hoja

  1. JamiiForums Tanzania Nini mpango wa serikali kuthibiti hoja zenye kuleta mgawanyiko hasa kutoka kwa Zanzibar?

    Salama. Imekua too much sasa maana imefika hatua haiwezi kuvumilika hasa kauli za viongozi kutoka Zanzibar Mwanzo walisema wawafurushe watu wanaofanya kazi mahotelini ambao sio wazanzibar Leo tena kama sio mzanzibar hautatibiwa bure Sasa hizi kauli zisipothibitiwa zinaongeza uhasama na...
  2. JamiiForums Tanzania Kutumia Biblia au Quran kujenga hoja katika mjadala wa umma ni ishara ya akili ndogo

    Huwa nashangaa sana Watanzania wengi wanaokuja na rejea za Biblia au Quran katika kujenga hoja kwa mijadala ya kijamii/ umma inayobishaniwa au kujadiliwa. Nafikiri hii ni mojawapo ya ishara ya akili ndogo na ujinga mwingi katika taifa.
  3. JamiiForums Tanzania Ninaunga mkono kutumbuliwa kwa kiongozi mwandamizi tuliyedokezwa na mbunge Sumai

    Mimi naona lilikuwa jambo la kichama zaidi na kutakiwa kuwasilishwa kwenye vikao vya chama. Ila Simai ana hoja ingawa alitumia platform isiyo sahihi. Kwa aliyoongea ni wazi italeta maneno mengi ndani ya chama na kuchafua hali ya hewa. Kama mtu ninayetaka mama aongezewe muda wa kuongoza hadi...
  4. JamiiForums Tanzania PNA: Tuheshimu Mawazo ya Wengine Hata Kama Hukubaliani Nayo!, Simai ni Jasiri, Shujaa, Hoja ya Yuda ni ya Msingi, Asibezwe, Asikilizwe Afafanue!.

    Wanabodi, Angalizo la Nyuzi Ndefu JF ni user generated forum, ina members wa aina zote na kazi yake ni kuhabarishana, kuelimishana na kuburudishana, na kati ya members hao, kila mmoja anashughuli zake za kumuingizia kipato kuendesha maisha yake, hivyo wao wanaandika jf kama past time tuu, mimi...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaolalamikia 'SINGO MAZA' wasipuuzwe. WANA HOJA

    Kama certified singo maza wa one kid onze earth na anaza kid inze womb naandika hii huku tuchozi tukinilenga coz hakuna kitu inauma kama kuukubali ukweli unaotamani uwe uwongo. Pamoja na kuwa sipendi vile singo maza tunapopolewa kama apopolewavyo paka mdokoa mboga ila leo nakubali ya kwamba...
  6. JamiiForums Tanzania Hoja kwa hoja; Ni kwanini wazazi kwasasa wamepoteza mvuto kwa watoto wao (BIRTH)

    Hivi sasa kwa zama hizi wengi ni wazazi pengine kwa kutarajia kua na wengine hawakutarajia imetokea tu. Kwasasa wazazi wanalalamika watoto wao kutowahudumia zaidi wanapofikia uzee lakini watoto hawa hawa unakuta mjini ana maisha ya kuweza kumtumza mzazi au wazazi wote wawili lakini kwa GenZ...
  7. JamiiForums Tanzania Hoja haijibiwi kwa kejeli, hujibiwa kwa hoja

    Moja ya mambo yanayoonyesha udhaifu wa hoja ni mtu kushindwa kujibu hoja kwa ushahidi na badala yake kukimbilia matusi, kejeli, mipasho au maneno ya mkato mkato. Mtu anapoletwa hoja yenye dalili, ushahidi na mantiki, anatakiwa aidha: Aikubali ikiwa ni ya kweli. Ailetee hoja mbadala yenye...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maduhu: Hoja za kisiasa zijibiwe kisiasa na sio mwanasiasa atishiwe na kujibiwa na Msajili au Jeshi la Polisi

    Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu akihojiwa na Wasafi FM leo Mei 20, 2026, amesema hoja za kisiasa zijibiwe kisiasa na sio mwanasiasa atishiwe na kujibiwa na Msajili wa Vyama vya Siasa au Jeshi la Polisi, kwani mfumo wa nchi unaruhusu uwepo wa vyama vingi...
  9. JamiiForums Tanzania Ni hoja ya isiyofaa kupendekeza rais Samia aongezewe muda kukaa madarakani kwa sababu ya katiba mpya.

    Kwanza mpaka sasa hivi kama alivyosema Mzee Warioba alipigiwa kura na Tume ya uchaguzi ya Jaji Mwambegete sio wanannchi. Mchakato wa katiba mpya upo tayari maana rasimu ya warioba tayayri ilishaweka kile ambacho watanzania wanakihitaji. Yaani katiba ambayo itakidhi mahitaji ya Watanzania. Ambao...
  10. JamiiForums Tanzania Hoja za Warioba zijibiwe, zisipigwe Rungu!

    Kwa waliopata nafasi ya kuyasikiliza mahojiano ya Jaji Joseph Sinde Warioba na mwandishi wa habari nguli, mzee wetu Jenerali Ulimwengu, watakubaliana na mm kuwa hayakuwa mahojiano ya kawaida. Kwaajili ya kuweka kumbukumbu sawa ni vyema tukakumbuka Joseph Sinde Warioba ni mwanasheria aliyepata...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Malumbano ya hoja ITV

    Watangazaji ITV malumbano ya hoja haswa Jacqueline anageuka msemaji wa serikali. Hii siyo sawa. Kwanini msiwaite waje waongee kwa facts.
  12. JamiiForums Tanzania Wakristo tujengeni hoja hapa: Mchungaji akikutongoza ukamkataa ni laana? Alisikika mtu mmoja akisema

    Kuna mtu mmoja alisikika huko mitandaoni akisema kwenye video mjongeo maneno hayo aliyosasema kama inavyoonekana hapo chini... Mama kauliza hapo wakuu.. tusaidiane kupata majibu mpaka imfikie mama Cc. Mhe. Dkt Dorothy Gwajima . waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Hoja Dhaifu za ‘Wheel Cover’: Kutoka kwa Maria Sarungi

    Hoja Dhaifu za ‘Wheel Cover’: Kutoka kwa Maria Sarungi Kwanza kabisa, hoja ya kuunganisha “wheel cover” kutoka kwa Maria Sarungi ni dhaifu sana kimantiki. Hii ni correlation fallacy kuona vitu vinafanana halafu unahitimisha vina uhusiano bila ushahidi wa moja kwa moja. Tanzania kuna maelfu ya...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwabukusi aibua hoja nzito: Maridhiano hayajengwi kwa ripoti ya siri ya Rais

    Mwanasheria na rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Boniphace Mwabukusi, ameibua hoja nzito kuhusu mchakato wa maridhiano, akisisitiza kuwa Ripoti ya Jaji Chande haiwezi kutumika kama msingi wa maamuzi makubwa ya kitaifa kama vile kuunda Katiba mpya. Amesema ripoti hiyo ni mali ya Rais...
  15. JamiiForums Tanzania Hoja ya kwanini Fred akubalike zaidi Isimani badala ya alipozaliwa ni ya kipuuzi iliyojaa ukabila, ukanda na ubaguzi

    Inashangaza sana leo karne ya 21 iliyo kasi zaidi kiteknolojia kuna watu hasa wa upinzani wanaojenga hoja kwanini Fred Vunjabei akubalike zaidi Isimani kuliko Kalenga alipozaliwa mara baada ya kushinda kura za maoni hatua ya kwanza. Haya ni mawazo ya hovyo yaliyojaa ubaguzi wa kijinga...
  16. JamiiForums Tanzania Kama kuna Mbunge anasoma huu ujumbe sasa hivi atoe hoja ya dharura

    Bunge linaendelea na hakuna anayejali kupanda kwa bei ya vyakula na bidhaa. Salaam! Hali ya uchumi inaelekea pabaya sana. Kama kuna mbunge anasoma huu ujumbe wangu afanyr jambo. Huku mtaani kila kitu kimepanda bei, cha ajabu kwa hawa user wa mwisho kabisa ie mwananchi kila kitu bei imepanda...
  17. JamiiForums Tanzania Hoja zangu 5 kwanini naiunga mkono Iran katika mzozo unaoendelea huko mashariki ya kati

    Mzozo wa Mashariki ya Kati kunahitaji mtazamo mpana unaovuka mipaka ya kidini au kijiografia, kwa kuzingatia misingi ya sheria za kimataifa, usawa, na haki za binadamu. Hoja zangu za kusimama na Iran katika muktadha huu inaweza kujengwa juu ya misingi ifuatayo: 1. Kulinda Misingi ya Uhuru wa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba wa Ndoa, Mimi siyo Mtu wa kujichanganya sana na watu huko Mitaani ndiyo maana nimeleta hoja zangu hapa

    Habari wanajamii, Mimi ni mwanaume mwenye umri wa early 30’s, Mkristo, ambaye kwa sasa sina mtoto na sijawahi kuwa kwenye ndoa. Nafanya kazi kama muajiriwa katika sekta binafsi. Kwa ufupi kuhusu mimi: Urefu: sentimita 185 Muonekano: Mwembamba, mweusi Mtindo wa maisha: Baada ya majukumu ya siku...
  19. JamiiForums Tanzania Hoja: Utaratibu wa Mahari unatakiwa ufutwe, jamii ibadilike...!!

    Heri ya Sabato, poleni na mfungo ndugu zetu waislam na wakristo mnaotimiza agizo hili la kiimani. Nimeamua kudandia treni ya wanaokataa mambo ya mahari kwa dunia ya sasa, hasa barani Afrika ambapo kwa asilimia kubwa ndipo haya mambo hufanyika Dunia ambayo mwanamke amekuwa huru sana, anaweza...
  20. JamiiForums Tanzania Aliyetoa hoja na waliokubaliana kuteka na kuua watanganyika kama njia ya kuwanyamazisha aambiwe imeshindwa na haina mashiko

    Kama kuna mtub huko serikalini aliye pendekeza kuwepo project ya kuteka na kuua watanganyika ili kuzima ukosoaji mwambieni project ime fail. Maana sasa output zake sio poa kabisa. 1. Inchi imechafuka kimataifa, 2. Ukosoaji unaongezeka, 3.Serikali inachukiwa na kuwa isolated na wananchi 4...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…