Itoshe kusema katazo lako la wimbo wa kuchochea chuki baina ya wananchi wa vyama pinzani limenipa maono kuwa Taifa hili lina hazina kubwa ya busara na hekima ndani ya watu wake!
Tupo salama, tuchape kazi na Mungu atubariki
Kazi nzuri sana imefanyika na hii iwe funzo wanaodhani wanaweza kutokutii Sheria na Maelekezo
Siku za Karibuni Kamanda Murillo alitoa Onyo kwa watu waliopanga kuleta Vurugu na Kuchoma Mahakama Moto Magari ya Magareza na Kuchoma Moto Baadhi ya Vituo vya Polisi na Mahakama
Jaribo la Chadema...
Naona mmepania kweli, kila dakika 10 salamu za Pasaka :). Heko kwa kusikia malalamiko/ushauri wa watazamaji. Sasa bado tu suala la Tamthilia zisizofaa kwa nchi yetu isiyo na dini, natumaini season zake zikiisha mtaachana nazo. Asanteni tumeona burudani kwa wote.
Heri ya pasaka.
Sitaki kupepesa macho, Mimi ni muumini wako na ninabarikiwa sana na Huduma yako na hapa ndio natoka kwenye Ibada ya pasaka.
Hongera sana kwa Jengo jipya la Ibada ingawa Bado halijafunguliwa lakini kwa clip mbali mbali unazozionyesha kwenye screen kipindi Cha Ibada hakika Mungu...
Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana.
Jux we ndo kioo cha jamii Hapa Tanzania achana na hao waswahili wanaojiita wasanii.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe. Kuna uvumilivu wa hali ya juu na kuachia nafasi fulani ya democrasia ilo oneshwa na Rais wetu kwa vyama vya upinzani.
Ni kama wakati ule wa Rais Jakaya japo Jakaya anabaki kuwa juu.
Ukiacha tukio la Mbalali ambayo mkuu wa polisi mbeya alileta uchawa...
Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Hamas Suhail al-Handi: amesema
"Tuko tayari kuwaachilia mateka wote kwa sharti kwamba vita viishe, vivuko vifunguliwe, na Ukanda huo ujengwe upya.
Tunakataa masharti ya Netanyahu na Trump kuhusu kupokonywa silaha zetu na kufukuzwa kwa watu wakuu wa Hamas kutoka...
Wakuu
Ubaya Ubwela umewageukia!
Kwa mjibu wa Watangazaji wa EFm Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi
Tazama video hii ya tukio husika
Mwendelezo:
Kikosi cha Simba, kimeondoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kurejea kambini baada ya...
dabi ya kariakoo
hongera
jana
janja janja
kesho
klabu ya simba
kufanya
kufanya mazoezi
mashabiki
mashabiki wa yanga
mazoezi
simba
timu
yanga
yanga na simba
zake
Leo nimekusikiliza ukiongea kwenye kikao kazi cha wakuu wa taasisi za umma Dodoma. Umeongea mambo mengi mazuri, makubwa na ya msingi kwenye hotuba yako ya ufunguzi. Umezungumzia changamoto mbalimbali za kiutumishi, uwajibikaji, maadili nk. Umetoa mifano hai na ufafanuzi wa kueleweka. Nakupa...
Fikiria miaka 25 ijayo: Je, maisha yatakuwaje ifikapo mwaka 2050? Teknolojia inakua kwa kasi kuliko wakati wowote katika historia ya binadamu. Leo, tunaona simu janja, magari yanayojiendesha, na akili bandia (AI) inayoweza kuandika, kuongea na hata kufanya kazi za kibinadamu. Haya ni mwanzo tu...
Dkt. Tulia Ackson Mwasau, Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), alionesha ujasiri wa kipekee alipokataa kuburuzwa na propaganda za kijinga zinazolenga maslahi ya baadhi ya watu au nchi, hususan mashambiki wa Zelensky na Ursula. Katika msimamo wake thabiti, Dkt...
Walihisi anachekesha katika hoja zake na michango yake bungeni lakini, alikuwa anaona huruma kwa vijana wa taifa hili kuhitimu vyuo na kupewa makaratasi ambayo kwa ujumla na ulimwengu wa sasa havina nafasi bali kazi za mikono ndio suluhisho la maisha ya sasa.
Sijui kama Leo alialikwa kwenye...
Nakupa pongezi kwa sababu huwezi kufikia kumi bila kuanza na moja mwendo wako uko kwenye njia sahihi, na mwelekeo wako ni mzuri!
Kuchaguliwa kuwa mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya CAF si jambo dogo; umefanya kazi kubwa na kufanikisha mengi. Nafasi hii inakupa nafasi ya moja kwa moja kushiriki...
Kwa sisi wana marekani tulioko yombo vituka tunakupongeza sana.
Walambe wote kaka, waje wakaandamane kwenye nchi zao zinazo support uoaji wa mabinti wadogo wa miaka 9...
Maana yake Kuna 49% wapo kama hawapo, hawakukuunga mkono.. Wengi wapewe na wachache wasikilizwe, lakini hapo hakuna wengi walioshinda na wachache walioshindwa; they are more or less the same. Together we stand!!!
Nianze Kwa kushusha lawama nzito sana Kwa wazazi jirani zangu ambao mlikuwa mnawasomesha watoto wenu Kayumba kuanzia primary huku Mimi nikichoma hela Kwa kumsomesha huyu dogo shule ya EM kuanzia chekechea Hadi la Saba.
Duh mlikuwa mnanichora tu nnavyo pigwa hela zangu kiboya na maboya...
CCM ni udikteta tu kuanzia juu mpaka chini. Ukionesha una mawazo tofauti unaundiwa zengwe nanusipokuwa makinini unaweza kiuawa.
CHADEMA imegraduate mpaka kuweza kushika nchi. Ni chama makini sana kinachojari uhuru na mawazo ya kila mmoja.
CCM jifunzeni siyo kusomba hawa wasanii mbumbumbu...
Napenda kutoa pongeze za dhati kabisa kwa niaba ya Watanzania wenzangu wapenda unadhifu kwa kambi ya jeshi ya makutopora-Dodoma kwa jinsi mnavyoipendesha barabara kuu ya Dodoma Arusha kipande cha eneo lile la jeshi.
Kwakweli mazingira kama yale katika barabara kuu tumezoea kuyaona Majuu tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.