hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Air bnb,ni nini?,nawezaje kuanzisha biashara hii,inayoshika kasi kwa nyakati hizi.

    Wenye uelewa watujuze hii kitu,inafanywaje?,mazingira gani mazuri kwa biashara hii?, vyumba vya aina hufaa kwa biashara hii?je banda zuri la manyasi linafaa kwa biashara hii?vibali vyake vinapatikanaje?,jinsi gani utafawafanyia wateja bookings kutoka nje ya nchi,na mengineyo, Kwani,MH.Rais wetu...
  2. Kwa hizi ngumi zinavyotupwa, Nkane na Kibwana watakuwa na Bifu la kweli

    Nimecheki mkono hapa nilidhani masihara Kumbe jamaa wapo serious kweli
  3. M

    GE2025 Samia kataa hizi aibu, Ripoti ya Uchunguzi: Hitilafu na Utofauti Kati ya Matokeo ya Wilaya/Mikoa na Tangazo la Kitaifa la CCM, Mkutano wa Mtandaoni

    “Ogopa Mungu na teknolojia,” na tena: “Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.” Katika mazingira ambayo upatikanaji wa intaneti si wa uhakika—hata simu za kawaida hupata shida ya mtandao.lengo liliikiwa kunyima haki ya mawazo mbadala na kuendeleza hofu ya watawala. Matokeo yake yamekuwa aibu...
  4. MTEJA AMETUPIGIA NA KUWA ANAHITAJI NYUMBA KUBWA (6BEDROOMS)NA YENYE MUONEKANO WA KISASA AMBAO SI SIMPLE SISI TUMEMPA HIZI OPTION 3 WEW UMEPENDA IPI ?

    6BEDROOMS SEBULE KUBWA NA NDOGO JIKO 2 (WET KITCHEN AND DRY KITCHEN) DINING WITH PATIO MASTER WITH PATIO TUPIGIE KWA HUDUMA NZURI 0624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  5. Kwa nini hizi barabara za Mwendo kasi zifanye biashara?

    Kuwekwe kiwango fulani cha tozo kwa Gari binafsi kwa wale wanaotaka kutumia miundo mbinu hiyo ili kukwepa kero sugu ya foleni ya jijini Dar. Mathalani waweza kuchaji Gari dogo shilingi elfu hamsini kutokea Kariakoo au Ferry mpaka Mbezi au Kibaha au Chalinze siku wakifikia huko. Naamini kabisa...
  6. M

    Sifa za kusajiriwa kama mwandishi wa habari hizi

    Wanajamvi, nimeona niweke hapa sifa zinazotakiwa ili mtu aweze kusajiriwa kama mwandishi wa habari kwa mujibu wa Section 19 ya Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari, 2016 na Kanuni zake za mwaka 2017 (Regulations 17, 18, & 19). Wachangiaji wengi tumeingia kwenye mjadala bila kujua kwanza sheria...
  7. Tetesi: CCM kufuta Kanuni hizi ili mgombea wao asipate vikwazo

    1. Ulazima wa kuchukua na kujaza form 2. Ulazima wa kutafuta wadhamini 3. Ulazima wa majina matatu 4. Ulazima wa kupigiwa kura na mkutano mkuu Yote haya yanafanyika ili mgombea wa sasa asiendelee kushambuliwa kwamba kapita kwa njia haramu
  8. Hizi data za average IQ za Africa mzipuuze

    Hizi IQ tests zimefanywa kwa upendeleo tu na kuziwekea nchi za kizungu namba kubwa kwenye IQ tests ili tuzidi kuwaona ni superior, hii ndio tabia za hawa watu weupe. Vipimo vya IQ vilivuofanywa na Wechsler Adult Intelligence Scale (WAIS) na Stanford Binet Intelligence Scales vyote vimefanyika...
  9. Kauli kama hizi ndio zinazofanya kuwanyima watu chaji ya simu.

    Unakuta mtu anakuja akiwa mnyonge "brother una chaji type c simu yangu imezima naomba nibusti hata asilimia 5" kiroho safi mtu unampa chaji ili achaji kakimeo chake karudi kwenye uhai. Sasa huyu mtu kwa kukosa subira simu ikiwa chaji asilimia 1 tu anawasha sio case may be anataka awe hewani bad...
  10. S

    Azam hizi movie za jioni za Fahari na sijui Taswira za hovyo kabisa; movie ni Vacation na baba lao Kombolela

    Ina maana Azama mmekosa kabisa movie za maana zinazosisimua, zinazoburudisha na kuelimisha? Fahari haieleweki kichwa na mkia viko wapi, hakuna connection and continuity naona tu wahusika wanajazana kubadilishana huwezi elewa ht muelekeo na connectio from the past. Mtunzi wa hii kitu ni zero...
  11. Picha za AL hizi hapa kadhaa, Leta za kwako tuburudishe macho.

    Tecknolojia ya AI imekuja na mambo mengi na wengine wanajikuta kama wamepata rafiki vile, Leo baada ya uchovu wa kazi niliamua kupunzisha akili kwa kuangalia kitu/vitu vipya. Leta na za kwako za AI tu tuburudishe macho.
  12. Zamani ukitaka mchumba lazima utongoze lakini siku hizi ukimuita "MY" tu tayari

    Hii nimetoa FB, je Kuna ukweli? My wangu haszu
  13. Naombeni tofauti ya hizi kozi mbili

    Wakuu natanguliza shukrani kwenu. Naombeni mnipe tofauti ya hizi KOZI mbili ambazo ni 1.Barchelor of arts in community development 2.Barchelor of community development Hizi KOZI mbili zinatolewa kwenye vyuo viwili tofauti moja chuo cha ardhi na nyingine ni SUA. Naombeni mnisaidie utofauti...
  14. I

    Je, Simu Yako Inakupeleleza Bila Wewe Kujua? Hizi Ndizo Settings Hatari Unazopaswa Kuzima MARA MOJA!

    Je, Simu Yako Inakupeleleza Bila Wewe Kujua? Hizi Ndizo Settings Hatari Unazopaswa Kuzima MARA MOJA! Katika zama hizi za kidijitali, kila swipe, kila app unayofungua, na kila sekunde unayotumia kwenye simu yako inaweza kurekodiwa — si kwa nia mbaya kila wakati, bali kwa ajili ya uchambuzi wa...
  15. N

    Kozi hizi za degree zimesitishwa kwenye vyuo vifuatavyo, Fanya maamuzi mengine kama ulikuwa na mipango ya kusomea

    Vyuo hivi havitapokeo maombi ya kozi zifuatazo kwa mujibu wa Tume ya vyuo vikuu (TCU) SAUT Mwanza Bachelor of Laws Bachelor of Arts in Sociology Bachelor of Philosophy with Education Bachelor in Tourism and Hospitality Management UDOM Bachelor of Education in Science with ICT Bachelor of...
  16. Kuna namna fulani hivi nyakati hizi za kisasa u-kidume umekuwa bedazzled hata dogo uliemuona leo mtaani kesho unamuona ananyanyua vidole mitandaoni.

    Acha kuvaa vipensi vifupi vinavyobana mapaja na makalio. Acha kuwa motivated sana mambo ya kwenye tv. Hakikisha kufuatilia majarida na story books anazosoma mtoto wako mdogo. Mwanaume akimbilii kukaa na wadada kwenye hadhara. Mwanaume hapendi vya bure bure na offer za kila mara
  17. Nimepiga punyeto asilimia 75 % ya umri wangu sasa namashaka na sperm zangu

    Kama kichwa cha habari kinavyosema nilikua mraibu wa punyeto kupita kiasi takribani robo tatu 3/4 ya umri wangu na maisha yangu.. Nilianza uraibu wa punyeto baada ya kubalehe tuu na niliijua kupitia kwa kiongozi wa dini ambaye mpaka leo na muona kuwa ni shetani. yeye ndiye aliyenifunza kupiga...
  18. E

    Wajuzi saidia hapa Increment inaongezwa kwa utaratibu upi siku hizi!?

    Asiyejua asichafue tfdhl,,Wajuzi tusaidie.
  19. Anza Biashara Hizi kwa Mtaji Mdogo wa Chini ya 20,000/=

    Kama una chini ya Tsh 20,000, bado unaweza kuanza biashara halali na yenye faida. Hapa kuna mifano ya biashara kumi unazoweza kuanza leo, zikiwa na ushauri wa hatua kwa hatua. 1. Biashara ya Mikate na Vitafunwa Je, unajua kuwa kwa kutumia unga, sukari, mafuta na jiko la nyumbani tu unaweza...
  20. Hizi ndio features 2000+ ambazo huzifahamu kwenye WhatsApp

    ULIMWENGU WA SASA MATUMIZI MAKUBWA NI YA ARTIFICIAL INTELLIGENCE (ROBOT) NOW WHATSAPP KUNA ROBOT MAARUFU KAMA WHATSAPP BOT. ""baadhi ya features zilizopo kwenye whatsapp bot"" 1. VIEW STATUS HERSELF THEN JUST NOW 🙄📱Ina uwezo wa kuview status hata ukiwa offline muda wowote. 2. TUMA NYIMBO KWA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…