huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wakazi wa Shamaliwa - Mwanza hatuna Huduma ya Maji zaidi ya Mwezi, Wanaoboresha Barabara wameharibu Mabomba

    Sisi wakazi wa Shamaliwa A na B wengi wetu hatuna huduma ya Maji kwa muda wa zaidi ya mwezi sasa kutokana na wahusika wanaotengeneza Barabara kwa nia ya kuboresha wameharibu mabomba na hivyo Mamlaka ya Maji kulazimika kukata maji. Wanachofanya wanaotengeneza Barabara ni jambo jema lakini sasa...
  2. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Ruto asema uwepo wa Starlink nchini Kenya umefanya Mitandao ya Simu iboreshe huduma za Intaneti

    Rais William Ruto, amesema amekuwa akipokea malalamiko kutoka kwa Watoa Huduma za Simu nchini humo tangu Serikali iliporuhusu uwekezaji wa kampuni ya #Starlink inayotoa huduma za Intaneti kwa njia ya Setilaiti. Kwa mujibu wa Mtandao wa Citizen Digital, Septemba 23, 2024, imeelezwa kuwa...
  3. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Milion 780 kuboresha huduma ya Maji Marangu Mashariki

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi ( MUWSA) imekusudia kutekeleza mradi wa majisafi wenye lengo la kuboresha hali ya upatikanaji wa huduma ya majisafi kwenye vijiji vya Samanga, Rauya pamoja na Ashira vilivyoko kwenye Kata ya Marangu Mashariki Wilaya ya Moshi Vijijini Kilimanjaro...
  4. Shaas

    JamiiForums Tanzania wewe ni mtoa huduma tu

    mdada kama una bwana ni muendesha magari yaani fuso zinazo toka nje ya nchi na kila akienda kupeleka mzigo nje na wewe unaenda kujifanya unapenda sana wakati uho mwezio jicho lake kwako ni kwa tamaa za mwili anakuona kama mtoa huduma siku huduma yako ikiisha au akiona imekuwa mbaya anatafuta...
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania Royal Oven hongereni kwa huduma nzuri ila mapungufu yapo.

    Customer service au huduma kwa mteja ni sehemu nyeti sana ya biashara yoyote duniani, ni kioo cha mwanzo cha biashara iwe inafanya kuuza bidhaa au kutoa huduma. Kuna baadhi ya makampuni ili wakupatie ajira basi lazma uwe na vigezo kama uso usio na chunusi, uso nyororo na mwenye umbo namba nane...
  6. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Kwanini TTCL Haitoi Hatua Dhidi ya Namba za Simu Zinazoripotiwa kwa Utapeli?

    Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu kuhusu namba za simu zinazofanya utapeli mitandaoni, hasa kwa njia ya kuomba kutumiwa pesa kwenye namba nyingine. Mara nyingi, namba zinazohusika na utapeli huo ni za TTCL. Watu wengi wamekuwa wakitoa taarifa kwa kutuma namba husika kwenda 15040, ambayo ni...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ijue huduma ya Kinabii

    Hello! Shalom Kuna huduma kuu 5 ambazo ni Utume, unabii, Uchungaji , ualimu na Uinjilisti. Kwasababu ya watu kukosa MAARIFA ya ndani juu ya huduma wengi huishia kujiita Wachungaji, Walimu na Wainjilisti. Kuna watu wanafanya huduma ambazo hawakuitwa kwazo, kuna watu wanaogopa kufanya huduma ya...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mawakala wa Huduma ya pesa kwa simu wanavyo shirikiana na matapelii wa ile hela tuma kwenye simu hii.

    Nimestukia huu mchezo. Unaenda kwa wakala wa pesa unatoa lets say laki moja. Wakala anazuga hajaona meseji yako then anakwambia hebu nipe simu yako niangalie kama umepata meseji. Kumbe lengo lake anataka kujua unasalio kiasi gani. Atakupa hela yako utaondoka then meseji ya tapeli itaingia...
  9. Surya

    JamiiForums Tanzania Serikali iboreshe huduma za afya kwa Mabinti, hasa kwa Magonjwa ya sehemu nyeti

    Serikali wakiweza kulitizama hili basi watoe msaada kwa dada zetu hili tatizo limekuwa kubwa sana, Ukiweza fanya uchunguzi. Nahisihi serikali kwanini... kwasabau elimu hii ya jinsi ya mwanamke kutunza afya ya sehemu zake za siri hasa Uke pamoja na Mfumo wa uzazi haijapewa kipaumbele hata na...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Wito kampuni ya kimataifa ya Uuzaji wa Pizza isogeze huduma Kwa kufunguka migahawa yake maeneo ya Temeke na Mbagala Dar es Salaam

    Wadau hamjamboni nyote? Niombe kampuni kubwa ya kimataifa ya Pizza Hut isogeze huduma maeneo ya temeke na mbagala jijini dar es salaam. Naambiwa kampuni hii ina migahawa maeneo mikocheni, masaki, msasani na oysterbay hivyo tunaomba wafungue pia matawi na kuanzisha huduma za "delivery"...
  11. Ntemii

    JamiiForums Tanzania MDH lipeni fedha za watoa huduma mnatia aibu

    Takribani mwezi tatu sasa tangu shirika la MDH linalojihusisha na masuala ya maendeleo ya afya halijaweza kulipa fedha wanazo dai watoa huduma. Mwezi wa saba mwaka huu TMDA iliendesha mafunzo kwa watoa huduma za chanjo katika halmashauri za mkoa wa Mtwara ambapo mdau na mafadhili wa mafunzo...
  12. winky

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mbezi Msakuzi kaskazini(kwa lubaba hadi pande) hatuna huduma ya uzoaji TAKA tangu february 2024

    Yapata miezi 7(saba) sasa tangia taka zitolewe mara ya mwisho Wakazi wa eneo hili la mbezi msakuzi kaskazini ambayo ni kata ya mbezi na wilaya ya ubungo hatujapata huduma hii ya kuzolewa taka. Licha ya kuwa mara ya mwisho Mtendaji na timu yake walipita kila nyumba na kukusanya shilingi 10,000...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded MWAUWASA: Tumeandaa Mradi wa Tsh. Bilioni 8.4 kufikisha Huduma ya Maji maeneo ya Kishiri na jirani ambayo hayana huduma hiyo

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu changamoto ya huduma ya maji iliyopo katika Kata ya Kishiri, ufafanuzi wa Mamlaka ya Maji Mwanza umetolewa. Kujua alichokisema Mdau huyo unaweza kubofya hapa ~ Changamoto ya maji Kanindo Kata ya Kishiri, Wilaya ya Nyamagana ==== ==== Neli...
  14. Pfizer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hussein Bashe: Luhaga Mpina uwe na shukrani kwa serikali, chezea sekta nyingine sio kilimo

    Na MWANDISHI WETU, IGUNGA WAZIRI wa Kilimo Mhe. Husein Bashe (Mb) amemtumia salamu Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuwa awe na shukrani kwa serikali achezee sekta nyingine sio kilimo ambayo ni tegemeo kwa Taifa. Amesema chokochoko za uongo za mbunge huyo zinapogusa sekta ya kilimo hawezi...
  15. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Selemani Jafo: Naipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuboresha miundombinu ya kutolea huduma katika Bandari zake

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo (Mb) ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuboresha miundombinu ya kutolea huduma katika Bandari zake hali iliyoongeza kasi na ubora wa kuhudumia Meli na Shehena. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya 19 ya...
  16. winnerian

    JamiiForums Tanzania CRDB huduma kwa wateja imekuwa mbovu kulinganisha na benki zote hapa nchini

    Ingia ndani kupata huduma yeyote lazima upoteze zaidi ya saa moja. Wananchi wa Tanzania ninatoa wito tuwaache CRDB na wanahisa wao wabaki wenyewe. Hawezekani benki tuipe sisi kiburi cha kutuhudumia vibaya namna hii. HAPANA HAIWEZEKANI Sasa mbaya zaidi umkute dirishani amekaa mdada ndio utajuta...
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Agizo la Aweso larejesha huduma ya Maji Mbokomu

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) imetekeleza Agizo la Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso (Mb) la kuhakikisha huduma ya maji inarejea kwa wakazi wa Kata ya Mbokomu ifikapo Septemba 2, 2024. Mamlaka imetekeleza agizo hilo kwa kuhakikisha miundombinu ya Majisafi iliyoharibiwa na...
  18. Bull Striker

    JamiiForums Tanzania Huwa na kwama hapa maranyingi ninapo taka kulipia Huduma Mbalimbali katika Internet

    Wakuu zangu huwa nataka kufanya Huduma Mbalimbali katika mtandao lakini huwa na kwama hapa... Pia Napata shaka labda hata kuibiwa kimtandao...Wakuu naombeni Msaada.
  19. Ziro Buyu

    JamiiForums Tanzania Bei ya kadi ya mwendokasi (DART) ni kubwa kama ni muhimu sana itolewe bure au huduma iunganishwe kwenye N card

    Nipende kuipongeza serikali katika jitihada zake za kuboresha huduma za Usafifi wa Mabasi ya Mwendokasi Dar (DART). Hivi karibuni DART wamefanya ukarabati wa vituo vya mwendo kasi kwa kuweka mifumo ya ukataji tiketi kwa kutumia Kadi ambapo kadi hiyo ni Kwaajili ya DART Tuu inauzwa Tsh 5000...
  20. Ivan Stepanov

    JamiiForums Tanzania Nasikitishwa sana na kuhisi ninahujumiwa na hawa watoa huduma za ku "host" wavuti (website) wa hapa Tanzania

    Sina uhakika kama haya mambo wanafanya wakiwa wanajua uzito wa madhara wanayoweza au wamekua wakusababisha kwetu sisi wateja wao. Kwakweli leo hii nimehisi kukosa kabisa uvumilivu. Sijui hata niandike nini, niache nini lakini ninyi wajasiriamali wazalendo ambao kwa nia njema kabisa tunaamua...
Back
Top Bottom