hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa nini siku hizi hakuna miujiza kama Yesu alivyoagiza KWA wafuasi wake?

    Wakatoriki ndio kabisaa hawataki kusikia hizi habari wao wamejielekeza zaidi kwenye mifumo yao ya kiibada basi. Wasabato nao ni kama wamekatazwa kufanya eti KWA sababu Shetani atafanya na yeye miujiza bandia. Wamejikita kutaka Yesu arudi mapema. Walokole badala ya miujiza wao wamejikita kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Ni nani anayefaidika na hizi kesi zetu Yanga huko CAS? Kuna watu wanapiga pesa kupitia huu upuuzi.

  3. JamiiForums Tanzania Safari hii hizi asilimia 35% za increase ya pay sitathubutu kukopea.

    Ilikiwa hivi wana izengo. Nilitamani mkoko muda mrefu. Sasa mama akasema asilimia 23, si nikapiga hesabu zangu za mwalimu Juma. Nilijidhisha kwamba kwa asilimia hizi, naenda kukamata 920k take home itanitosha na wese. Nikaingia benki moja pendwa nikavuta 12m keshi. Nikapata ka vits. Basi...
  4. JamiiForums Tanzania Leo tuishi na hizi wanangu

  5. JamiiForums Tanzania Democrasia iliopo Kenya hasa uhuru wa habari sio wa levo hizi za Africa ni beyond Africa labda Ulaya huko nako pia nina wasiwasi.

    Democrasia iliopo Kenya sisi hata robo yake hatutarajii kuifikia , kwa kizazi hiki cha kipumbavu. Jamaa wako mbali sana kwenye uhuru. Angalia hii habari na piga picha ndio Bongo hii. Hii je? Kenya uhuru wa Habari ni beyond, Tanzania kuna wajinga wanadanganywa kwamba kuna uhuru wa Habari...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi njemba zinazoiga iga biashara mna deal nazo vipi, mtu anakuja kufungua biashara kama yako pembeni yako

    Umeumiza kichwa kuanzisha biashara yako, si kwa lelemama, si kwa bahati nasibu, umekesha sana usiku kwasababu ya kufanya research, ulichunguza location, ukapima mzunguko wa wateja, ukapanga jinsi bidhaa zako zitakavyokaa, ukafikiria bei ambayo inaweza kuvutia wateja, ukajifunza mbinu bora za...
  7. JamiiForums Tanzania 🐔 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndio Sababu Kwanini Wafugaji Wengi Hupoteza Fedha Kabla mapema sana ! Soma hizi Sababu 4 kuepuka kufeli !

    🐣 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndiyo Sababu Kuu Kwa Nini 70% ya Wafugaji Huacha Kabla ya Miezi 6! 😩👇 1️⃣ Bajeti 💸 – Wengi Huanza Bila Mpango wa Fedha Watu wengi huingia kwenye ufugaji bila kujua gharama halisi za: 🔹 Chakula 🔹 Dawa 🔹 Vifaa 🔹 Huduma Matokeo? Mtaji unaisha kabla kuku...
  8. JamiiForums Tanzania Sababu mojawapo ya kutaka Stellenbosch wafungwe na Simba ni hizi dharau za wasouth

    Asubuhi asubuhi nadondosha uzi. Ebwana wasouth wana dharau sana kwa waafrika wenzao. Yaani hawa jamaa tumewapigania na tuliwapa hadi hifadhi lakini leo wanatuona waafrika wenzao kama nyani na ngedere. Wanatuona kama binadamu ambao hawajastaarabika. Kuna video nimeiona jana usiku wakiiongelea...
  9. JamiiForums Tanzania Zamani ukisema fulani yupo 'Chuo' watu waliogopa,siku hizi

    Wadogo zangu mjitafakari Nadhani kama sio utandawazi na namna nyingi za kupata 'materials' tungekuwa na balaa zaidi No wonder vijana wa chuo mmegeuka chawa... Enzi za mwalimu hata tulipokuwa sekondari tuliajiriwa...sasa hivi sidhani kama ndio mnapata na muda wa kumgombania Mwijaku Hii...
  10. JamiiForums Tanzania Kama ChatGPT inaweza kuhubiri Injili namna hii - basi ni kweli hizi ni siku za mwisho!

    Soma mpaka mwisho maongezi haya kati ya Interviewer na ChatGPT - utacheka, lakini pia utakubaliana nami kwamba hizi ni siku za mwisho. Injili inahubiriwa kwa kila njia, kwa mataifa yote, kama Yesu alivyotabiri(Mathayo 24:14) :) -------------- Swali: We chatGPT ni mbishi sana. Kila mahali, watu...
  11. JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi ya ELEMENTS za watu waliofanikiwa KIUCHUMI lakini HAWAJIONESHI. Soma hadi mwisho kisha jitathimini wewe binafsi uko wapi?

    1. Waliofanikiwa Kiuchumi ni watu waliofanikiwa katika UTUNZAJI WA MUDA! Hawapendi kupoteza muda 2. Waliofanikiwa Kiuchumi ni MABAHILI na wanachukiwa na watu wao wa karibu, kwa sababu ya ubahili wao. 3. Waliofanikiwa Kiuchumi, hawapendi sana POPULARITY ili kuwa huru ktk mambo yao binafsi...
  12. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mechi ya Yanga dhidi ya Simba kupigwa Mei 10, 2025

  13. JamiiForums Tanzania Wanaume mnaharaka sana wakati wa kufanya mapenzi, na hamna ubunifu, shida ni nini?

    Hili suala kusema ukweli linatokea si kwangu tu bali karibia kwa kila mwanamke analalamika "KUTOKOJOZWA" Wanaume mnaharaka sana wakati wa kufanya mapenzi, na hamna ubunifu, shida ni nini? Wanawake mnatuacha na hamu vitandani au mnataka nani atumalizie hamu zetu. Wanaume wa siku hizi hamjui...
  14. JamiiForums Tanzania Chumvi ya Baharini ‘Sea Salt’ na Chumvi ya Mawe ‘Rocky Salt’ Zinatofautina katika namna hizi

    1. Sea salt inakuwa imetokana na kuvukisha maji ya bahari wakati ile ya mawe inachimbwa kutoka miamba inayodhaniwa kuwa ilitokea baada ya habari au maziwa ya zamani kukauka 2. Chumvi ya bahari huwa inakuwa na rangi nyeupe au off-white wakati zile za miamba kama Himalayan salt zinakuwa na rangi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Siku hizi wadada hawaombwi tena namba, bali mvulana unaulizwa kwa nini hunaga namba yangu

    Hasa Hawa wadada wanaocheza michezo ya mtu kutoka kila siku😃😁😁
  16. JamiiForums Tanzania Asilimia 70% ya wamarekani( USA) ni masikini. Takwimu hizi ni za ukweli?

    Haya si maneno yangu. Ni maneno ya 👇👇👇
  17. JamiiForums Tanzania Vodacom: Kuna watu ndani ya system wana wahujumu ndani ya siku hizi mbili mabando yanakatwa kinyume na utaratibu

    Juzi nilijiunga na bando la elfu 2 Mia 5 internet mida ya saa moja jioni. Sikwenda You Tube wala Instagram, wala Tiktok wala Fb. Nilikuwa nachati tu WhatsApp na kuperuzi Jf. Nafika home saa 3 usiku naletewa meseji ya umetumia asilimia 75 ya bando lako. I was shocked. Nilikuwa nna usingizi siku...
  18. JamiiForums Tanzania Mzee Azim Dewji acha mara moja kutoa hizi ahadi za mfungaji na mtoa assist

    Habari za jioni wakulungwa. Naleta habari hii usiku huu, nikiwa nimefuatilia ahadi za huyu mzee wetu kipindi hiki timu inatafuta namna ya kufuzu nusu fainal na kuitafuta fainali, kwa jicho la tatu ahadi zake hizi zinavuruga timu sana, mchezaji badala ya kufocus timu ishinde qnafocus afunge...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa hizi Royalty Pranks zinazoendelea ni ushahidi Tosha hakuna mwanamke mwaminifu

    Kwema Wataalam ! Ndio linapokuja swali... Hivi mnaosema unawekeza kwa mwanamke una moyo imara vya kutosha kihimiri tukio atakalokutandika nao. Hapo chini nimeweka tu baadhi ya Comments za wadada asee ni balaa. Ushauri kwa wanaume wenzangu, Kama unataka kuwekeza na kuweka akili yako kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Binti yangu; ukiona Dalili hizi kwa Mchumba anayetaka Kukuoa kimbia haraka Sana

    BINTI YANGU; UKIONA DALILI HIZI KWA MCHUMBA ANAYETAKA KUKUOA KIMBIA HARAKA SANA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwanza nilikuambia unatakiwa ujitegemee na uweze kujimudu mahitaji yako ya msingi. Huo ndio UTU wako. Na hiyo ni Moja ya sifa kuu ya Mwanamke Bora atakayekuwa Mama Bora na Mke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…