Hodi wakuu

Ronin

Senior Member
Apr 10, 2023
144
610
Kaka na dada zangu,
Baba na mama zangu,
Bibi na babu zangu,
Wajomba na Mashangazi zangu,
Wadogo zangu wote. Heshima kwenu.

Mimi nimejiunga hapa jf baada ya kusoma kama mgeni kwa muda kidogo, mpaka sasa nina mwezi mmoja kama mwana chama. Naomba ushirikiano wenu, mnionyeshe mitaa na chochoro za hapa jf.

Napenda sana story, naomba mniongoze kwenye story nzuri, pia ni mwanamichezo naomba mnipokee wanamichezo wenzangu.

Pia naomba mwongozo wa nyuzi zenye kujenga.

Asante sana wana jamii forum.
 
Kumbe ni punyeto?


Bila ya kupoteza muda naomva niende moja kwa moja kwenye mada.

Mada yangu inachochewa na utafiti mdogo ambao nimeufanya kuhusiana na hii kitu ya kuitwa punyeto. punyeto ni kitu mbaya sana linapokuja swala la spiritual issues.

kuna kipindi nimewah kuandika mada inayohusu uraibu wa kupiga punyeto na mim nilikuwa ni muhanga mkubwa na muhusika mkuu kwenye huo uzi ambao niliouandika miezi kadhaa iliyopita. Kwakweli nilipata ushauri kadhaa kwa members wa humu na nilianza mazoezi ya kuacha.

sasa nilichogundua kuhusu hii punyeto kwenye angle ya uraibu niligundua kwamba siyo psychological issue pekee kwenye scientific fact lakini pia kuna spiritual factor pia ambazo kwa utafiti wangu ndo zilikuwa very dominant. Nilijaribu kufanya correlation ili nipate mizani ya ninachokifikiria lakini bado mzani uliegemea kwenye msukumo wa ushetani, na hapa nitatoa ufafanuzi kidogo.

Kwa takribani miaka 10 nilikuwa kwenye game ya punyeto lakini kwa miaka takribani 4 nilikuwa nikipambana kuacha punheto kwa njia ya kawaida, yaan kufuata njia za kawaida za kisaikolojia lakini mafanikio yalikuwa ni zero. nilipambana sana, niliomba ushauri kwa baadhi ya marafiki zangu ambao wengi wao walikuwa ni madaktar lakini wap matokeo yalikuwa ni sifur bin sifuri mpaka kuna kipindi nilikata tamaa nikasema mimi, nimeshatengwa na MUNGU na heaven ndo basi tena, kwasababu kwangu dhambi kuu ilikuwa ni punyeto.

MUNGU alinirudia.

Naweza kusema this is testimony, kuna siku nikiwa kwenye pitapita mitandaoni kama kawaida nikakutana na mada iliyokuwa inahusiana na "uhusiano kati ya upigaji punyeto na ushetani" yaan soul ties ya binadamu na shetani wa punyeto.

It was a very interesting topic kwasabub I was really tired and my plan was to get out of this mess. kwenye hii mada walimzungumzia shetani wa kuitwa asmodeus, yule jamaa alimzungumzia vizur sana huyu shetani na namna anavyo ingia kwenye mwili wa binadamu na jinsi anavyo-kucontrol. Yule jamaa alielezea na namna ya kumshinda huyo shetani, yaani jinsi ya kuondokana nae. nitaelezea kwa ufupi lakini nitachukua pointi muhimu.

Asmodeus.

Huyu ni shetani ambayo ni very powerful demon, huyu shetani ni mmoja lakin anaposess four souls. Huyu shetani ndo mmiliki mkuu wa ponograph na kila aina ya ngono zisizo rasmi. Asmodius hapendi utakatifu, yaan hapendi mtu anayemcha MUNGU na huyu demon ni mvurugaji kwelikweli, hapendi amani hata kidogo, kama wew umeoa na unapiga punyeto atafanya kila linalowezekana ili awafarakanishe, and you will see everyday kwenye ndoa yako ni mvuragano tu.

Lakin pia huyu demon anahusika sana kwenye kufunga milango ya baraka(it shut open doors) unaweza kuwa umepata deal fulan and lately you find yourself forgotten na pindi linapotokea swala kama hilo wala hupati muda wa kufight mambo ya maana yaan ni utawaza kwa muda tu na utakumbuka kuwa kuna faraja ambayo ni punyeto, ndivyo unavyoendelea kuangamia.

JINSI ASMODEUS ANAVYOKUINGIA
Asmodeus anaingia kwa urahisi sana mwilini mwako kwa kutumia gate of soul ambayo ni macho yako. iko hivi unapowatch porn ndipo unapomfungulia mlango huyu shetani kukuingia na pindi anapoingia tu anakuarrest na hapo unakuwa ni mtumwa wake, utawatch porn baada ya hapo utaingia kwenye hatua ya punyeto.

nimesema ni very powerful demon nafikir tunafahamu jinsi wafuasi wa porn walivyozidi kwenye huu ulimwengu and they never quit, siyo wao ni asmodeus demon ndiyo incharge, very sad

JINSI YA KUONDOKANA NA ASMODEUS
Ili uweze kuvunja mkataba na huyu shetani, jinsi ambavyo uliweza kuingia naye mkataba, maana yangu ni kwamba kama uliamua kutafuta porn site kwa bidii na kuanza kuwatch au kama ulishawishiwa na marafiki principle is very simple(hapa ni individual effort)

1. Achana na marafiki wanaojihusisha na porn, au ikiwezekana anza kuwakaripia na kuwashauri kuacha kuangalia porn, tafuta ugomvi na marafiki wapenzi wa porn, na hapo utaanza kugombana na huyo shetani na utaona hasira zake. usijal kuhusu hasira zake kwasababu wew ni kuimbe wa MUNGU it will not harm you.

Moja kwa moja utaona unaanza kugombana na rafiki zako, utaona wanaanza kukutenga, yaan watauona kama miyeyusho flan but don't give up keep moving the slave road is coming to an end.

2. Kama zilikuwa ni jubudi zako kuanza kuwatch porn there's need individual effort (participatory deliverance) lazima uwe willing kuchange behavior, ni kama ulivyo kuwa willing kuingia kwenye porn. Hapa kunahitajika nguvu sana, yaani unatakiwa kuikana nafsi yako ambayo ndo silaha anayoitumia huyu demon kuharibu soul yako. hapa unahitaji na maombi sana kwasababu haya ni mambo ya kiroho, silaha nyingine ni kama umeshafahamu jina la huyu shetani, kupitia maombi inaweza kuwa rahisi kumtoa.

Nilisukumwa leo kuandika hii makala japo ni ndefu lakini natumaini itakuwa msaada kwa wengine. Naomba niendelee na majukumu mengine.

Niwatakie mchana mwema

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Sasa nenda kwenye jukwaa la la habari mchanganyiko na andika mada ya umuhimu wa ndoa ili "wale kataa ndoa" wajue umuhimu wa ndoa huku ukitoa sababu zenye mashiko.
Asante sana mkuu, nitafanya kazi ushauri wako, barikiwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom