hospitali ya wilaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. junior ssori

    JamiiForums Tanzania KERO Nimelazwa hospitali moja ya Wilaya, huduma ni mbovu sana

    Wote mnaodhani wanaompinga SSH hawampendi mnakosea sana hata mie nilidhani hivyo mwanzo mpaka yaliponikuta. Nimelazwa hospitali ya wilaya mkoa mmoja huku kanda ya ziwa sijaamini macho yangu kama ni mimi mtumishi ninafanyiwa hivi embu imagine hospitali madaktari na manesi wanajifanyia kazi kwa...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bilioni 4.14 Zakamilisha Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Morogoro

    BILIONI 4.14 ZAKAMILISHA MRADI WA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA MOROGORO Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ilipokea fedha jumla ya Shilingi Bilioni 4.14 (Tsh. 4,140,000,000) kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya kutekeleza mradi wa Hospitali ya Wilaya katika Makao Makuu ya Halmashauri yaliyopo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kambi ya madaktari bingwa bobezi yaanza hospitali ya Wilaya ya Bukoba iliyopo tarafani Katerero

    📌 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bukoba Vijijini Ndugu Fatina Hussein Laay awakaribisha wananchi wote. Kambi ya Siku 5 mfululizo yaanza leo Jumatatu Hospitali ya Wilaya- Bujunangoma kutoa huduma mbalimbali za Kibingwa Bobezi, Wananchi waitikia wito na wote mnakaribishwa. Huduma za Kibingwa ambazo...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa kuweka kambi ya siku 3 katika Hospitali ya Wilaya ya Bukoba

    📌 Kuweka Kambi ya Siku 3 mfululizo kuanzia kesho Jumatatu Hospitali ya Wilaya- Bujunangoma kutoa huduma mbalimbali za Kibingwa, Wananchi wote mnakaribishwa. Huduma za Kibingwa ambazo zamani zilikua zinapatikana kwenye Hospitali za Rufaa, za Mikoa na Taifani pale Muhimbili, sasa miaka mitatu ya...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ngassa Afanya Ziara Hospitali ya Wilaya Igunga

    MBUNGE NGASSA AFANYA ZIARA HOSPITALI YA WILAYA IGUNGA 1. Awaasa Wauguzi kuzingatia misingi ya taaluma (professionalism) na kanuni za maadili ya kazi kuhudumia wagonjwa. 2. Akemea lugha za mauzi na kebehi kwa wagonjwa. 3. Akagua ujenzi wa majengo mapya ya thamani ya Shilingi Milioni Mia Tisa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kimeumana DC Shaka ageuka mbogo ujenzi wa ICU hospitali ya wilaya Kilosa

    KIMEUMANA DC SHAKA AGEUKA MBOGO UJENZI WA ICU HOSPITALI YA WILAYA KILOSA Na Mwandishi Wetu. Kilosa -Morogoro MKUU wa Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka, ameagiza kufanyika kwa uchunguzi wa mradi wa ujenzi wa jengo la wagonjwa mahututi (ICU) katika hospitali ya Wilaya hiyo...
  7. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mhandisi wa Kilimo apewa usimamizi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Mwanga

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesikitishwa na kitendo cha Mhandisi wa kilimo (agricultural engineer) kapewa usimamizi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro. Kisingizio alichopewa ni eti kumekosekana mhandisi hivyo wakaona ni bora Mhandisi wa Kilimo angalau alete...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Lindi: Bwana Afya aongoza usafi katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea kumaliza kero ya mbu wengi

    Baada ya member wa JamiiForums.com kuleza kuwa anakerwa na usumbufu wa uwepo wa mbu wengi katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi, hatua zimeanza kuchukuliwa kwa kufanya usafi. Afisa Afya Wilaya ya Nachingwea, Joseph Masia amekiri Hospitali hiyo kuwa na Mbu wengi na hivyo...
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania 2021 Nissan Patrol 5.6 V8 LE Premium - Hospitali ya Wilaya inayotembea

    Wakuu hii kitu ya moto sana, gharama za kuinunua hii chuma ni sawa na hospitali ya Wilaya (pamoja na Assets zote) huko BUHIGWE. Hakika duniani wapo viumbe (akiwemo Mstaafu) wanafurahia maisha. NB: Tupeleke watoto CHIPUKIZI aisee. Haya mambo ya kukomaza Komwe ufaulu NECTA sijui SUA ndo uje...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Dkt. Dugange: Milioni 900 Kukarabati Hospitali ya Wilaya ya Mbozi

    NAIBU Waziri anayeshughulikia Afya Ofisi ya Rais-TAMISEMI , Mhe Dkt. Festo Dugange amesema Serikali katika mwaka wa fedha wa 2023/24 imetenga kiasi cha Sh Milioni 900 kwa ajili ya ukarabati wa Hospitali Kongwe ya Mbozi. Mhe. Dkt Dugange ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu...
  11. Kabewa

    JamiiForums Tanzania Picha: Maendeleo ya ujenzi hospitali ya wilaya Kivule(Amana ndogo)

    Mambo yanakwenda vizuri pongezi Kwa Serikali.
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kinondoni Hospital na Madaktari Bingwa wa India kushirikiana kutoa huduma kwa Wagonjwa wa Saratani

    Kinondoni Hospital imetangaza programu ya siku mbali kuwa itashirikiana na wataalamu kutoka Hospitali ya HCG ya nchini India katika kutoa huduma za kitaalamu kwa wagonjwa wa Saratani. Akizungumzia programu hiyo leo Oktoba 3, 2023 Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Serikali itupe mrejesho kuhusu wizi wa vifaa vya milioni 500 Hospitali ya Wilaya ya Bunda

    Hili ni suala nyeti mno. Vifaa vya milioni 500 kuibiwa huku serikali ikiwa kimya haipendezi hata kidogo. Wiki tatu sasa zimepita lakini tukio hili kama vile limesahaulika. Watu wanaiba dawa wakaona haitoshi, wameamua kuiba vifaa. Kifuatacho ni kunyofoa mabati, mbao na milango ya Hospitali za...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hospitaiili ya wilaya Lushoto wakataa kumpa kitanda mgonjwa aliyevunjika mguu

    Yupo mgonjwa aliyepata ajali ya kugongwa na pikipiki na amevunjika nmguu. Tangu mapema saasita mchana hadi saa kumi na nusu hawataki kumpatia mama huyo kitanda wamemuweka mapokezi eti wanadai anatakiwa kupelekwa hospitali ya Bombo. Mama huyo familia yake wamechelewa kupata taarifa na...
  15. USSR

    JamiiForums Tanzania Tangu uhuru mpaka leo ndio Biharamulo inapata hospitali ya wilaya

    Jitihada za mbunge wa Biharamulo Ezra CHIWELESA amefanikisha ujenzi wa hospitali ya wilaya ambayo ndio imeanza kutoa huduma za awali Biharamulo ni wilaya kongwe zilizoanza tangu ukoloni ziwa kundi moja na Nairobi, Handeni na n.k ila sasa ndio inapata hospitali ya wilaya huku wilaya mpya kama...
Back
Top Bottom