Hii Nchi Kila mtu akipata angle au gape la kutumia basi anatumia bila kupoteza muda.
=========
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mpanda (MUWASA) imemkamata Yusuph Singu mkazi wa mji wa zamani kwa tuhuma za kujiunganishia maji chumbani kwake kinyume na taratibu.
Katika utetezi wake...
Habari JamiiForums,
Ni miaka minne sasa tangu DAWASA Kibaha walivyositisha huduma ya maji Kibaha - Pangani - Mtakuja.
Mara ya mwisho maji yalitoka November 2020 hadi leo maji hayatoki na hakuna taarifa zozote
Tunaomba mtupazie hili kwa wahusika
======
Tujikumbushe hii habari ya Mwaka 2023...
Baada ya malalamiko ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai Wananchi wa Mtaa wa Muheza na Tankini, Kibaha-Maili Moja Mkoani Pwani hawana huduma ya maji kwa muda wa wiki moja, Mamlaka imeto ufafanuzi.
Kusoma malalamiko ya Mdau, bofya hapa ~ Wananchi wa Tankini na Muheza - Kibaha hatuna huduma ya...
14.7.2024
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na Wananchi wanaohudumiwa na mtambo wa kuzalisha Maji Ruvu Juu kuwa, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya maji siku ya Jumanne Julai 16 ,2024 kwa muda wa saa 15 kuanzia Saa 12 asubuhi hadi Saa 3 usiku...
Wasalaam,
Nimefatilia ziara ya Rais huko Katavi na Musoma kilio kikubwa cha wananchi ni maji safi na Salama. Kama taifa tumeongozwa na CCM kwa miaka 60+ na bado na hakuna uhakika wa kutatua tatizo hili ni sarakasi kila Leo. Ifike wakati CCM muwe na aibu mkiacha anasa za kununuliana ma V8 na...
Naomba Serikali kupitia Waziri wa Maji, Juma Aweso afuatilia chanzo cha Wakazi wengi wa Mkoani Morogoro kukosa huduma ya maji.
Hii hali inatutesa sisi wakazi wa Morogoro kwa muda mrefu sasa, tumekuwa tukipiga kelele kwa mamlaka lakini ni kama hatusikilizwi.
Baadhi ya Watendaji wa Mamlaka ya...
Baada ya hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika kuhusu changamoto ya huduma ya maji Jijini Mwanza, mamlaka inayohusika imetoa ufafanuzi.
Kusoma hoja ya Mdau, bonyeza hapa ~ Tatizo sugu la Maji jijini Mwanza
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka ya...
Habari wakuu I real hope you are doing good
Nimekua nikijiuliza kwanini mtu anapoenda mgahawani kuomba huduma ya maji ya kunywa pasipo kuitaji hudumu upata mapokezi mazuri hita pale ambapo mmiliki wa mgahawa anapokua na mauzo yasiyoridhisha
Hii imekaaje ndugu zangu?
Katika Ukurasa wake wa (X) zamani tweeter Mkurugenzi wa PPP-Cetre Tanzania Bw David Kafulila amesema kuwa utafiti uliofanywa na taasisi ya kitafiti ya Steadman au SYNOVETe mwaka 2008 ulibaini kuwa tatizo namba moja la Watanzania ni maji Safi na Salama.
Kafulila amesema kuwa Rais Samia katika...
TAARIFA KWA UMMA
KUENDELEA KWA MATENGENEZO YA UMEME KATIKA MITAMBO YA RUVU JUU NA RUVU CHINI
23.6.2024
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na Wananchi wa Dar es salaam na Pwani wanaohudumiwa na Mitambo ya kuzalisha maji Ruvu Juu na Ruvu...
Kitendo cha Mwekezaji kupelekewa maji na Wananchi kukosa, kimeibua maswali kwa Wananchi wa Kitongoji cha Mgodini, Nyakavangala, Kata ya Malenga Makali, Wilaya ya Iringa mkoani Iringa.
Mwekezaji huyo amepelekewa maji, huku Wananchi wenye uwezo mdogo wakinunua maji kwa ndoo moja TZS 500/-, huku...
TANZANIA YANG’ARA AJENDA YA MAJI KWA USTAWI WA WOTE,AWESO ATOA KAULI
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amemuwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Kongamano la 10 la Maji Duniani (10th World Water Forum) linalofanyika Bali nchini Indonesia...
HUDUMA YA MAJI YAIMARISHWA MSOMERA HANDENI-AWESO ABEBWA JUU
Wananchi wa kijiji cha Msomera wametuma salamu za pongezi kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi ikiofanyika katika kuwezesha upatikanaji wa huduma muhimu ya Majisafi na Salama pamoja na Maji kwaajili ya mifugo na pia...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetangaza upungufu wa Huduma ya Maji kwa Wateja wanaohudumiwa na mtambo Ruvu Chini, kuanzia Machi 5 hadi Machi 7, 2024
Kwa mujibu wa taarifa ya DAWASA upungufu huo unatokana na maboresho ya msingi yanayofanywa katika mtambo huo...
Habari JF,
Ni wiki na zaidi sasa maji yamekuwa yakitoka machafu hivi na wakati mwingine huwa machafu zaidi na yenye harufu mbaya.
Niliuliza kwa mjumbe maana ni jirani yangu kama anakutana na tatizo hilo nikitaka kufahamu huenda ni mimi tu, naye akasema yapo hivyo na kwake pia (maji yalikatika...
Mradi wa kuboresha huduma ya maji Bonyokwa uliofikia asilimia 70 ya utekelezaji wake huku ukihusisha ujenzi wa bomba kubwa na kufunga pampu ya kusukuma maji (Booster pump) unatajwa kwenda kujibu changamoto za kihuduma katika maeneo hayo.
Kukamilika kwa kazi hii kutasaidia kuongeza upatikanaji...
Huku Mbezi Louis maeneo ya Mtaa wa Mshikamano Jijini Dar es Salaam hakuna maji ni mwezi sasa (Hadi muda naandika andiko hili Februari 10, 2024).
Mara chache yanayoka usiku mwingi, Watu wanasumbuka kuamka mida hiyo na kukuta maji yanayotoka ni machafu balaa.
Imagine kukaa mwezi mzima maji...
TANGAZO LA DHARURA
KUKOSEKANA HUDUMA YA MAJI KWA WATEJA WANAOHUDUMIWA NA TANKI LA KISARAWE
14.01.2024
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na wananchi wanaohudumiwa na tanki la kisarawe kuwa, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa masaa 24...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.