huduma ya maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar watadharishwa kukosa huduma ya Maji Septemba 23

    TAARIFA KWA UMMA KUZIMWA KWA MTAMBO WA UZALISHAJI MAJI RUVU CHINI 20.9.2022 Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na wananchi wanaohudumiwa na mtambo wa kuzalisha maji Ruvu Chini kuwa Mtambo utazimwa siku ya ijumaa tarehe 23/9/2022 kuanzia...
  2. mapesa yamejaa

    JamiiForums Tanzania Miaka 61 bila huduma ya maji Dar es Salaam

    Kipindi stendi kuu ya mabasi Mbezi inafunguliwa na mzalendo namba moja wa karne ya 21 Mh dk John Pombe Joseph Magufuli alitoa maelekezo ya kwamba barabara kutokea stendi hiyo kwenda mpigi magoe ianze kujengwa kwa kiwango cha lami pamoja na maji yapelekwe huko jimbo la kibamba lote Na kweli...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Antony Sanga: Mwaka 2025, lazima huduma ya maji iwe imefika mijini kwa asilimia 95

    Katibu mkuu Wizara ya maji Anthony Sanga imezitaka Mamlaka za maji nchini kuhakikisha ifikapo 2025 lazima huduma ya maji iwe imefika mijini kwa asilimia 95 na vijijini kwa asilimia 85 kutokana na ongezeko la mahitaji ya maji litakalo kuwepo kwa mwaka huo. Ameyasema hayo Jijini dar es salaam...
  4. teri22

    JamiiForums Tanzania Dawasco rudisheni maji Mbweni JKT!

    Kwani what happened na Dawasco? Maji huku Mbweni JKT hamna tangu last week. Ukipiga Customer Care, hio lugha ni ishara tosha kuwa huduma mbovu. Huyu dada wa customer care kasema tu atamwita Engineer na wala hakupi ticket namba na ameshakata simu. Wakuu wa DAWASCO hebu tupieni jicho hizo huduma...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Nyangasa karibu Kigamboni anza na kupatikana Huduma ya Maji ya DAWASA na Tozo Daraja la Kigamboni

    MHESHIMIWA NYANGASA KARIBU KIGAMBONI ANZA NA UFUMBUZI WA KUPATIKANA HUDUMA YA MAJI NA PILI TENGENEZA MIKAKATI YA SERIKALI KUONDOA TOZO ZA DARAJA LA KIGAMBONI KWA WANANCHI Nianze kwa kuipongeza mamlaka ya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya, yaani Mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan kwa kukuchagua wewe...
  6. maroon7

    JamiiForums Tanzania Inashangaza! Kwanini hakuna huduma ya maji ya bomba Mbezi Makabe?

    Katika vitu vimenishangaza ni hili, yaani Mbezi pamoja na umaarufu wote huu na kuwekewa hadi Stand Kuu ya mabasi ya kimataifa bado maji safi hayajafika. Ukizunguka nyuma kidogo ya stendi Mbezi Makabe hatua chache tu watu wanaishi kama vijijini ambako huduma za maji wanajuaga zipo tu mjini...
Back
Top Bottom