Ukitazama vita vya Urusi na Ukraine namna vilivyoanza na sasa hali ni tofauti kabisa unaweza hisi labda Ukraine hakuna vita.
Ukija vita vya Gaza navyo vilianza kwa msisimko mkali baadae vikapoa hata ukisikia mabomu yamerushwa Gaza hakuna jipya,rockets zimerushwa Israel hakuna jipya.
Hivyo...
Kwanini shetani akitaka kuharibu jamii aanze na mwanamke? kwanini si mwanaume au watoto na jamii nyinginezo? ni kitu gani ndani ya nafasi ya mwanamke kinachomfanya kuwa mlango wa jamii aidha kwa ujenzi au uharibifu?
Je, maneno hayo ya mchungaji ni onyo au lawama? Alikuwa akionya juu ya nguvu...
Unapojenga jaribu sana kutafuta balance ya vifaa vya ujenzi na mafundi
Maiko hawezi kukataa tenda, hata ukimwambia una elf 10 ya nondo atapokea ila usije kustuka kaweka mbao 😂
Ni kama vile heshima na uhusiano wa watu hubadilika unapopitia changamoto kama kupoteza kazi, matatizo ya kifamilia, au hali ngumu ya kifedha. Watu waliokuwa karibu nawe ghafla wanapotea au wanakutazama tofauti.
Kwa nini unadhani hili hutokea? Ni asili ya binadamu, au ni kwamba watu wengi...
Mahusiano yana mambo mengi, Ndoa zina mambo mengi.
Kuna mambo yanatokea kwenye Ndoa kupelekea Baba kuikimbia familia na kwenda Kuoa Mwanamke mwingine.
Ama Baba kuzaa nje bila Mpangilio.
Mtoto wa Kiume humchukia Baba pale anapokua Mdogo, humuona Baba kama asiye na Upendo na Mama yake, ama...
Tetesi huanza na minong'ono.. Hiyo minong'ono ikikoma huwa tetesi na tetesi zikikoma huwa breaking news.
Dunia ya sasa iko uchi kutokana na maendeleo makubwa ya teknolojia. Dunia haina siri tena!
Unafanya jambo gizani. Tena giza totoro kabisa lakini unakuja kushangaa jambo hilo linakuja kuwekwa...
Mara nyingi kujiingiza kwenye uchawi sio mwanzo wa kusaka utajiri..safari kwa waganga huanza pale mafanikio yanapoanza pale ambapo wasiwasi na pressure zinawakumba wanaona kama wanatapeliwa na kuibiwa muda wote hivyo wanashawishika kwenda kwa ajili ya ulinzi na huko ndipo wanapokutana na...
Maana yake ni kwamba ili uwe na mafanikio makubwa sana lazima uanze na uhodari kiasi na uwe nao kwa muda .
Huenda watu hupokea vitu fulani kwa ubaya ndio maana vinawatesa.
Nilitamani sana kujua kwanini Hayati John Magufuri alipenda sana kuwakumbuka wanyonge.
Ila jibu nikalipata ni...
Huu ndio ukweli kwani humu katika makundi na kufuzu kuingia hatua ya makundi, huwa kuna timu dhaifu sana kutegemea na ligi yao na pia kwa kanuni za siku hiz,i wanaoshiriki sio wote ni mabingwa katika ligi zao bali ni utaratibu tu wa siku hizi unawabeba tofauti na zamani.
Hivyo, kuanzia hatua ya...
Wataalam wa afya kwa yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili.
Maiti huanza kuoza baada ya muda gani kupita na hutumia muda gani kuweza kumalizika yote na kubaki mifupa tu?
Note. Kwa maiti zote zilizo achwa wazi na zilizo zikwa ardhini
-Kipengele Cha Umeme katika Nyumba ni moja ya kitu muhimu sana,na inashauriwa kutumia wataalamu wa fani husika kwakua umeme ni hatari pia.
◾️Kwa Nyumba Ambazo sio za Ghorofa, Inashauriwa Kabla hujaanza Kupiga Plasta Jengo lako, Fundi atahusika Kutindua,kujenga box za switch&sockets,round box...
Maisha huanza baada ya siku 1,000 za kwanza za mtoto yeyote aliyezaliwa kutoka mimba hadi umri wa miaka miwili. Hakuna nyara katika kufanya hivyo kwa wazazi, lakini athari zake ni za thamani.
Tena, kwa sababu wewe si mzazi huyo au ulilelewa kizembe katika utoto wako, haimaanishi kwamba...
Wakuu ningependa kufahamu mwanamke akipata ujauzito tumbo lake huanza kuonekana baada ya muda gani kubwa
Nauliza kwa maana kuna mahala tiyali mtoto wa mtu kabeba ujauzito wangu
Habari wanajamvi,
Sina uzoefu na ujuzi wa ufugaji wa kuku. Nauliza tu kuku wa kienyeji huanza kutaga tena baada ya mda gani endapo amemaliza kutaga na nimemnyima kulalia mayai?
Hello Banzukulu,
I salute you in the greatest spirit of news alert for transition and dispensesion ni regional politics.
Taarifa za kustaafu ama kuomba ruhusa ama kibali cha kustaafu utumishi wa jeshi la Uganda kwa mtoto wa Rais Museveni wa Uganda, ndugu Lt. Gen Muhoozi, si ajabu si mshituko...
Habari wanaJF, Mimi ni kijana niliyehitimu shahada ya bsc in math and ICT kutoka chuo kikuu Cha Mzumbe Morogoro mwaka 2018.
Kipindi nipo chuo mtazamo wangu nilikuwa nawaza nisome nimalize chuo then niajiriwe, kwakweli nilijitahd sana kusoma kwa bidii na namshukuru sana Mungu nilifanikiwa...