Wenyeji wa Njombe Mjini, nakuja Njombe tarehe 30/04/2026 nahitaji connection ya Lodge nzuri au Hotel ya kawaida maana naona hiyo tarehe bila kufanya booking mapema sitapata Lodge au hotel hapo Mjini kati, Bajeti yangu kwa Lodge au Hotel ni 30k - 50K,
Ila kama hali ya kupata hifadhi nzuri (Lodge...