hoja

  1. S

    Dkt. Mollel acha kupotosha maudhui ya hoja ya Mpina kuhusu makalio

    Dk. Mollel Naibu Waziri wa Afya acha kutumia ofisi na kodi za umma kuendesha propaganda na kupotosha maudhui ya hoja ya Mheshimiwa Mpina kuhusu Hospitali za Umma kutoa huduma za kuongeza Makalio badala ya kutumia fedha hizo kuboresha huduma za afya za msingi. Kama umeamua kumjibu Mpina hoja...
  2. Pendekezo mbadala kwa hoja ya Chadema kuhusu usimamizi wa uchaguzi SM

    Wasalaamu wanaJF. Tunapozungumzia National reconcilliation tunamaanisha kuwa lazima kuwe na give and take. Ipo hoja iliyobakia kutoka kwa wanachadema ya kwamba marekebisho katika kanuni au uratibu na usimamizi wa chaguzi zinazohusi viongozi ngazi ya Serikali za mitaa ujikite kwenye kupoka na...
  3. Kwa hii hoja, CHADEMA na Mbowe wamenisikitisha sana

    Habari wakuu! Mimi ni kijana ambaye ni mzalendo na Mpenda kusimamia ukweli Kiufupi sina chama chochote cha siasa ila nimekuwa anti-CCM kwa Muda mrefu isipokuwa kipindi cha magufuli(mambo mengi nilimwelewa) Kiukweli maandamano ya chadema ni maandamano ya ambayo sijayaelewa maana hayana kichwa...
  4. Gharama zitazoongezeka endapo hoja ya CHADEMA kuongeza idadi ya wabunge itapita

    Baada ya nchi nzima kushtushwa na hoja namba 5 kutoka kwenye hoja za CHADEMA kuhusu muswada wa sheria ya uchaguzi leo nimeona tukumbushane gharama tutazozilipa wananchi kwa ongezeko la wabunge wapya takribani 135. Kimsingi hoja namba 5 ni hoja yenye nia ovu. Kwa sasa bunge zima la Tanzania lina...
  5. Ninawapongeza CHADEMA kwa maoni yao ila hoja namba 5 ni ya ovyo

    Leo nimeamua kuwapongeza CHADEMA kwa kuonyesha weledi wa kisiasa kwa kutoa maoni yao kuhusu muswada wa sheria ya uchaguzi. Safari hii ufipa wamejitahidi tofauti na wakati mwingine. Hata kama sikubaliani na maoni yao yote ila nakubaliana na namna walivyojitahidi kupanga hoja zao. Nawapongeza...
  6. Hoja zipi zinakufanya kuchagua au kutochagua CCM, pia ni hoja ipi inakufanya uone kuwa upinzani ni mbadala wa CCM?

    Demokrasia imetutupatia machaguzi mengi ila tunahitaji kufanya au kuchukua uamuzi ambao ni busara zetu pekee zinaweza kuamua mustakabali wa jamii yetu kwa sasa na hata kwa baadae Siasa ni maamuzi ya kisera ambayo yanayojumuisha uchumi,jamii na utamaduni hivyo kwenye siasa ndio uwanja pekee...
  7. Hoja binafsi kwa Polisi Mikumi na unyanyasaji

    Nakuja kwenye hoja, nimeona na kusikia kuhusu unyanyasaji na ushamba wa madaraka kwa polisi wa Mikumi wakiongozwa na DTO wao. Nimefatilia na kupewa habari za pale mikumi, wanakama raia hovyo, kubambikiwa kesi na wengine kukaa / kulala vituona kwa zaidi ya siku 3 bila huduma muhimu kama...
  8. Ukweli Ambao Kila Mwanaume Anapaswa Kuujua • Men's Rights Activist - MRA.

    Habari wana JF, poleni na majukum ya na pale 🤝. Nina mkusanyo wa Nukuu zinazoweza kunukuliwa, maarifa ya kurejesha upya kabisa kuhusu Men's Rights Activist (MRA), ambayo yanaweza kumsaidia mtu yeyote kwa namna fulani. • Maadamu ninaishi, na JamiiForums pia inaishi, uzi unaendelea! Kwa hiyo...
  9. B

    Kwenye Mjadala wa Vita Ya Israeli na Palestina( Hamasi) Mh Tundu Lissu hana Mpinzani. Ameibua Hoja nzito na siri Nzito iliyofichwa kwa Miaka 2000

    Habari za Mida hii Wana Jamii Forum Declaration of Interest Mimi ni Mkristo Mkatoliki Nimetembelea Nchi ya Israel ktk majimbo ya Jerusalem, Galilaya na Samaria Ni Mfuasi wa siasa za kutetea haki, amani na Maendeleo jumuishi Katika Pita pita Zangu Mitandaoni nikakutana na Video Clip akiwa...
  10. R

    John Mnyika ana elimu gani? Uwezo wake wakujibu hoja unatokana na mafunzo ya maprofesa wa bongo au akili za kuzaliwa?

    Katika interview ambazo zilikuwa na maswali marahisi kwa mtu neutral lakini maswali magumu kwa mwanasiasa ni interview ya juzi Clouds kati ya Mnyika na wanahabari wa chombo hiki. Lakini kati ya story zote zilizojitokeza unamwona Mnyika akichambua na kujibu maswali na hoja zote kiuhalisia bila...
  11. Wapinzani hawana hoja kuelekea 2024/2025

    Wapinzani wa Tanzania wanakwama pakubwa sana. Huwezi amini baada ya kulia kwa miaka kama 6 kua wamezuiwa kufanya mikutano, leo hii wanaruhusiwa kufanya mikutano and guess what they are into? kumtukana waziri Nape pekee real? Tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na mwaka mmoja baadae...
  12. UDSM kuwa Form 10 Jibuni hoja za jenerali Ulimwengu

    Nimemskiliza kwa makini ulimwengu yuko sahihi maana chuo kimezubaa scna siku za hivi karibuni. Sijui nkruma hall wanaitumia kwa kazi gani siku hizi. Najiuliza je huenda siku hizi vijana wanaoenda vyuoni ni wadogo sana kiasi amabacho hawawezi kujenga hoja. Hapana wanasiasa wamekikandamiza...
  13. Naibu Waziri Kihenzile Akutana na Watendaji TCAA, Awasisitiza Kufanyia Kazi Hoja za CAG

    Naibu Waziri Kihenzile Akutana na Watendaji TCAA, Awasisitiza Kufanyia Kazi Hoja za CAG Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile (Mb) ameonana na watendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Anga (TCAA) wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Ndugu Hamza Johari. Naibu Waziri Kihenzile...
  14. Hoja zangu za Kisiasa, Katiba, Sheria na Haki humu JF zina mashiko? Zimesaidia kitu? The Consequences ya baadhi ya hoja zangu! Kazi inaendelea!

    Wanabodi Mimi ni mwana JF mwenzenu humu JF na ni verified tangu 2008, katika miaka hii zaidi ya 15, nimepandisha mabandiko mengi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii. Kati ya mabandiko hayo, kuna mabandiko ni powerful na yameleta some positive impact kwa kujibiwa kwa utekelezaji. Hili ni bandiko...
  15. Hoja ya kuwahamishia maafisa ushirika katika tume ya maendeleo ya ushirika na maafisa ugani chini ya Wizara ya Kilimo

    (Chini ya Kanuni za 60(2) na 61 za Kanuni za Kudumu za Bunge Toleo la Februari, 2023) Mheshimiwa Spika, natambua kuwa mwaka 1998, Serikali ilifanya mabadiliko ya Muundo wa Serikali na kufanya uamuzi wa kugatua madaraka (Decentralization by Devolution) kutoka Serikali Kuu a kuyashusha ngazi ya...
  16. R

    Kwa mara ya kwanza nimesikia Wabunge wakisema hawaungi mkono hoja! Spika Tulia ajiuliza waliounga mkono walitoka wapi!

    Salaam, Kwakweli katika kufatilia vipindi vya bunge sijawahi kuona mbunge akichangia hoja halafu mwishoni aseme siungi mkono hoja! Mara zote huwa wanatoa malalamiko weee ya kukosoa hoja hiyo lakini mwisho wa siku wanaunga mkono hoja, leo kwa mara ya kwanza nimeona mbunge kagoma kuunga mkono...
  17. B

    Hoja ya huyu jamaa kuhusu dini za weupe kwa waafrika inafikirisha sana

    Anasema " IF HEAVEN WAS REAL, WE COULDN'T HAVE TOLD AFRICANS ABOUT IT. WE WOULD BE GOING THERE SECRETLY" How does it make sense? Ngozi nyeupe ni wabinafsi na hawatupendi wa Afrika. Wasingeweza kutufahamisha kuhusu kitu kizuri kama Mbingu kama kweli kingekuwa cha ukweli.. Mifano hai...
  18. Makonda ni ingizo jipya la kutuondoa kwenye hoja ya Bandari na Katiba mpya

    Uteuzi wa Paul Makonda au ukipenda Bashite ni mkakati wa kutuondoa kwenye hoja za msingi kama Katiba Mpya na Bsndari. Tangu ateuliwe amekuwa mtu wa kuropoka ropoka mkakati ukiwa kutuondoa kujadili masuala ya maana na kuanza kujadili upuuzi wake. Inavyoelekea baadhi ya Watanganyika wasiopenda...
  19. Serikali kurudisha tena Mswada wa Bima ya Afya kwa Wote tena bungeni kesho 01/11/2023

    Serikali kupitia Wizara ya Afya inatarajia kurejea Bungeni tena hapo kesho Novemba 1 2023 na Muswada wa Bima ya Afya kwa wote ambao ulikwama mnamo Mwezi Februari 2023 kwa hoja iliyotolewa na Bunge ya kutokuwepo kwa chanzo endelevu cha fedha kutekeleza Mpango huo. Muswada huu ni ndoto ya...
  20. Faida ya kuwa Mkristo tajiri mwenye pesa nyingi siku za mwisho

    Yesu alipokufa liliandaliwa dau kupotosha kuwa hajafa. Shughuli hii iliratibiwa kwa ukaribu na Usalama wa Taifa wa Herode, Viongozi wa kidini na machawa wa kaisali. Pesa ilitumika kumuhafifisha Yesu, Hata leo trillions zimetengwa kumuhafifisha ionekane ni nadharia. Hii ni fursa kwetu sisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…