huduma ya maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania KERO Maktaba ya Vitabu Zanzibar haina Huduma ya Maji, Watumishi na Wanachama tunateseka, tupo hatarini kupata magonjwa

    Mimi ni mmoja wa Wanachama wa Maktaba ya Vitabu ambayo ipo hapa Mjini Unguja, changamoto kubwa iliyopo hapa Maisara, Mkoa wa Mjini Magharib ni kukosekana kwa huduma ya maji. Naomba Wizara ya Elimu pamoja na Bodi ya Huduma za Makataba Zanzibar kushughulikia changamoto hii haraka iwezekavyo...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania SUWASA: Yasogeza huduma ya maji kwa Wananchi wa Mtaa wa Mungu Maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) kupitia mradi wa Uboreshaji wa huduma imefanikiwa kuwasogezea maji safi na salama wananchi wa mtaa wa Mungu Maji uliopo Manispaa ya Singida, hatua inayolenga kumtua mama ndoo kichwani. Mradi huo uliofadhiliwa na SUWASA na kusimamiwa na...
  3. proxy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua maeneo ambayo hayajafikiwa na huduma ya maji na mamlaka kwaajili ya utafiti wa kielimu

    Nije Moja Kwa Moja kwenye mada. Nahitaji kujua ni maeneo au eneo gani iwe Eilaya/Kata au kijiki/mtaa ambalo hawajafikiwa kabisa na huduma ya maji ya mamlaka, na Wakazi wake wanatumia maji ya kisima, mito au maziwa. Nahitaji hii Kwa ajili ya utafiti wa kielimu.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani unajitahidi kwenye huduma ya maji ya bomba?

    Ni mkoa upi unajitahidi kwenye upatikanaji wa huduma za maji.
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso atii agizo la Rais Samia, afika Kwamsisi Tanga

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amefika kijiji cha Kwamsisi kilichopo katika kata ya Kwamsisi, wilayani Handeni mkoani Tanga kujionea hali ya upatikanaji wa maji katika eneo hilo na changamoto iliyobainika kutokana na video iliyochapishwa katika ukurasa wa Instagram wa mtangazaji Mbarouk Khan...
  6. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania KERO TUWASA kuweni na huruma, maji hayatoki Kata ya Mwinyi - Tabora, yakitoka ni machafu

    HIvi nyie Watu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tabora (TUWASA) hapa Tabora huwa mnachukuliaje Wananchi? Tangu wiki iliyopita Kata ya Mwinyi hakuna huduma za maji na hata yanapotoka yanakuwa machafu na yanatoka kwa muda mfupi, mnataka Watu tuishije! Mwinyi iko Manispaa ya Tabora...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Chekereli Mkoa wa Kilimanjaro wakosa maji safi kwa zaidi ya miaka 30, magonjwa ya tumbo yasambaa

    Wananchi wa kijiji cha CHEKERELI Kata ya Mabilioni Wilayani Sam,Mkoani Kilimanjaro, wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama kwa zaidi ya miaka 30 ambapo kutokana na ukosefu huu, wamekuwa wakilazimika kutumia maji ya Mto Ruvu kwa mahitaji yao ya kila siku, hali...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Waziri Aweso: Kijiji cha Bukundi Wilayani Meatu hakina huduma ya Maji Kuanzia tarehe 1-12-2024 na siyo kuanzia 2017

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso, akijibu hoja ya Mdau kuhusu uhana wa Maji Kijiji cha Bukundi, amesema Taarifa hiyo sio ya kweli katika muktadha wa uhalisia ulivyo katika Mradi huu uliopo mkoani Simiyu. Awali Mdau wa JamiiForums.com alidai kwamba, "Sisi wakazi wa Kijiji cha Bukundi Wilaya ya Meatu...
  9. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Kijombe, Wilaya ya Wanging'ombe (Njombe), kwenye huduma ya maji tunaisikia kwenye bomba

    Ukosefu wa maji safi na salama kwa sisi Wakazi wa Kata ya Kijombe, Wilayani Wanging'ombe imekuwa kero kubwa sana kwetu. Kuna kipindi unapita mwezi mzima maji hayajatoka Bombani, hivyo tunalazimika kwenda kuchota wenye madimbwi huko mabondeni. Hii kero haijaanza leo, ni ya muda mrefu sana...
  10. M

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Kwa Pengo, Wilaya ya Micheweni (Pemba) tuna uhaba wa huduma ya Maji mwaka wa nne Sasa

    Hili ni Bomba la Maji ambalo lina miaka kadhaa sasa halifanyi kazi, tunategemea maji ya kwenye visima. Wananchi wa Kwa Pengo, Sheya ya Sizini Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba tuna kadhia inayotusumbua ya ukosefu wa Huduma ya Maji safi na salama, kwa muda wa zaidi ya miaka minne...
  11. M

    JamiiForums Tanzania KERO Utoaji wa huduma ya maji kwa upendeleo eneo la Lulindi wilayani Masasi

    Mamlaka ya Maji Lulindi wilayani Masasi mkoani Mtwara imekuwa ikitoa huduma kwa matabaka ambapo baadhi ya mabomba yakikosa maji Tungekuwa tukitoa malalamiko kwa sekta husika ila tunapokea majibu ya kejeri kwa baadhi ya Mtumishi wao Bwana Kwame Mpojo ambaye amekuwa akitoa majibu ambayo sio ya...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Maji Ubungo Makubuli wiki ya tatu hayajatoka

    Katika kata ya Ubungo Makubuli baadhi ya vijiji vyake ikiwa Kibangu, Wanaichi kwa wiki tatu sasa wamekosa huduma ya Maji kutoka DAWASA hivyo kupata shida na kuhofia mlipuko wa magonjwa na hawana msaada wowote.
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso atoa siku saba kwa wakandarasi waliotekeleza Mradi wa Maji wa Miji 28 Tanga

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso, ametoa siku saba kwa wakandarasi wanaotekeleza Mradi wa Maji wa Miji 28 wilayani Muheza mkoani Tanga, kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi huo kutokana na kuonekana kusuasua licha ya uwepo wa fedha za mradi huo. Waziri Aweso amebainisha haya baada ya kufika...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso ajitosa sakata wanawake Kijiji cha Oltepes kutumia mkojo wa ngombe kujisafisha wakiwa hedhini kutokana na ukosefu wa maji

    Zikiwa zimepita saa chache tangu Mwananchi iripoti wanawake katika Kijiji cha Oltepes kilichopo Kata ya Orbomba, wilayani Longido kutumia mkojo wa ng’ombe kujisafisha wakiwa hedhini kutokana na ukosefu wa maji, Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema analifanyia kazi. Akijibu changamoto hiyo katika...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Dar: DAWASA yakutana na wananchi wa Msakuzi, ili kupata hatma ya huduma ya maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imekutana na wananchi wa eneo la Msakuzi kwa Lubaba, Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo kwa lengo la kufahamu mipango na maendeleo ya miradi ya uboreshaji huduma ya maji katika eneo hilo. Akizungumza katika mkutano wa ulioitishwa na wananchi hao...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Tatizo la Maji kwa Mji wa Geita kuwa Historia kufikia Oktoba 2025

    Hali ya upatikanaji wa Maji kwa sasa kwa Mji wa Geita ni asilimia 75 kwa Wakazi wasiopungua 360,000. Mji wa Geita ni moja ya miji ambayo inakuwa kwa kasi hasa kwa shughuli za kiuchumi na Wananchi wengi wanajenga Milimani ukilinganisha na usawa wa miundombinu ya Maji ya inayohudumia na hivyo...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Chato imetelekezwa? Maji hayatoki kwenye mabomba zaidi ya miezi miwili

    Kweli sasa hii imekuwa aibu kubwa. Ziwa Victoria lipo jirani kama km 1. Lakini maji hayapatikani kwenye miji ya watu wenye mabomba. Je, Hayati Magufuli angekuwepo haya yangetokea Chato?
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kukatika maji hovyo Nyamanoro, Ghana na Kona ya Bwiru-Mwanza

    Kuna kukatika maji haya maeneo wiki nzima kwa sasa na hakuna taarifa maalum kwa wateja kutoka Mwauwasa,kuna mdau yoyote anajua kinachoendelea? Kilichopo ni kwamba unaweza stuka ghafla maji hamna na hujahifadhi. Nafikiri kama kuna changamoto taarifa ziwekwe wazi na ratiba ifahamike ili kila mtu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA) mnatuumiza sana Wananchi, bili mnazoleta haziendani na uhalisia

    Salaam Wanajukwaa, Naomba kero yangu ifike kwa waziri Jumaa Aweso kilio chetu Wananchi wa Singida, SUWASA inatuua. SUWASA inatukandamiza, inatuonea, bili za maji za huku kwetu ni mitaji ya Watu huko SUWASA, haiwezekani bill zinakuja bila mpangilio. Hivi majuzi jirani yangu alikuwa akilalamika...
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wananchi Mti Mmoja - Monduli (Arusha) wanakunywa maji ya bwawa yaliyotuama, hakuna Huduma ya Maji ya Bomba

    Juzikati Oktoba 23, 2024 nilipofika eneo la Mti Mmoja - Monduli (Arusha) nikiwa njiani kuelekea Dodoma nikitokea Arusha, niliona jambo la kushangaza sana, nilishuhudia Wanafunzi wa shule wakinywa maji yaliyotuama ya mvua zilizonyesha mwanzoni mwa mwaka huu (2024). Mbali na Watoto hao...
Back
Top Bottom