hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hatimae Dunia imeanza kuamini na kutumia hizi Data za Tume iliyoundwa na Samia, na itaenda hivo vizazi na vizazi.

    Kitu pekee Samia anapambana na ccm kwa ujumla ni kutaka uongo uwe officialized na uwe documented. Na unajua madhara ya kua documented? Madhara yake ni kua hizo taarfa ndio zitakua Rasmi kwa vizazi na vizazi na zitakutumika kama reference. leo hii Dunian taratibu inaanza kutumia Data za watu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Chadema toa TAMKO kuhusu hizi Tume zinazoundwa kuhusiana na mauaji ya 29.10.2026

    Huu ni mtegon mkubwa. Kujalalisha uovu.. Matais wa nchi zilizoleta majaji ni birds of the same feathers fly together! Uganda haina Independent judiciary, pia Namibia! Museveni ni dikitaita namba moka Afrika. Besigye anaozeamjela kwanuonevu kama Lisu.. Eti huyo atoe jJaji kuja kuona ukweli...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hizi project zinazo endelea Pemba zipo Kasi sana kipindi hichi?

    Nimepata safari ya kikazi kwenda Zanzibar kisiwa Cha Pemba , safari yangu ilianzia Tanga na boti ya Zanzibar 3 safari ilikua ya lisaa 1 ,nilicho jionea Pemba Ina miradi mingi sana ya serikali inatekelezwa awamu hii barabara kila mtaa kiwango Cha rami , shule za golofa , na inaenda kwa kasi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Goba tuwekewe Kituo cha Daladala, kutegemea hizi zinazopita kunatuathiri na kutupa gharama kubwa

    Nikiwa mmoja kati ya Wakazi wa Goba, naomba kuwasilisha kilio chetu kuhusu changamoto kubwa ya usafiri wa umma inayotukabili sisi wakazi wa Goba na maeneo yanayotuzunguka. Kwa sasa hatuna magari ya umma ya kutosha yanayotoa huduma moja kwa moja kama daladala za uhakika. Mara nyingi tunategemea...
  5. JamiiForums Tanzania Bill Gates: AI Haitachukua Kazi Hizi 4

    Bill Gates Asema Kazi Hizi 4 Tu Ndizo AI Itapata Ugumu Kuzichukua Kutoka Kwa Binadamu. --- Kwa miezi kadhaa, kila taarifa mpya kuhusu AI imekuwa ikivuka mstari wa kile tulichodhani hakiwezekani. Leo AI inaweza kuandika programu, kuchambua data, kuzalisha video na kufanya kazi ambazo zamani...
  6. JamiiForums Tanzania Mtu anisaidie nipate hizi office frame holder

    Nani anafahamu hizi zinapatikana wapi kwa matumizi ya ofisi,mimi niko Arusha.
  7. JamiiForums Tanzania Yale tuliyopaswa kumuuliza Roho Mtakatifu, siku hizi watu wanaiuliza AI. Je huku ndio kumkufuru Roho Mtakatifu?

    Nini tofauti kati ya AI na nafasi ya Roho Mtakatifu?: 1. Asili ya Kiungu dhidi ya Mashine Roho Mtakatifu: Ni Mungu hai, mwenye hisia, mapenzi, na uwepo wa milele. Yeye ni Nafsi ya Tatu ya Utatu Mtakatifu. AI: Ni programu ya kompyuta iliyotengenezwa na binadamu. Haina uhai, haina roho, na haina...
  8. JamiiForums Tanzania Ukisikia kauli hizi, jua umekwishakufa, bado kuzikwa tu

    Habarini ndugu zangu wa thamani sana, wa jukwaa zuri za Habari na Matukio. Nimekumbuka maisha ya miaka ya nyuma mno leo, kuna journal niliwahi kusoma inayohusu maisha. Kuna kauli ukisikia watu wanasema juu yako, ni lazima ujitafakari upya.. or otherwise you're already dead. Sisemi kwa nini ila...
  9. JamiiForums Tanzania Kwenye Biashara ya Super Market hasa hizi Kubwa, Fruits, Vegitable na fresh food zingine ndio Cash cow yao

    Super Market huwa sehemu ya vyakula ndio Cash cow yao ya kuendeshea biashara, ndio sehemu wanayo patia pesa za kurun Duka zima. Bidhaa zingine zinazo bakia ni changamoto tu kama ilivyo mtaani. Ndio Maana Super Market kubwa wanajitahidi sana wawe na fresh food muda wote na kwa wingi sana kwa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Wanausalama wa Barabarani Mkata hizi tuhuma za rushwa mnazisawazishaje? Mnaonea sana madereva wa Lori

    Kituo cha Police Mkata Kitengo cha Usalama Barabarani kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa maadili ya kazi yaani rushwa pale ni halali yao kabisa ndio sehemu wameona pakupatia hela ukio-overtake pale wanakuweka mahabusu wanakutoa wanakupeleka kwenye chumba chao kuna askari. Katika hicho kituo...
  11. JamiiForums Tanzania Hizi account hapa JF zipo ikulu na ofisi ya raisi pamoja na CCM

    Imefikia mpaka wanatumia domain ya serikali kujiunga JF.Na wengine wapo ofisi ya raisi. Kuna siku kuna mmoja hataropoka kuwa kuna mtu anatumia neno " kuna watu wanajibu mavi" basi ujuwe ni mtu maarufu hapa JF
  12. JamiiForums Tanzania Afrika, Tanzania tunahitaji watawala wa aina gani? - machifu na wafalme kama zamani ama (wanasiasa) maraisi na mawaziri kama siku hizi

    Natumaini japo hatuna machifu rasmi, bado tuna ulewa espesheli vile kuna makabila bado yana heshima ama muendelezo kwa machifu wa zamani na warithi wao. Binafsi, naona karibu vitu vyote vya kigeni tulivoiga, aidha tumeboronga ama havijafanya kazi ndani ya jamii zetu. Mambo ya siasa, maraisi na...
  13. F

    JamiiForums Tanzania JE ni kweli ndoa za zama hizi ni kama mtego wa panya ?

  14. JamiiForums Tanzania Hii video imejaribu kuelezea muhtasari mfupi wa hizi beef utumbo za humu JF 😁

    Mnatukanana kwa emojis na ID hewa za majina ya uongo😁
  15. JamiiForums Tanzania Tafuteni Mchanganyiko wa hizi mimea ni Mjarabu sana kwenye matibabu ya CHANGAMOTO ZA UZEE kama usingizi,kusahau,maumivu viungo n.k

    Uzee ni kitu hakikwepeki. Lakini tafiti za kibotani(elimu ya mimea) zimefatilia jamii zinazotumia mimea ifuatayo na kukuta wazee wa jamii hiyo wakiwa na uwezo mkubwa wa kufurahia uzee wao ,kwa Tanzania mimea hii hupatikana Kilimanajro na ukanda wa pwani. 1. Matatizo ya aina yoyote ya kuumwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ni kweli CO wengi siku hizi ni watupu na uwezo chalii?

  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali irekebishe Kanuni hizi, zinatuzuia wenye Diploma za Medicine kusomea Degree

    Vijana wengi nikiwemo mimi mwenyewe ni wahanga, tunakosa fursa na tunabanwa na kujiunga vyuo vikuu kusoma degree baada ya kuhitimu diploma za afya kama ifuatavyo. Mtu unasoma Diploma in Clinical Medicine kwa kutumia Cheti cha Form Four katika combination ya PCB, mimi binafsi nina C ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Man united: Red flags hizi za INEOS zifanya nisiwe na imani nao

    Kama shabiki wa Man united wa miaka zaidi ya 20 ambaye nilishuhudi nyakati nzuri za mafanikio ya Man united chini ya Sir Alex Ferguson na CEO David Gill, nawasiwasi nyakati zile nzuri zinaweza zisirudi hivi karibuni. Baada ya kufanya tathmini juu ya uelekeo wa hii Man united chini ya INEOS...
  19. JamiiForums Tanzania Kama una sifa hizi huwezi ichukia CCM, huwezi sema au taka itoke madarakani. Utakuwa na kichaa wewe

    CCM Imefanikiwa sana kulinda amani kwa haya makundi ya watu 1. Mafisaidi 2. Wezi 3. Mapuyanga/mapapai/ mchicha mwiba, madafu. 4. Al munafiqina 5. Wachawi/Machawa Huwezi kuwa katika makundi au kundi ilo alafy ukajifanya kuichukia ccm. Utakuwa na kichaa. Watu atutakuelewa hata kidogo.
  20. JamiiForums Tanzania Could This Report Be True That There is a New Scramble for Tanzania BTW Europe vs Russia?

    Wanabodi Watch this https://youtu.be/mjaFkFP3swk?si=HQWWh1DplyU1uuzG Could this be true?. Paskali
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…