hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora

    Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora: 1. Drill Machine (Choropoa) – Kwa kuchimba kuta, mbao, nondo n.k. 2. Angle Grinder (Grinda) – Kukata chuma, bati, tiles, mawe n.k. 3. Cutting Machine (Circular Saw) –...
  2. JamiiForums Tanzania Internet ya Voda kama iko slow sana kwa hizi siku mbili tatu

    Vipi wananzengo… Huu mtandao wa Voda kuwa slow ni kwangu tu au hata huko?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwa kamasi na chafya hizi, ugoro umeshawaingia. Watoto wapendwa shikilieni hapo hapo.

    Hadithi hadithi. Hadithi njoo, uongo njoo, utamu kolea. Wale watoto wawili kwa nyakati tofauti wiki hii wameendelea kutema nyongo dhidi ya mkulu na kundi linalomzunguka ambalo inadaiwa ndilo linachafua hali ya katika kijiwe cha wadanganyika walio hoi bin taaban Kiuchumi na kiusalama pia...
  4. JamiiForums Tanzania Sunda, tajiri wa madini pale Mererani yuko wapi siku hizi?

    Ukisikiliza kibao cha “Rafiki” kilichoimbwa na Mr. Nice enzi hizo, utasikia akimtaja Sunda. Hakuimbwa kwa bahati mbaya. Huyu jamaa ni miongoni mwa watu walioshika pesa za madini enzi hizo hapo Mererani. Miaka imepita, sijamsikia. Yuki wapi siku hizi? Je, bado ana kibunda kama zamani? RIP...
  5. JamiiForums Tanzania Roho ya Mwanadamu Hupumzika Kati ya Hizi Sehemu Nne (4) Baada ya Maisha ya hapa Duniani

    1. Sehemu ya Wenye Haki Roho za wenye haki hupumzika kwenye sehemu yenye chemchemi ya maji angavu. Ni alama ya faraja, pumziko na tumaini la ufufuo wa uzima. 2. Sehemu ya Wenye Dhambi Wasiohukumiwa Duniani Hawa ni wale waliotenda maovu lakini hawakupata hukumu wakati wa maisha yao. Roho...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusiana na hizi kazi mbili nilizozipata?

    Habari za sahizi waungwana? Naomba mchango wenu wa mawazo. Nimepata ajira mbili kwenye kampuni mbili tofauti. 1.kampuni ya kwanza ni kiwanda cha wachina,kazi inahusiana na professional yangu niliyosomea(uhasibu) mshahara sio mkubwa kivile ni around 1.3m kabla ya makato. 2.kampuni ya pili nayo...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Jamani hivi hizi DAP, sijui 7 on 1 zina ukweli wowote au kiini macho?!!!

    Kama ni kweli hawa watakuwa binadamu wa namna gani?!!! Inakuaje watu saba wamuingilie mtu, tena kinyume na maumbile halafu anakenua tu?!! Hiyo double anal penetration (dap) nayo sielewi tu.......mpaka mtu afanye hivyo (uume mbili kuingia kwa pamoja njia ya haja kubwa) binadamu huyu alikuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Nimekaa nikawaza kuwa kila kitu ni ubatili. Siasa hizi ni ubatili

    Kuna vitu havielezeki ukiviwaza kwa ndani. Mojawapo ya jambo lidiloelezeka na kuonekana ni kama utoto wa kikubwa ni hii kesi inayoendelea ya Jamhuri dhidi ya Lissu. Unakaa unawaza, hivi kweli kabisa wanaume wazima wanapanga kesi na kutumia rasilimali za nchi kuendesha kesi batili dhidi ya mtu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nje ya wasabato wanawake wakristo wengi wanavaa "Nusu uchi" wameacha kuiga mfano wa mavazi ya Bikira Maria

    Hapo zamani ukienda kwenye makanisa wakristo walivaa kwa kujistili sana, Sketi ndefu, magauni, vilemba, nywele natural, n.k. Sikuhizi imekuwa kawaida kuvaa NUSU UCHI kuanzia Suruali, Taiti, Kimini, vigauni vinavyochoresha, Pedo, Kitop, n.k. wakijitetea mavazi hayana shida kinahoangaliwa ni...
  10. JamiiForums Tanzania Unatamani kuanzisha biashara ya event planning? Zijue hizi siri za kufika malengo ya wateja wako katika kuandaa matukio yao

    Kama mtu unayetaka kuingia kwenye biashara ya event planning, jambo kubwa linalokutofautisha na ushindani ni uwezo wa kuhakikisha kila tukio linaendana na malengo ya mteja wako. Tukio linaposhindwa kuendana na matarajio ya mteja, linageuka hasara, sio tu kwa mteja bali pia kwa sifa ya biashara...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna muda hizi siasa huwa zinachekesha sana

    Kila Muhula wa Rais mpya wananchi wanasiasa huponda kwakila jambo linalowagusa, Lakini Rais amalizapo tu miaka yake ya uongozi watu umkumbuka nakusema Bora yake kuliko huyu wa Sasa😁 Hata huyu wa Sasa ngoja amalize miaka yake utasikia milio namapambio yawale wale waliombeza
  12. JamiiForums Tanzania Hizi channel wanaopiga nyimbo 24/7 ni kwamba katika ulimwengu huu kuna nyimbo wanayo mtandaoni haipo ama?

    Upande wa tv kama wasafi, crown, trace, mtv kila ukifungua ni nyimbo, bussiness model ya hizi channel ikoje
  13. JamiiForums Tanzania Angalia kwa makini sana namna tumehusika kuanzia design mpaka ujenzi, Airbnb hizi Moshi, 2Bedroom kila unit tupigie 0624004650

    HIZI NI AIRBNB APPARTMENTS, CONTAIN 2UNITS EACH UNIT HAVE , GROUND FLOOR INA SEBULE,OPEN KITCHEN DINING NA PUBLIC TOILET JUU INA 2BEDROOMS ALL WITH SPECIOUS BATHROOM ,AND BALCONY. MPAKA HAPO MATERIAL + LABOR COST 175M
  14. JamiiForums Tanzania Faida 50 Unazopata Hapa Duniani Ukiamua kumfwata Yesu Kristo

    1. Anakupa amani ya moyo hata katikati ya changamoto. 2. Anakupa furaha ya kweli isiyoyumba kwa hali za maisha. 3. Anakupa hekima ya kufanya maamuzi sahihi. 4. Anakupa nguvu ya kuvumilia matatizo. 5. Anakufundisha kusamehe na kuishi kwa amani na watu. 6. Anakupa moyo wa upendo unaojenga...
  15. JamiiForums Tanzania Utakatishaji pesa siku hizi unafanyika hadharani mbele ya vyombo vya habari

    Hii harambe ya CCM kuna harufu ya utakatishaji fedha TAKUKURU wafanye kazi yao
  16. H

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu umebadilika? Kwanini nyakati hizi watawala wanawake wanaonesha ukatili wa kiwango cha ajabu?

    Kimazoe, mwanadamu wa jinsia ya kike, kwa kiasi kikubwa alionekana ni mtu mwema zaidi, mnyenyekevu zaidi, msikivu zaidi, asiye mdhulumaji. Ilikuwa siyo kawaida kumpata mwanamke akiwa jambazi. Lakini siku zinavyoenda mambo yamebadilika sana. Wanawake wa sasa, wengi wao, hasa waliopata nafasi za...
  17. JamiiForums Tanzania Tujadiliane kuhusu hizi tungo Tata

    Wanajukwaa habari za asubuhi. Leo naomba tudiscuss kiundani kuhusu tungo hizi tata 1.MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI 2.KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI 3.WAZURI HAWAFI 4.KIFO NI KIFO TU Karibu kwa mchango wako wa mawazo
  18. JamiiForums Tanzania Mbona nyuzi hizi zilikuwa hazifutwi na tunasema kabisa Jamaa atakufa 2021?

    Huu Uzi niliuandika nikiwa Corridor za Kremlin kuna jambo tulikuwa tunajadili na diplomat fulan https://www.jamiiforums.com/threads/ya-kabendera-aman-upendo-tukielekea-mwaka-mpya-tusihukumu.1672937/
  19. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kauli walizoambiwa wanafunzi wa udaktari na machief kwenye mitihani ya vitendo(practical)

    Habari zenu wakuu. Hizi ndizo kauli walizo ambiwa wanafunzi wa udaktari na machief kipindi cha mitihani ya vitendo(practical). Kama ifuatavyo 1: Hiyo diagnosis inabidi tuiandikie kitabu chake yenyewe. 2: Umeona hilo koti lako lilivyo jeupe ndio kichwa chako kilivyo cheupe. 3: Hiyo dozi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hizi kauli za Ulaya maisha magumu zinatafsiriwa vibaya

    …hizi kauli za “Ulaya maisha ni magumu” “makodi ni mengi”, zimekuwa zikitafsiriwa vibaya sana na baadhi ya watu huko Ukimani na wengine makima waliopo hapa hapa Ulaya (wasiokuwa na kazi wala wasiokuwa kwenye system)… Leo nataka niliweke sawa jambo hili, then tuangalie huo ugumu wa maisha ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…