hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Usizime Moto wa Gesi, Mafuta au Umeme kwa Kutumia Maji badala yake Tumia Njia Hizi

    USIZIME MOTO WA GESI, MAFUTA AU UMEME KWA KUTUMIA MAJI! Maji yanaweza kusababisha hatari kubwa kama mshtuko wa umeme au mlipuko wa gesi! Tumia dry chemical powder fire extinguisher (ABC) au fire extinguisher inayofaa! Usalama kwanza, jifunze njia sahihi ya kuzima moto...
  2. JamiiForums Tanzania Hizi simu zinashida gani mbona bei kitonga sana

    Naomba mnisanue kabla sijayakanyaga
  3. JamiiForums Tanzania Wakuu hizi pikipiki aina boxer za bm 125 hd 150

    Wakuu hivi zile pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story za watu wenye experienc mje mtoe ushuhuda na je zile bm150 gear 4 zilikua balaa kuzidi izi boxer HD 125 na HD 150 za sasa
  4. JamiiForums Tanzania Hizi ndio movie ambazo zimetazamwa zaidi Netflix. Ya kwanza ni ya Kikorea. Ngapi kati ya hizi umeshaangalia?

    Wakuu, Jana Netflix walitangaza kwamba movie au animation ya "K Pop Demon Hunters" ndio movie ambayo imeangaliwa zaidi Netflix. Hiyo filamu iliingia sokoni mwezi Juni na kufikia sasa imeshatazamwa zaidi ya mara Milioni 236 ambapo inakuwa ndio filamu (sio series) iliyotazamwa zaidi Netflix...
  5. JamiiForums Tanzania Jana pameandikwa uzi kuwa wanaume wengi siku hizi hatupigi mswaki wala kuoga, je ni sahihi pia kusema wadada nao wamekuwa wachafu kwenye maungio yao?

    Msnipige ban kabla sijaoga jamani..
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujua hizi Dola 45 na Dola 90 ambazo Watanzania wanatakiwa Kulipa JNIA ni za nini na kwanini?

    Tafadhali mwenye kujua kwa Undani kabisa jambo hili si vibaya tu akatupa Ufafanuzi wa Kiuchambuzi ili Wabongo tujue.
  7. JamiiForums Tanzania Ila Mikia wana run media watakavyo. Hizi mbinu sijui wanazitoa wapi?

    Angalia nyuzi. Ni Jersey za Simba hivi , jersey za Simba vile. Yanga tumezindua lakini nyuzi nyingi ni abt Simba. Why? Kwa nini? Nasi Yanga ndo tumekazana kuzi promote jersey za Simba. Mara zimevuja, mara zimefanyaje sijui.... Katika forum nyuzi 10 za sportz 7 ni kuhusu Simba. Iwe kwa mabaya...
  8. JamiiForums Tanzania Huduma za Graphics Designing. Tuwasiliane kama unahitaji huduma hizi kwa ajili ya biashara na matangazo.

    1. Uandaaji wa logo ya kampuni, biashara au huduma, lebo za bidhaa mbalimbali na muonekano wa vifungashio. 2. Uandaaji wa matangazo ya aina mbali mbali kwa ajili ya huduma, bidhaa au biashara yako. 3. Uandaaji wa tovuti kwa ajili ya biashara, huduma au bidhaa ulizo nazo. 4. Uandaaji na usimamizi...
  9. JamiiForums Tanzania Nimeanza kuwa na wasi wasi na hizi marathon za kibongo

  10. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC wenye Akili tunauliza je, hizi Jezi zetu mpya tunazotamba nazo kama Wendawazimu zimetengenewa na Kampuni gani ya Kimataifa?

    Na sisi wana Yanga SC tutashukuru sana tu kama tukitajiwa hiyo Kampuni ili tujiridhishe nayo kama kweli ni ya Kimataifa.
  11. JamiiForums Tanzania Ukiona Jezi za Klabu yote ile Tanzania haijatengenezwa na hizi Kampuni Tano Kubwa za Kimataifa jua hiyo Jezi ni Takataka na Toilet Paper tu

    1. Adidas 2. Puma 3. Nike 4. Umbro 5. Diadora Imeisha hiyo.......!!!!!!!
  12. J

    JamiiForums Tanzania Je, unazijua dalili za matokeo ya Novena ya Wakatoliki kwa ajili ya Haki na Amani katika Taifa letu? Asomaye na afahamu

    1: Viongozi wa Dhehebu hilo kukosolewa, kutukanwa, kubezwa na kukejeliwa. Kutokana na maonyo na ushauri wao kwa Serikali kwa ajili ya haki na amani ya nchi yetu. 2: Kutokea maamuzi ya ajabu ajabu nchini ili mradi watu wanakula mema ya nchi huku wengine wakililia haki na amani. 3: Wenye viburi...
  13. JamiiForums Tanzania ❗️❗️Kama unamiliki hisa za Benki hakikisha uanaelewa hizi ratio mbili muhimu: CIR & NPL.❗️❗️

    🔎 Unapowekeza kwenye hisa za benki, kuna vipengele vingi vya kuzingatia. Lakini kwa mwekezaji makini, kuna ratio mbili muhimu zinazopima ubora wa biashara ya benki: 1️⃣ NPL – Non Performing Loans (Mikopo Chechefu) Hii hupima ubora wa mikopo inayotolewa na benki. Kadri kiwango kinavyokuwa chini...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Kwa tuhuma nzito hizi za Polepole kukuhusisha wewe, mstaafu Kikwette, staafu siasa, sasa na hadharani!

    Umekuwa huku, umekuwa kule: Umekuwa ni mstaafu asiyestaafu? Kwamba chaguzi zimekuwa zikiibiwa chini ya uangalizi wenu! Kwa hakika wewe na CCM kwa ujumla wenu mmetukosea sana. Angalia ya stadium Mkapa na Morocco, yanakupa furaha gani wewe? Nyerere alikuwa huyu: Mheshimiwa, kumbe wewe...
  15. JamiiForums Tanzania Vijana wa buku 2000 hawawezi jua hizi mambo😂

    Nasikia bado zipo usukumani😂
  16. JamiiForums Tanzania Ni nyimbo gani kati ya hizi ilisumbua sana kimataifa?

    Wakuu, Nadhani wote tunajua kuwa sasa hivi Bongo FLeva haisikilizwa Tanzania pekee. Kuna watu kutokea pande mbalimbali za dunia wako busy kweli kusikiliza muziki wetu. Nimeona tujikumbushe ngoma za Kibongo ambazo wakati zinatoka hazikuhit tu Tanzania bali zilienda kusumbua hata huko duniani...
  17. JamiiForums Tanzania Njia hizi za malipo tunalipaje

    Wakuu Hapa tunafanyaje ili kulipia hapo kwa njia hizi?
  18. JamiiForums Tanzania Pamoja na kelele zote hizi Bado Mh Rais, sisi raia tunatekwa?hivi utatwambia Nini kwenye kampeni?

    Mh Rais Leo Kuna habari mitandaoni Kuna kijana kutoka mkoa wa geita mwimba nyimbo za injili ametekwa baada ya kutoa nyimbo iliyowauzi nyinyi watawala Je Mh Rais Hawa watanzania unao IKULU?
  19. JamiiForums Tanzania Tuache na kupigana ban sasa, ni wana JF gani utaweza kuwa recommend katika nyadhifa hizi za serikali?

    1: RAIS 2: WAZIRI MKUU 3: WAZIRI WA HABARI/MAWASILIANO 4: SPEAKER WA BUNGE 5: WAZIRI WA UTAMADUNI/SANAA/MICHEZO 6: MKUU WA T.I.S.S 7: IGP 8: WAZIRI WA FEDHA 9: MSHAURI WA RAIS 10: WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII
  20. JamiiForums Tanzania Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora

    Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora: 1. Drill Machine (Choropoa) – Kwa kuchimba kuta, mbao, nondo n.k. 2. Angle Grinder (Grinda) – Kukata chuma, bati, tiles, mawe n.k. 3. Cutting Machine (Circular Saw) –...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…