Wakuu habarini,
Kuna vituko sana hii nchi mpaka unaweza kuchanganyikiwa.
Katika hospitali ya MISASI iliyoko wilayani Misungwi, Mkoa wa Mwanza.
Kuna tabia ya waganga/wauguzi kuwaambia wagonjwa wanunue baadhi ya vifaa rahisi sana vinavyotakiwa kuwa hospitali.
Na vilevile walipie pesa kwa...