna huduma...
  19. boyson onlye

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA, ni lini mtatoa huduma ya maji bila mgao?

    Habari wakuu, Nina miaka kadhaa katika jiji hili la Dar es salaam, na wengine wote wanaoishi katika jiji hili ni mashahidi, Kila nyumba ina vifaa vingi vya kutunzia maji, iwe ndoo, jaba au tank na kuna wakati unakuta maji yote uliyotunza yameisha ndanj na maji hayatoki, hasa kipindi hiki...
  20. Zogolo1550

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya kukata miti maeneo ya ujenzi

    Tunatoa huduma ya kusafisha eneo la ujenzi (kwa kukata miti katika eneo husika) kwa kutumia mashine. Tunapatikana mbezi louis na tunafanya kazi popote ndani na nje ya Dar es Salaam. Bei zetu ni nafuu sana Mawasiliano: 0758700852/0694340728
Back
Top Bottom