hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye ana maslahi binafsi na hizi kampuni za mitandao?

    Watu wanalalamika vifurushi kupanda bei ingawa hiyo kupanda bei tutapewa maelezo kua sisi tuna nafuu. Kuna hii ya sasa kifurushi kinaisha haraka na maelezo kua ni hatujui kutumia simu, kweli? Wakati ukweli ni 1GB ya 2 weeks ago sio sawa na 1GB ya sasa. Sasa hivi inapukutika wakati matumizi ni...
  2. JamiiForums Tanzania Hizi kelele ni kwa udhamini wa Waarabu wa Mchongo

    Dah! Wale Waarabu wamejua kutupa tabu hii wiki na miaka mingine mingi. Imagine kwa haya matokeo tulikua tunaambiwa Uto mechi za ugenini wanashinda. Imagine leo na kuendelea jinsi hali itakavyokua ni huzuni sana tutaambiwa haikuwahi kufungwa kabisa ugenini. Sijawahi ona waarabu hovyo kama...
  3. JamiiForums Tanzania Ukiwa kama programmer kwenye taasisi unakutana na changamoto zipi? Zangu ni hizi

    Wakubwa mnajisikiaje na hali🤚🤚, ni hivi ulishawahi kufanya kazi sehemu kama programmer halafu ukakuta wasimamizi wako au pengine wadau wakawa hawajui vizuri kuhusu programming? mimi hiyo ilishawahi kunitokea yaani nilifanya kazi kwenye mazingira magumu sana, na ni rahisi sana kuonekana hujui...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Muokoaji Majaliwa asingekuwa Shabiki wa Yanga SC akina GSM na Klabu ya Yanga ingempa hizi Fedha nyingi nyingi?

    Gharib Said Mohamed (GSM) bhana kwahiyo Wewe siku hizi umekuwa ni wa kutafuta tu Sifa kwa Watanzania hasa Kupitia Matatizo, Maafa na Majanga yanayowakumba? Kama kweli GSM unapenda Watu na una Huruma mbona zaidi ya mara Sita (6) umeletewa Barua za Chama Cha Wachezaji wa Zamani (ambao hawana...
  5. JamiiForums Tanzania Pre investigation thoughts; nadhani moja ya sababu hizi ndio ilipelekea ndege ya Precision Air kuanguka ziwani

    Uchunguzi wa kitaalamu utafanyika hivyo majibu sahihi zaidi yatatolewa lakini hilo halituzuii kutumia fikra zetu kutafakari kilichotokea. 1. Ukungu ulipelekea rubani kushindwa kuiona runway na hivyo akaishusha ndege chini mno wakati anajaribu kutaka kuuona uwanja. Alitaka atue moja kwa moja...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu hizi gari

     Wataalamu na wajuvi wa magari,naomba mwenye kujua kuhusu hizi gari kwenye maeneo haya yafuatayo: 1.comfortability yake. 2.fuel consumption 3.Availability of spare part zake. 4.Durability 5.Stability yake. 6.Changamoto zake. na mengine mengi unayoyajua kuhusu chuma hii. Asanteni sana
  7. JamiiForums Tanzania Kwa hoja hizi Zitto hafai kuwa kiongozi ACT.

    Sifa mojawapo ya kuwa kiongozi wa umma ni kuwa na maadili yanayokubalika kwa wananchi. Kiongozi wa chama cha siasa ni yule mtu anayesimama mbele kwa niaba ya chama chake kwenye maslahi ya wananchi wote bila ya kujali kama ni wanachama wake ama la. Kama kiongozi anaona kuawa kwa watu ni jambo...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa takwimu hizi za sensa hapa Tanzania na duniani, agizo la Quran kuoa mpaka wanawake wanne halitekelezeki

    Kuna mambo yanafikirisha pale baadhi ya vitabu vya kale kutoa maelekezo ambayo yanapingana na uhalisia wa dunia. Tanzania (mwaka 2022) Wanawake 31,687,990 Wanaume 30,053,130 Duniani (mwaka 2021) Wanaume: 3,970,238,390 (bilioni 3.97 sawa na asilimia 50.42%) Wanawake: 3,904,727,342 (bilioni...
  9. JamiiForums Tanzania Bumbuli kabla hujawafagilia makolo umepitia takwimu hizi za Yanga ya manji?

    Februari mwaka 2016 Yanga ya Manji iliingia kampeni ya kuiwakilisha Tanzania na kuanzia kwenye klabu bingwa wanaanzia hatua ya awali wakipangwa na Cercle de Joachim ya Mauritius Yanga inashinda ugenini 1-0 na nyumbani 2-0 wanavuka na kuingia hatua ya pili Hapa wanakutana na APR ya Rwanda Yanga...
  10. JamiiForums Tanzania Dhambi hizi zifuatazo ndizo zinaigharimu Wala Mihogo (Masikini) Yanga SC Mechi za Kimataifa

    1. Mgawanyiko mkubwa baina ya Wachezaji (hasa wazawa na Wageni) na hili GENTAMYCINE zaidi ya mara Mbili nimelisema hapa hapa JamiiForums ila mkanichukulia poa ila lipo tena sana tu 2. GSM na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na Makamu wake Kujimilikisha Yanga SC na Kuwadharau wenye Yanga SC...
  11. JamiiForums Tanzania Hizi ni dalili za kwamba wewe bado ni maskini/fukara na unatakiwa ukaze zaidi

    Tukiachana na labda kushindwa kugharamia mambo yale ya lazima ili uweze kuishi, au kutokuwa na nyumba wala usafiri, basi hizi hapa dalili zingine ambazo hazitajwi sana ila zinamtafsiri kuwa huyu mtu ni maskini na anapaswa apambane sana. 1. Kuweza kuhesabu hela zako zote kwa mkono bila msaada wa...
  12. JamiiForums Tanzania Chukua hatua hizi kupata mwanamke anaekufaa kwenye maisha yako

    Ile misemo ya zamani kuhusu ndoa miaka ya sasa haifanyi kazi kabisa. Kulingana na ukosoaji wa jamii hakuna kijana anaetaka kuangalia tabia anapotaka kuoa badala yake sura ndio jambo la kwanza. Kati ya wanawake wenye sura nzuri na mvuto wapo pia wenye tabia nzuri. Swali linakuja je nitajuaje...
  13. JamiiForums Tanzania Nimechoka na hizi 'bla bla' kutoka kwa Wanafiki, Waongo na Wasiofanya hivyo

    "Njombe mkulima analima heka moja ya viazi mviringo, anavuna gunia 206 anauza elfu 40 anapata milioni 8, amewekeza milioni, sasa uzalishaji wenye tija upo Njombe" - Anthony Mtaka, Mkuu wa mkoa wa Njombe. Chanzo: EastAfricaTelevision Tafadhali hebu tuacheni kwa sasa!!!
  14. JamiiForums Tanzania Wajuzi naomba utofauti wa hizi tv wanaita smart 4K na hizi smart za kawaida

    Hasa kwa upande wa Hisense tv, nana bei ya 4k ni tofaut na bei ya smart ya kawaida, nini cha ziada?
  15. JamiiForums Tanzania Wazee wenzangu wa kuweka mizigo (betting) hembu njoeni tuzijadili hizi point alizopewa Yanga sc dhidi ya Geita Gold leo hii.

    Mazee hapa kuna kamtego nini nikitia kamilioni nikimpa yanga si nitanemeka, alafu kama kuna kitu kinaniambia acha ujinga 😂😂
  16. JamiiForums Tanzania Wana Simba SC tumeshachoshwa na 'Press' zenu za 'Kutuzuga'

    Tumeshawachoka sasa, yaani kila Simba SC ikifanya vibaya (ikifungwa) ili kutuzuga wapenzi (mashabiki) haraka sana kesho yake (kama hii leo) mnakuja na Press Conference (Mkutano na Waandishi wa Habari). Kama kweli Simba SC huwa mnakuwa na taarifa (jambo) muhimu kwetu mashabiki ni kwanini huwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Je, unafikiri hizi treni za SGR ndo zenyewe au tumepigwa tena?

    *Ni yale yanayotengenezwa nchini Korea Kusini kwa ajili ya SGR WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maendeleo na kasi ya ujenzi wa mabehewa mapya kwa ajili Reli ya Kisasa (SGR) ya Shirika la Reli Tanzania yanayotengenezwa na kampuni ya Sung Shin Rolling Stock (SSRT) iliyoko...
  18. JamiiForums Tanzania Hizi njemba(hawa ma-legend) za JF zinatufanya kizazi cha sasa tuonekane tuna upeo mdogo wa kufikiri

    Kwema Wakuu! Nimeanza kufuatilia JF tangu 2010 hivyo mpaka sasa ni miaka 12. Hivyo ninauzoefu WA kutosha na mambo ya humu ndani. Ingawaje kipindi kile yaani 2010-2013 nikiwa sekondari nilikuwa Kama msomaji tuu lakini bado ninakumbukumbu nzuri ya mambo yalivyokuwa. Nakiri kuwa humu JF kuna...
  19. JamiiForums Tanzania Hizi Software 3 hazitokuja kupata mshindani wa kuzipindua kizazi hiki

    Hello bosses.... Kwa mizunguko mizunguko nlopitia baada ya kufanya kazi na watu kadhaa kwenye field ya software dev nmekuja gundua (in my opinion) kuna software hizi 3 hata itokee alternative gani kizazi hiki hazitokuja kuwa replaced. Kiufupi hizo ni:- 1) BLOOMBERG TERMINAL 2)MICROSOFT EXCEL...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Delivery note, invoice, receipt voucher, local purchase order , issue voucher, form namba 2 na fomu ya uhakiki wa vifaa; mwenye uelewa wa hizi nyaraka

    Elimu niiombayo ni ya tafsiri (maana), muda na namna ya kutumia na sababu ya kuwepo kwao. Nauliza kwa sababu sielewi tu, nilikuwa katika taasisi fulani hv karibuni na kulikuwa na miradi mikubwa na ya haraka. Sasa unaenda kwa mkaguzi wa ndani (preauditor) anagoma kupitisha ikiwa moja ya nyaraka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…