hotuba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Huwa inataka moyo sana kusikiliza maneno na hotuba za hawa watu

    Mmojawapo ni Kikwete, huyu ndugu niliwahi msikiliza mara moja alipochaguliwa kuwa Rais nikaona daah, ndiyo basi tena. Nilikuwa sahihi. Toka siku hiyo sikuwahi pata nafasi ya kumsikiliza kabisa. Huwa sioni kama yupo "serious". Nlikuwa na msikiliza Nyerere, Mkapa na Mwinyi. Bora ni Nyerere...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia akiapisha Mawaziri, imejibu maswali yote kwa Balozi Mulamula

    Wengi tumejiuliza kilichomsibu balozi Mulamula. Ukisikiliza kwa makini hutuba ya Rais Samia utujua kuwa Waziri Mulamula alipishana na Rais kuhusu masuala ya upande wa pili wa Muungano. Zimekuwepo minong'ono yenye ushahidi kuwa awamu ya sita imekuwa ikiwapendelea Wazanzibari kuliko maelezo...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hotuba zenye "aaa" nyingi zinachosha wasikilizaji

    Muda ni mali kama mali nyingine kuupoteza ni kosa sawa na makosa mengine. Kuna watu ukimpa nafasi ya kuzungumza atanza na neneo ""aaa". Mfano, aaa asanteni sana aaaa kwa kunipatia hii nafasi aaaa ya kuzungumza na nyinyi hapa. Aaa kusema ukweli aaa nilikuwa aaaa sina ndoto kama IPO siku aaaa...
  4. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Raid Vladmir Putin kuidhinisha kura ya Maoni kutwaliwa kwa Donbass

    HOTUBA YA RAIS VLADMIR PUTIN KUIDHINISHA KUTWALIWA KWA DONBASS. Watu wa Donbass wamefanya chaguo lao, chaguo lisilo na utata, Tutawakumbuka daima mashujaa wa "Russian Spring". Hakuna Umoja wa Kisovieti, zamani haziwezi kurudishwa, na Urusi ya kisasa haihitaji hii, hatujitahidi kuirejesha kwa...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aliyetutamanisha na Hotuba yake nzuri alipoapishwa ndiyo huyu anayelalamika hali mbaya Kenya?

    GENTAMYCINE ni Mtu ambaye huwa kwa 95% siziamini Hotuba za Marais pale wakiwa Wanaapishwa kwakuwa kwa Uzoefu wangu huwa ni Hotuba ya Asali Tamu kwa Kuiona ila Kimatumizi huwa ni Chungu na Mbaya kwa Mlaji / Walaji. Nimemsikiliza na Kumtizama Rais wa Kenya Ruto katika Mkutano wake wa IGAD na...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Tiketi za ndege zimekwisha, Warusi wanaitoroka nchi yao baada ya hotuba ya Putin

    Putin ametoa hotuba itakayoanza kulazimisha wanajeshi wa akiba.... Tiketi za ndege zimeisha, hamna ndege, watu wanaikimbia nchi, tatizo ni mataifa machache yanawapokea Warusi kwa sasa.... Russian President Vladimir Putin has announced the partial mobilization of his country's reservists...
  7. kyagata

    JamiiForums Tanzania Nimeisikiliza hii hotuba ya Magufuli, nimeishia kutoa machozi tu

    Endelea kupumzika kwa amani mheshimiwa.
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mkenda azindua mradi wa HEET utakaonufaisha vyuo 14 Mradi una thamani ya Tsh. Bilioni 972. Sasa Elimu ya Tanzania kuwa bora

    Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akizindua Mradi wa HEET wa miaka mitano uliolenga kuboresha elimu na kunufaisha vyuo 14, uzinduzi umefanyika leo Septemba 13, 2022, Dar es Salaam. Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema Serikali itahakikisha...
  9. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 HOTUBA KAMILI: Maneno ya mwisho ya Uhuru Kenyatta kabla ya kuachia Urais

    Hatimaye Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta amempongeza Rais Mteule William Ruto, baada ya mkutano wao Ikulu. Wawili hao walikutana alasiri ya Jumatatu, Septemba 12, saa chache tu kabla ya hafla ya kuapishwa kwa William Ruto iliyotarajiwa kufanyika katika uwanja wa Kasarani. “Kama alama kuu ya...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Asante Rais wetu kwa hotuba yako, Watanzania tupo tayari kuhesabiwa

    Kwanza pole kwa kazi mh Rais wetu na Asante kwa Hotuba yako ya kutuhamasisha ili tujiandae kuhesabiwa, mh Rais napenda kukuambia kuwa watanzania huku mitaani wamehamasika vizuri na wameelewa umuhimu wa sensa na wapo tayari kuhesabiwa Mh Rais napenda kukufahamisha pia kuwa zoezi Hilo...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Balozi wa Saudia afa katikati ya hotuba akimsifia Rais Al Sisi

    Balozi maarufu wa Saudia na tajiri mkubwa bwana Mohamed Al qahtan, amefariki huko jijini Cairo nchini Misri wakati akitoa hotuba yake. Mara baada ya kumsifia Rais Alsisi kwa kuashiria picha yake iliyokuwa nyuma yake kwa kusema huyu ni kiongozi wa watu wote mpaka siku ya mwisho ghafla alianguka...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia mkoani Mbeya imeibua shangwe na nderemo Nyanda za Juu Kusini

    Ndugu zangu ukizungumzia suala la kilimo kwa mikoa ya nyanda za juu kusini ndio pumzi ya wananchi wote, Ndio tegemeo la wote, Ndio uti wa mgongo kwetu, Ndio shine yetu, Ndio mkombozi wetu, Ndio tumaini letu, Ndio maisha yetu, Ndio uhai wetu, hivyo Hali yoyote ikipita na kukwamisha juhudi za...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri Mkuu Bunge la 12 Mkutano wa 7 Saba, Kikao cha 55, Juni 30, 2022

    Serikali yapiga marufuku michango shuleni Serikali imepiga marufu michango kiholela katika shule za umma katika ngazi ya Msingi na Sekondari baada ya kuripotiwa kuwepo kwa michango mingi licha ya sera ya elimu bila malipo. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hayo Bungeni leo Juni 30, 2022...
  14. Lavan Island

    JamiiForums Tanzania Hotuba mbele ya Malkia Elizabeth

    For those of us who English is not their first language, read on!!Here is a speech delivered by Idi Amin at a sumptuous luncheon hosted By Queen Elizabeth II of Great Britain . My majesty Mr. Queen Sir, horrible ministers and members of parliament, invented Guests, ladies under gentlemen. I...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye Hotuba ya Bajeti za Wizara ya Fedha na Wizara ya Viwanda 2022/2023 tafadhali

    Jamani wananzengo. Naomba mwenye hizo documents namuomba ikiwezekana atuwekee hapa au anipe hata inbox nitashukuru sana.
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tabora: Profesa Lipumba anahutubia kwenye Ziara ya Rais Samia kama nani?

    Hili ni swali ambalo Wajuzi wa Protokali mnatakiwa mtueleze ili sisi wengine tuelewe. Rais Samia , ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, yuko kwenye ziara ya kikazi huko Tabora, akizindua miradi mbalimbali na kutembelea Ofisi na Matawi ya CCM, sasa kwenye ziara hiyo ameambatana na Ndugu Haruna...
  17. Wababa13

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jaji Mkuu anatumia hii sehemu ambayo Rais ndo huwa anatumia wakati wa hotuba?

    Habari za leo ndugu, jamaa na marafiki. Leo nimewaza nimeona ni vema niwashirikishe na nyie.. hapo aliposimama Jaji Mkuu binafsi huwa namuonaga Rais wa nchi peke yake, hata Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge na Katibu Mkuu kiongozi kwa upande wangu sijawahi kuwaona hapo (sijui...
  18. Thailand

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Rais kusimamisha hotuba kisa Adhana ya waislam imakaaje hii kitaifa?

    Leo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma. Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na Rais...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ndalichako atoa hotuba iliyojaa pongezi na shukrani Mei Mosi 2022

    Yani kila wakati najiuliza sana, Hawa maprof sijui akili huwa wanaziacha wapi, leo Prof katoa Pongezi na shukrani Hotuba nzima Mpaka nakaa najiuliza sana, hivi kazi ya Prof Wizara ya kazi ni Nini hasa? Kumsifia Rais au kunisaidia Rais? Ukitazama Hotuba aliyotoa CDR MTAKA, utagundua utofauti...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 100 ya Julius Kambarage Nyerere: Hotuba ya Karne uchaguzi wa kura tatu Tabora 1958

    Kushoto ni Brian Wills kutoka Conservative Party ya Uingereza akisimamia uchaguzi wa UTP huyo pembeni yake ni Sheikh Hussein Juma aliyekuwa Makamu wa Rais wa UTP.
Back
Top Bottom