hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanapoteza wanaume wa kuwaoa kwa sababu hii

    Habari wakuu! Kwanza nakiri kuwa mapenzi hayana mtaalamu ila lazima tubadilishane udhoefu ilitujiimarishe zaidi na haya mambo kwa sababu mapenzi ndio maisha yenyewe,kipindi natafuta mke wa kuoa nilipata tabu sana kwa sababu nilikuwa sijui kuwa wanawake wengi wana ugonjwa huu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Moshi: Mahakama yamuachia huru Wendy Mrema aliyetuhumiwa kumuua mama yake mzazi na kumzika

    Wendi Mrema, yule mwanadada toka Moshi aliyetuhumiwa kumuua mama yake naye Kaachiwa huru. Taarifa zaidi inafuata. ----- Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imemuachia huru Wendi Mrema aliyekuwa akituhumiwa kumuua mama yake mzazi. Uamuzi huo umetolewa na Hakimu, Naomi Mwirinde, leo Agosti 19...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Juhudi hizi za Rais Samia katika kilimo ni neema kwetu

    Je wajua? 60% ya watanzania wameajiriwa katika sekta ya kilimo. UMWAGILIAJI Kuanzia msimu ujao wa kilimo, Serikali chini ya Rais Samia kuwajengea Wakulima wa zao la chai wa mikoa yote mabwawa makubwa ili waanze kulima zao hilo kwa njia ya umwagiliaji ili kuongeza tija na uzalishaji.Tanzania ina...
  4. JamiiForums Tanzania Ni mara ngapi huwa unakumbuka kukagua filter hizi za gari yako?

    Wanajf , nawasalimu. Leo tena ningependa tukumbushane mambo haya ya msingi kwenye magari yetu. Ambazo huchangia kwa kiasi kikubwa matumizi makubwa ya mafuta au ya wastani. Moja kati ya njia ambazo watengenezaji magari walitumia katika suala zima la kuifanya gari itumie mafuta kidogo ama...
  5. JamiiForums Tanzania Kumbe hizi ndizo nguvu za Serikali

    Nianze kwa kusema kwamba ndugu zangu Watanzania tunachanganya sana mambo. Frikra za Watanzania walio wengi juu ya serikali ni kwamba serikali ni lijitu lenye manguvu makubwa sana. Na ili kuonyesha manguvu yake basi litanyanganya watu ardhi pasipo fidia inayostahili, litapiga viongozi wa...
  6. JamiiForums Tanzania INAUZWA Hakuna kupigwa tena. Flash orijino na za uhakika kutoka Japan hizi hapa kwa bei ya tupate wote

    Kuna vitu viwili vinatukera sisi Kunonu Teknolojia kwenye jamii yetu ya Kitanzania kwenye matumizi ya teknolojia ya flash kwa matumizi ya nyumbani au ofisini. Mosi ni kwamba watu wanauziwa 'flash feki' hivyo zinawafia haraka zikiwa na vitu vyao muhimu. Pili, wengi wanauziwa 'flash' kwa bei za...
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Madai ya Odinga kuhusu Ruto kuchakachua matokeo ni ya kijinga sana kwa sababu hizi

    Hawa jamaa wa Raila ni wajinga kwelikweli, eti team ya Ruto wali hack matokeo? Ni uongo kwa sababu hizi Matokeo yote kutoka vituo vya kupigia kura ambayo yanajazwa kwenye fomu ziitwazo fomu 34A yote yalisainiwa na mawakala wa kila upande kabla ya kuwekwa kwenye mtandao wa IEBC Kisha hizo fomu...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Hizi hapa sababu za kuchelewa matokeo ya Urais Kenya

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC imetoa ufafanuzi kuhusu sababu za kuchelewa kutoa Matokeo pamoja masuala mengine yanayolalamikiwa na hatua inazochukua Tume imesema kwasasa inafanyia kazi masuala yafuatayo:- 1. Uthibitishaji wa picha ya Matokeo ya Fomu 34A dhidi ya Fomu 34B 2...
  9. JamiiForums Tanzania Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hizi Races

    Huwa sipendi kabisa kuzungumzia Dini. Sababu mimi nimeshaitwa majina mengi sana. Ila huwa sijali mzee wangu ni Al Haj, Sheikh ila si Sheikh njaa. Anakazi na miradi yake mingi tu. Mimi huwa wanasema nina asili ya uasi. Yaani pamoja na kuzaliwa katika Dini bado nina ishi kama kafri/kafir. Sababu...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio bei za mbolea ambazo wakulima watanunulia kuanzia Agosti 15, 2022 baada ya bilioni 150

    Utashangaa kiukweli hii inaonyesha ni Kwa namna gani serikali inawasikiliza watu wake hasa katika kuhakikisha inawapunguzia makali wakulima kutokana na hali ya kupanda kwa bei za mbolea katika soko la dunia si Tanzania pekee bali ni ulimwenguni kote. Zipo sababu kadhaa zilizosababisha bei...
  11. JamiiForums Tanzania Fani ipi kati ya hizi ina fursa za kupiga pesa?

    Salaam wadau, Moja kwa moja kwenye maada husika Mimi ni kijana mwny umri wa mid 20’s. Nina mpango wa kwenda VETA ili kujifunza ujuzi niweze kujipatia kipato. Lengo langu nikasomee kimojawapo kati ya udereva au ufundi simu+computer. Udereva nilioulenga ni Basic driving + ADVANCED DRIVERS GRADE...
  12. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ongeza kipato chako kwa kuzingatia njia hizi 3

    Umeshawahi kujiuliza, utaongeza vipi pesa ambayo unaipata katika maisha yako? Watu wengi sana wanatamani kuongeza kipato chao ila mara nyingi wanatumia njia ambazo sio sahihi kujipatia au kujiongezea kipato. Leo ningependa ujifunze njia rahisi na sahihi ambazo unaweza kuzitumia kuanzia sasa na...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hizi single parent imekuwa kama sifa au ufahari kwenye jamii yetu.

    Siku hizi kwa udadisi wangu naona hili jambo linakuwa kwa speed ya light. Nikianza na sisi wanaume. Siku hizi nana tumeinvest sana kwenye kujenga miili,kutumia mikongo,alkasusu nk ili kuwalizisha wanawake kitandani, huku tukikataa kuwajibika kwa output (mtoto) tulizo zitengeneza kitandani na...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Wakenya kwa kauli hizi, anafaa kuwa Rais huyu ndugu yenu?

  15. JamiiForums Tanzania Nikipata pesa sijengi msikiti/kanisa kwanza kwa sababu hizi

    Mtu akikamata vijisenti utaona anajenga msikiti/kanisa kuuuubwaaa kwao. Jiji la dar lina nyumba za ibada (kanisa/msikiti)karibia kila kona na watu hawajai, ila jiji la dar hospitali zinajaa sana, foleni za maji zinajaa sana, shule zinajaa sana. Mtu anajenga nyumba ya ibada kijijini kisha...
  16. JamiiForums Tanzania Hizi zinazoitwa connection ni nini? Je, ni jina sahihi linavyotumika huko?

    Kuna mambo mengi yanaendelea huko kwenye mitandao ya kijamii lakini hili la connection limepamba moto, kwanza kwanini huu udhalilishaji unaitwa CONNECTION? Inaconnect nini na nn? kwanini inaitwa connection ya flani? binti au kijana au mzee mwenye jina lake flan bin fulani Kwanini jamani...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nini Maana ya Tofauti hizi katika Huduma zitolewazo katika Hospitali zetu?

    Habari ,Hivi wana Jf hizi tofauti zina Maana gani katika sekta ya Afya ? hizi tofauti kimtazamo ni kama ndogo lakini madhara yake yanaweza kuwa makubwa :- 1.Unakwenda hospitali A unambiwa kwenye figo kuna Maji unakwenda hospitali B siku hiyo hiyo unambiwa hauna shida yoyote au unaenda...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Marais wa Siku hizi wa Afrika Kujisifia kuwa Saa 8 za Usiku nao hukesha kama Popo ni vyema au ni Uthibitisho wa Kufeli Kwao Kiuongozi?

    Madaktari Bingwa wengi wa Akili wanasisitiza na Kutusisitiza mno Wanadamu ( Watu ) kuwa pamoja na kwamba tupo busy na Maisha ila Usiku kuanzia Saa 4 hadi Saa 11 ni lazima tuwe tumelala vya Kutosha Kwa Afya ya Miili yetu na Akili pia. Wataalam hao wakaenda mbele pia na kusema kuwa Mwanadamu...
  19. JamiiForums Tanzania China sio super power ni Mandonga wa kimataifa. Bibi katua na hakuna kitu wanafanya. Hizi ni salaam kwa Putin na wengine fyokofyoko

    Putin pokea salaam kupitia kwa Bibi. Wale wachina ni wa mchongo usijenge uswaiba nao watakuacha kichinachina. USA ni mkubwa wao. China ni mbwa koko wenye kelele. Jitadhmini sana Mr. Putin nakuonea sana huruma. Msisahau China kapigwa nyeti uwanja wake wa nyumbani wala sio mbali na home kwake...
  20. JamiiForums Tanzania From the legends to the youngs. Hizi ndio kanuni za mahusiano

    Huu ushauri wa ma legends kwenda kwa madogo kwenye game ya mapenzi na wanawake. Legend yeyote anaruhusiwa kutoa ushauri kwa hawa madogo wanauouana na kufa kila day sababu ya mapenzi. We legends we admit. Mapenzi yanauma sio siri. But legends have solutions for every thing. Uzoefu ni mwalimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…