hofu

Hōfu (防府市, Hōfu-shi) is a city located in Yamaguchi Prefecture, Japan.
As of September 30, 2016, the city has an estimated population of 117,387 and a population density of 622.44 people per km². The total area is 188.59 km².

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Boti iliyookotwa Zanzibar hii hapa, Wanajeshi waifanyia uchunguzi baada ya hofu ya mabomu

    Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa huo, Rashid Hadid Rashid amesema hakuna mabomu yaliyokutwa katika boti iliyookotwa kando kando mwa fukwe ya bahari ya Bwejuu kama ilivyodhaniwa na baadhi ya wavuvi walioisogeza boti hiyo ufukweni RC...
  2. JamiiForums Tanzania Hofu ya maambukizi ya VVU inanimaliza kiafya, nilishiriki ngono na muathirika wa UKIMWI

    Ni siku ya 31 leo tangu nianze kutumia dawa za Kuzuia maambukizi ya Ukimwi kwa watu walio mazingira hatarishi kupata ugonjwa huo (PEP), Dozi hii nimeimaliza jana.Hofu niliyo nayo imenifanya nishndwe kufanya kitu chochote cha maana zaidi ya kuzorota mwili. Binafsi nina utaratibu wa kupima afya...
  3. JamiiForums Tanzania Ahmed Ali bado sana kumfikia Haji Manara ingawa Haji kashaanza ingiwa na hofu

    Katika moja ya Interview ya Haji Manara wakati akiwa ni msemaji wa Simba, alishawahi kusema "Mimi sitadumu Simba milele ipo siku nitaondoka na atakuja mtu mwingine. Haji amefanya mengi sana na sidhani kama itakua fair kumjudge msemaji ajae kwa kumfananisha na Haji viatu vyangu ni vikubwa ila...
  4. JamiiForums Tanzania Hofu yenu kwa Umoja Party ni jibu tosha

    Kwamba kumbe Hayati Magufuli alikuwa anakubalika na wengi. The majority ya wananchi wanyonge ambao hata mumchafue vipi kwao yeye hachafuki maana wanajua kazi aliyoifanya kwa taifa lake. Umoja Party tayari imeshazichanga karata na inakwenda kuzoa lundo la wafuasi wapinga ufisadi na ubadhilifu...
  5. JamiiForums Tanzania Hofu baada mbeba chuma maarufu Cedric McMillan kufariki akifikisha miaka 44

    American bodybuilder Cedric McMillan has died at the age of 44, after health complications caused by Covid-19, and a road accident. McMillan, a long-time veteran of the US Army and National Guard, was a veteran bodybuilder and 2017 winner of the prestigious Arnold Classic. His death was...
  6. JamiiForums Tanzania Magenge ya awamu iliyopita yaligawana tenda za ujenzi wa mradi wa Stiglers wenye thamani ya trilioni 20, wamejaa hofu kuumbuliwa na CAG na Makamba

    Kwa wasiojua, mmisiri pale ni nyapara, hajengi, hawa Chato dynasty ndio wameji subconstruct . Magenge ya awamu ya tano yaligawana tenda ya ujenzi wa mradi wa Stiglers, hawa wanaopiga kelele na kumshutumu Waziri Makamba, ni kwamba wameanza kuuona moto, kampuni zao zimeanza kuitwa moja baada ya...
  7. JamiiForums Tanzania Benki zina kinga gani dhidi ya uchawi?

    Hakuna asiependa pesa (Hapo sasa nimekuwa semaji la binadamu wote), na kama yupo basi ana raha sana. Tutakubaliana pia, hakuna asiependa njia za mkato (shortcuts) za kurahisisha mambo. Njia mojawapo ya mkato ni kutumia uchawi kupata kile unachokitaka.... nimekua katika jamii ambayo inaamini ili...
  8. JamiiForums Tanzania Tunadekezwa, tunajua sote madhara ya deko

    Kuna Mmarekani Mmoja anaitwa Steve Harvey aliwahi kusema kuwa Success is the very uncomfortable process to attempt alimaanisha kuwa mafanikio yanahitaji hofu, yanahitaji pressure yanahitaji kukosa raha yanahitaji kila Aina ya internal and external forces. Binadamu yeyote anayejaribu kushusha...
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi, Kabla ya kuongea na jamii kuweni na maamuzi ya pamoja ili kuepusha kupingana wenyewe

    Viongozi wetu mnafanya kazi kubwa sana katika kuhakikisha Jamii inafika au inapata kile ambacho inakusudia kupata kutoka kwa viongozi waliowachagua au kuwaweka madarakani. Katika kuhakikisha hili kumekuwa na mambo mbalimbali ambayo viongozi huja kwa raia na kuyatolea matamko au maagizo pamoja na...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania hawakuwa miongoni mwa Walinda Amani wa UN waliouawa katika helikopta nchini DRC? Serikali tutoeni hofu

    Kuna Ndege (Helicopter) ya MONUSCO (Askari wa Kulinda Amani huko Congo DR) Jana imedunguliwa ikiwa na Askari Nane ( 8 ) wa Kulinda Amani na Wote wamefariki dunia. Natambua kuwa Tanzania ina Askari wake wengi pia huko ambao 'batch' ya mwisho iliondoka Wiki Mbili au Tatu tu zilizopita baada ya...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, umesahau Watanzania wanaitaka Katiba Mpya au ni hofu tu?

    “Rais Samia Suluhu Hassan, umesahau watanzania wanaitaka katiba mpya au ni hofu tu?” Katika nchi yoyote, msingi wa uendeshaji wa nchi unategemea Katiba. Katiba ni sheria kuu/sheria mama katika nchi yoyote. Sheria nyingine zote zinategemea au zinatungwa kwa mujibu wa Katiba. Wakati mwingine...
  12. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yafanya majaribio makubwa tangu 2017

    Korea kaskazini imeripotiwa kufanya majaribio yake makubwa zaidi ya makombora yake ya (Intercontinental ballistic missiles) makombora yenye uwezo wa kuvuka bara moja hadi jingine Majaribio haya nimakubwa zaidi tangu Mara yamwisho kufanya hivyo mwaka 2017, huku makombora hayo yakiwa na uwezo...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke niliyeshiriki naye ngono kakutwa na VVU, nina hofu japo tulitumia kinga

    Ni miaka 6 sasa sijawai fanya ngono peku (unprotected sex) na miezi 5 sijafanya ngono hadi wiki 3 zilozopita. Demu niliyemangana naye nilipotezana nae miaka mingi nilipoonana naye nilimtaka tena kukumbushia na nikampiga Mara 4 na kondomu bao 1 kila tendo ktk wiki 3 zilizopita Demu kapima Leo...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya Chelsea kuwekwa sokoni, kocha apata hofu wachezaji kuikimbia klabu

    Kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel amekiri kuwa ana hofu kuwa kuna uwezekano wa wachezaji ambao wanaelekea kumaliza mkataba klabuni hapo wanaweza kuondoka mwishoni mwa msimu huu. Hatua hiyo inakuja baada ya mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich kutangaza mpango wake wa kutaka kuiuza klabu hiyo...
  15. JamiiForums Tanzania Urusi yatiwa hofu na inteligesia ya Marekani kuhusu uvamizi Ukraine

    Wachambuzi wa medani za kivita wanasema kati ya mambo ambayo yamechelewesha Russia kuivamia Ukraine ni taarifa za kiintelijesia ilizonazo US zinazohusu mipango ya kuivamia Ukraine. Taarifa hizi, sio tu zinatokana na images za setilaiti bali ni zile ambazo zinatoka ndani kabisa ya jeshi la...
  16. JamiiForums Tanzania Marekani Sasa inatia huruma juu ya mzozo wa Ukraine, kauli za Joe Biden ni za kukata tamaa na hofu

    Zifuatazo ni kauli za Joe Biden na viongozi wengine baada ya kuona mzozo wa Ukraine na Urusi ni kina kirefu kwa Marekani kuvuka. 1-Marekani haitapeleka majeshi Ukraine! 2-Raia wa Marekani waondoke Ukraine Sasa! 3-Raia wa Marekani waondoke Ukraine mara moja kwani Marekani haitapeleka majeshi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nikiulizwa Rais Magufuli ametuachia nini kikubwa, nitasema "Ametuachia ujasiri dhidi ya corona", hofu ya corona hakuna kabisa Tanzania.

    Wakati Hofu kuu ilipokuwa imeikumba dunia kutokana na corona, Magufuli alituongoza watanzania kumtanguliza Mungu kwa maombi na Mungu alituponya na kuiondolea mbali kabisa hofu ya corona. Na mawakala wa corona walipotaka kutupandikizia hofu ya corona baada ya kifo cha Magufuli kwa gia ya mawimbi...
  18. JamiiForums Tanzania Unabii wa Godbless Lema unazidi kuwatia hofu wanasiasa wanaopindisha sheria na kutenda maovu katika jamii

    Hakika huyu jamaa ni Prophet, kama angeamua kuanzisha kanisa basi asingepungukiwa na wafuasi chini ya buku (1000). Alianza na Mzee wetu Hayati Magufuli, wafilisti wakamsweka ndani miezi 4 na ushee kwa kesi ya uchochezi. Yakatokea yaliyotokea! Akaja kwa bwa'mdogo aliyeko nyuma ya nondo akilia...
  19. JamiiForums Tanzania Algophobia: Hali ya kuwa na hofu isiyo ya kawaida kuhusu Maumivu ya Mwili (Mf. Kuchomwa Sindano)

    Ni hofu kali/isiyo ya kawaida kuhusu Maumivu ya Kimwili. Ingawa hakuna Mtu anayetaka kupata maumivu, walio na phobia hii wana hisia kali za hofu wakiwaza kuhusu Maumivu (Mf. kuchomwa Sindano) Huweza kuwaathiri zaidi Watu ambao wamepitia Maumivu makali ikiwemo Wagonjwa wa Saratani, wenye Maumivu...
  20. JamiiForums Tanzania Nchi inakumbwa na hofu kubwa ya njaa na kupanda sana kwa bei za vyakula. Rais aandae wananchi kukabiliana na hali hii na ashugulikie kwa udharura

    Hali ni mbaya. Kuna maeneo watu wamechanganyikiwa hawajui walime nini. Naona Serikali na viongozi wako bize na uchaguzi 2025. Natamani Serikali itoke adharani kufanya Mambo yafuatayo: 1. Kuhamasisha ulimaji wa mazao ya muda mfupi na yanayostaimili ukame kama mtama, mahindi na maharage. 2...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…