hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Yanga mngependa kukutana na timu gani kati ya hizi tatu kwenye robo fainali ya kombe la losers? Rivers United, USM Alger au Pyramids

    Chei chei! Timu ya Yanga inakwenda kuumaliza mwendo katika kombe la waliofeli kwani wanakwenda kukutana na miamba mitatu ambayo isingependa kukutana nayo. Yanga amemaliza kama kinara wa kundi Dada....ila anakwenda kukumbana na hatari kubwa mbele yake kwani alitegemea labda atapata vibonde ambao...
  2. JamiiForums Tanzania 90% ya nyumba za Dar miaka ya 2010 rudi nyuma ni hizi, ramani moja tu

    Nyumba hizi nyingi zipo Ilala miji ya zamani, Kigogo, Mburahati, Vingunguti, Mbagala, Keko n.k Utofauti unakuja kwenye kupaua na idadi ya vyumba tu ila ramani ni moja.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Unique Sisters wako wapi siku hizi?

    Wale madada warembo watatu waliotamba Bongo flavor miaka ya 2000 mabinti wa Kipozi Unique Sisters/ Dadaz wako wapi siku hizi na wanafanya nini? Walikuwa wanaongea kijapani kilichonyooka, walishaishi Japan. Kuna huyu jamaa mabangi walimshirikisha kwenye ngoma yao flani Mez B naye yuko wapi siku...
  4. JamiiForums Tanzania Binadamu walifanya Ibada hata kabla ya hizi Dini

    Mwanzilishi wa Dini ya ukristo na uisalam ni mtu mmoja tena ni kwa lengo la utawala na biashara, hakuna cha ziada kuhusu uisalam na ukristo. Maandiko na dini ni vitu viwili tofauti.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ina maana hizi Bodaboda wanazigawa bure kama peremende?

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekabidhi pikipiki 100 zenye thamani ya sh. milioni 260 kwa vijana wa wilaya ya Ruangwa ili wazitumie kufanya biashara ya usafirishaji. Akizungumza na vijana wa Ruangwa kwenye hafla ya kukabidhi pikipiki hizo iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya CWT...
  6. JamiiForums Tanzania Na huu ndio wakati rasmi mashabiki wa Simba watatamani ardhi ipasuke wajifiche kwa aibu hizi zijazo, Kocha hawezi toboa msimu ujao

    Kesho kuna mechi ya Raja usiku saa saba, ikumbukwe mwarabu alishamvurumisha Simba tatu kwa mkapa, Kesho Simba wasipokuwa makini watabanikwa wazima wazima kuweka rekodi ya aina yake Robo fainali wamevamia mtumbwi wa vibwengo wanaenda kutana na Mamelodi. Robo fainali hawatoboi kwa Mamelodi...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hili la utafunaji wa kodi zetu! Wananchi tuonyeshe hisia zetu!

    Mpaka lini sisi tutaendelea kuitwa masikini? Huu umasikini tunaoitwa nao kila leo, sababu yake ni ipi kama sio hii ya wakubwa kuiba mapesa yetu? Ni kweli kabisa sisi ni masikini au ni upumbavu wetu? Umasikini upi tulionao sisi ili hali robo nzima ya bajeti yetu, inaishia mifukoni mwa...
  8. JamiiForums Tanzania Hizi gharama za kusambaza mabango zinatoka wapi na yana faida gani kwa Watanzania?

    Nimejiuliza maswali haya nimekosa majibu, Hivyo nimekuja kwenu wadau mnisaidie. Ukipita maeneo mengi hususan mijini utakuta mabango yenye picha za kusifu mf. "Ametekeleza maono" "Ameimarisha huduma za umeme" n.k, Je, mabango haya yanagharamikiwa na chama au serikali? Je, yanafaida gani kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Unamkumbuka Taribo West wa Nigeria, siku hizi ameokoka na ni mchungaji

    Taribo West mchezaji wa zamani wa Nigeria kwa sasa ameokoka na ni mchungaji kanisani kwake. Kanisa lake ni la miujiza na limeanza kuwa na waumini wengi siku baada ya siku. Taribo alijipatia umaarufu akiwa anacheza soka, huku akiwa na style yake ya kusuka nywele na kuzipaka rangi ya kijani.
  10. JamiiForums Tanzania Zama za Kikwete tulikuwa naye Ridhiwani, Zama za Magufuli ni Makonda, zama hizi nani ndiye mtoto pendwa wa Chamwino?

    Hii nchi CCM wanacheza nayo watakavyo. Kila zama huwa kuna kuwa na mtu mteule ambaye ukipitia kwa huyo basi kila kitu chako serikalini kitapata mserereko. Enzi za Makonda, John Magufuli akiwa Rais na Ridhiwani Mzee Jakaya Kikwete akiwa Rais, kila mtu alijua kwamba jambo likisemwa na hao watu...
  11. JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu za vijana kukwepa Ndoa

    Umefikia umri wa kuoa? Umewahi kwenda kwa wazazi wa mwenza wako kuanza taratibu za kufanikisha hilo? Walikueleza nini? Kipi kilikufurahisha na kipi kilikukera au kukukatisha tamaa? Majibu ya maswali haya yanaakisi uhalisia wa wanayoyapitia vijana wengi wanapoanza mchakato wa kufunga ndoa kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Zingatia Sheria Hizi Wakati Unamtongoza Mwanamke.

    Kutongoza ni mchakato. Sio kitendo cha siku moja au saa moja, bali ni kipengele kwenye maisha yako. Huwezi kukikwepa. Labda kama huna mpango na wanawake. Kutongoza kunachukua muda. Kutongoza hakuishi. Kumtongoza mwanamke ni sehemu ya maisha yako. Kwenye muda wa huo mchakato, fuata haya. ...
  13. JamiiForums Tanzania Zitumie njia hizi kukabiliana na athari za u-extreme perfectionism

    Habari kwa wanajukwaa. Ni matumaini yangu muwazima wa afya. Awali ya yote kabla sijaenda kwenye mada nataka nielezee u-perfectionism kwa kifupi. Perfectionism ni hali ya kuwataka/kutarajia au kujitaka/kujitarajia wewe mwenyewe kufanya jambo/mambo bila ya kuwa na kosa/makosa yoyote. Watu ambao...
  14. JamiiForums Tanzania Mtaje kiongozi yoyote wa awamu ya tano aliyekuwa maarufu lakini siku hizi hasikiki...

    Mimi naanza na Doto James Mghosha. Huyu alikuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha, alilitumikia Taifa lwa uzalendo mkubwa sana. Kwasasa simsikii kabisa sijui yuko wapi?
  15. JamiiForums Tanzania Kwa wenye uzoefu na hizi gari ndogo. Hili swali watu wameshindwa kujibu

    Nimeona kwenye group moja la Telegram mdau anauliza hili swali. Tumeshindwa kujibu. Wadau nani amewahi enda Dodoma kwa IST toka Dar? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi? Au *Nani amewahi fanya safari ya Dar to Babati kwa IST? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?"
  16. JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali iangalie hali ya usalama kwenye boti za mwendokasi Kivukoni na Kigamboni

    Mimi ni mwananchi wa kawaida leo nimeamua kuweka hili suala wazi ili jamii ione wazi kuliko kuendelea kulalamika chinichini kila siku. Naamini kupitia hapa Jamii Forums ujumbe huu utawafikia Watanzania wengi na vyombo vya Serikali kuweza kuelewa ninachokiandika hapa. Hoja yangu ni kwenye zile...
  17. JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) akishinda mechi 9 Kati ya hizi 10 Ubingwa ni wako

    Leeds (home) Liverpool (away) West Ham (away) Southampton (home) Man City (away) Chelsea (home) Newcastle (away) Brighton (home) Nottingham Forest (away) Wolves (home) Hii ndio inaitwa its in their own Hands (Hata wakishindwa Six - Pointer na Man City)
  18. G

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania itaanza lini kutumia barabara za nanotechnology?

    Barabara za Nanotechnology zimeanza kutumiwa na nchi nyingi; 1. Inachukua muda mfupi kujenga. 2. Ni environmental friendly (inaweza kujengwa hata Serengeti na mbuga zetu zote). 3. Naamini wataalamu wetu kama Ibra Construction wanazimudu. Maida Waziri alionekana South Africa akizionyesha kwenye...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Hizi pongezi Kwa Rais Samia zina nini nyuma yake kama sio kumbeza na kutweza utu wake?

    Imezoeleka Rais Mpya aliyeko madarakani kuadhimisha siku 100 Ikulu, utaratibu ambao nchi nyingi zimeiga kutoka Marekani. Baada ya hapo Rais anaachwa kuchapa kazi. Hata Joe Biden baada ya zile siku 100 hatukusikia tena akipongezwa Kwa mwaka mmoja au miwili au vinginevyo. Siku 100 imewekwa...
  20. JamiiForums Tanzania Nataka kuteketeza 10 million means kuzichoma moto hizi pesa baada ya kugundua pesa hizo sio halali

    Pesa makaratasi... hii ndo maanake ☝️😁😁 ukichoma pesa serikali inakupa kesi. Pesa zangu afu serikali inanipangia matumizi ☝️ hata kuchoma pesa ni matumizi mbona nikipoteza pesa hainisaidii kutafuta hizo pesa.... Utumwa still bado upo. Any way ....
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…