hongera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Hongera sana kwa Serikali yetu kwa haya mambo makuu 3

    Benki kuu imezindua mfumo intergrated core banking system,huu ni mfumo wa kibenki ambao kwa miaka 24 iliyopita tulikuwa tunatumia mfumo kutoka nje ambao tulikuwa tunalipa kwa kuutumia,kwa sasa hatulipi kitu na mfumo umejengwa na watanzania na tumesevu bilioni 90 kwa mwaka. Leo tunazindua...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe hongera sana kwa Kuoa ila umehakikisha kuwa Boss wako Mmoja mharibifu hadi kwa Wake za Wachezaji hatopita pia na Mkeo huyu Mrembo?

    Uzuri wetu wengine Wachezaji wako ni Marafiki zetu na hawatufichi jambo. Boss hapendi vitu vizuri vizuri vimpitie mbali.
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Uingereza yapanga Kutambua Taifa la Palestina Septemba Ikiwa Israel Haitasitisha Vita Gaza

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kuwa ifikapo Septemba mwaka huu, Uingereza itaitambua rasmi Palestina kama taifa huru endapo Serikali ya Israel haitachukua hatua madhubuti kukomesha vita na janga la kibinadamu katika Ukanda wa Gaza. Taarifa hiyo imetolewa Julai 29, 2025...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Aisee unakuta kuna mwamba anaendesha hii chuma. Aisee hongera sanaaa

  5. A

    JamiiForums Tanzania Hongera TCRA, Serikali kwa kuzuia uozo wa Polepole siku ya leo

    Nitoe pongezi za dhati kabisa kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini na serikali kwa kutoruhusu uchafu wa huyo mtu,nimeiangalia Tanzania ya Mwl Nyerere haikuwa na vijana wapumbavu kama hili jitu,Tanzania ina misingi yake ya uzalendo pamoja na kazi Lijitu limekosa nidhamu sijui liliokotwa wapi(Tuwe...
  6. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Cde. Polepole, Kuna kitu Watanzania hawakielewi

    Kuna moment kwenye maisha unatakiwa kuelewa Uchawa na Kusifu sio ASILI ya Binaadam. Huku majuu palijengwa na watu wenye uwezo wa KUHOJI na KUWAJIBIKA. Kiongozi ame breach katiba ya CCM ili abaki madarakani, what a shame and nightmare in our history, Only to realize kwamba ndani ya nchi na...
  7. technically

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hongera Sana Tundu Lissu hakika utakumbukwa vizazi na vizazi

    Ukiangalia kwenye jicho la tatu bunge kuvunjwa August 3 mwaka huu Misimamo yako isiyoyumba Sasa imeanza kuzaa matunda Mwanzo tuliwaambia wakashupaza shingo Sasa naona no reform no Election imewaingia na wametupa taulo. Ni matunda ya Tundu Lissu kusimama kidete, kukubali kuteseka kwa sababu...
  8. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Hongera TFF na TPLB kwa Hatua ya Kuleta Marefa wa Kimataifa

    Napenda kuipongeza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi (TPLB) kwa uamuzi mzuri na wa kizalendo wa kuwaleta marefa wa kimataifa kusimamia baadhi ya mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara na Si nyingine ni kariakoo dabi Hatua hii imeongeza uaminifu, haki uwanjani, na kuimarisha...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Maria Sarungi, wahuni walitaka wakurubuni eti uje kumzika baba yako, usingelirudi duniani, ungepotea kama Mdude, Soka et al na wengine

    Kwa haya yanayoendelea kwetu Tanganyika, nchi ya ya Julius Kambarage Nyerere, ungelogwa ukaja eti kumzika baba yako, ungelipote mazima . Mshukuru sana Mungu wako na malaika Gabriel aliyekuongoza.
  10. O

    JamiiForums Tanzania Hongera RITA kwa mfumo mzuri wa online services

    Pongezi za dhati kwa mamlaka ya Usajili na Ufilisi RITA kwa kuanzisha huduma hii nzuri ya online. Ndani ya siku tatu tu nimeweza kupata cheti cha kuzaliwa, kubadili cheti cha zamani kuwa kipya na kuthibitisha cheti cha mtoto wangu kwa ajili ya usajili NHIF. Hatua ni rahisi ikianza kwa kufungua...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Hongera Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga kwa kuchangia tone tone!

    Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga ameomba samahani kwa vurugu zilizotokea katika mkutano wa Chadema mjini Igunga. https://twitter.com/Rydx_017/status/1932698774637318410?t=NO05ylCjFuDIiqyK310g0g&s=19
  12. D

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ipo juu sana tanzani. Hongera mama. Jpm aliogoa sana demokrasi kwa kuw hakujiamini.

    Wote tunakumbuka kipindi kile ukitokea we ni mpinzani unawindwa na akinq sabaya na makonda kwa maagizo ya yule nduli. Alifunga mikutano yote ya chadema kwa kuwahofia na hakuwa anapenda kabisa siasa ndo mana nchi iliongozwa kwa uongo mwingi mana hakukuwa na mkosoaji na aliogopa hilo Mama...
  13. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Samaki hana ujanja ukimtoa ndani ya maji, hongera serikali kwa kumtupa samaki Gwajima nchi kavu,tuone sasa ngebe zake zitafanyikia wapi?

    Friends and Our Enemies, Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu. Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali...
  14. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Hongera Samia kwa kuilinda Jamhuri lakini Je Jamhuri inakulinda?

    Huu uzi ni Mfupi sana; Ni Pongezi tu kwa Rais Samia Suluhu kwa kuilinda Jamhuri kikamilifu na kushughulikia wachache ili wengi waendelee kuwa chini ya Himaya ya Jamhuri ya muungano ya Tanzania; Baada ya kufanya kazi hii nzuri unastahili Pongezi.Swali ni Je Mfumo Utakulinda?Au Utakutumia tu...
  15. meningitis

    JamiiForums Tanzania Prof. Mohamed Janabi achaguliwa kuongoza WHO AFRO

    Hii ni taarifa ya hivi punde. Prof. Mohamed Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili amechaguliwa kuongoza Shirika la Afya Duniani ukanda wa Africa. Pongezi nyingi kwake na watanzania. =============== Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa...
  16. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Hongera Prof. Mohammed Janabi, Mkurugenzi WHO Afrika

    Hakuna jambo linafurahisha kama kuona mtanzania mwenzetu anapata mafanikio makubwa kimataifa. Sisi watanzania wazalendo tumeupokea taarifa za kuchaguliwa kwako kuwa mkurugenzi wa WHO Afrika matumaini makubwa. Nafasi aliyoipata Prof. Janabi ni ushindi wetu watanzania kama Taifa. Katika hili...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wakati unaingia madarakani mwaka 2021 usafiri wa mwendokasi ulikuwa unatoka Kariakoo hadi Kibaha lakini sasa hakuna

    Rais Samia wakati unaingia madarakani mwaka 2021 usafiri wa mwendokasi ulikuwa unatoka Kariakoo hadi Kibaha lakini sasa hakuna. Mwaka 2021 magari ya mwendokasi yalikuwa yanatoka Kariakoo mpaka mbezi lakini sasa hakuna. Tunashukuru sana Rais Samia kwa kuwafanya wanyonge kuwa wanyonge zaidi.
  18. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Benson Kigaila mwana G55: Akiwa kwenye kiti moto cha Odemba wa StarTV, akijiuma uma na kujichanganya

    https://www.youtube.com/live/nvKNTGAG-9Q?si=H3CYz7QBr2c2gMz9 Sasa unaweza kuelewa ni kwanini hawa jamaa wa wanaojiita G55 ni wajinga wa kiwango cha huyu mzee Benson Kigaila.. Akataa katakata kujibu swali la mke wake kuwa miongoni mwa wale wabunge 19 na kwamba kama ni yeye ndiye aliyesaini fomu...
  19. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania HONGERA Mbeya Highlands FM

    Nikitazama tamasha la Samia Kalamu Award, mwandishi na mtandazaji wa Mbeya Highlands FM , ndh Issakwisa Mbyale, amepata tuzo kitaifa. Toka naifahamu Radio hii imekuwa ya mfano kwa mikoa ya Mbeya na mikoa jirani. Nikiwa natoka Mbeya nawapongeza sana Mbeya Highlands FM kwa kuanza kuonyesha...
  20. S

    JamiiForums Tanzania WaTanzania wameamka CHADEMA msitegemee wazungu - Hongera Ibrahim Traoré

    Safari zenu za ukimbizi na kufanya kazi nje ya nchi zimewapa kiburi na sasa mnategemea nchi za kimagharibi kuwasaidia katika kupata malengo yenu. Ila kwa sasa itakuwa mumechelewa sana sana kutegemea wazungu ,haya mambo ya kutegemea ughaibuni na nyinyi kutumiwa kutekeleza uasi kwa serikali...
Back
Top Bottom