hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuna Maudhui Mengine kwenye Social Media yanapaswa kuzuiwa Tanzania

    Siingilii personal life na najua watu hasa hawa walioleft group wakiishi maisha yao hawani affect Lakini moja ya vitu vya hovyo ambavyo hawa watu wanafanya ni kuandaa content ambazo ni very sexualized, au mwanaume unakuta anajilegeza mno Sasa sikuhizi hadi watoto wadogo wana access na social...
  2. Donald Trump Hitler wa Zama Hizi?

    https://youtu.be/5uVhOvh4AvY?si=a9aETLRZuF9El3ww
  3. Hizi teams ambazo tumegoma kuzipa Ufadhili msimu huu zikicheza nasi zinauma sana meno

    Tumeona... Kuna huo ujinga kuwa kwa sababu hatujazidhamini basi zinakomaa zinapocheza na Yanga. Ili sasa kuvutia GSM iweke dau. Huo ni ujinga mbwah nyie. Yanga bado ni team bora Afrika kwa sasa. Na ina uwezo mkubwa sana. Tupo nayo na tunatamba nayo. Msimu huu pia tunachukua Kombe. Mtake msitake...
  4. Hizi Tume Magufuli alizikataa ni kuchezea Kodi za Watanzania sio kila Jambo linaitaji Tume

    Huyu mzee JPM r.i.p alikataa hizi tume aliona ni kutumia vibaya kodi za wananchi maskini leo hii kila jambo linaitaji tume then what next ni upotezaji wa kodi za walala hoi hizo tume zinatumia pesa nyingi bila tija
  5. Nguzo 5 muhimu za kufanikiwa kimaisha hizi hapa

    Mafanikio yapo katika pembe(angle) nyingi katika maisha. Mafanikio nini, kila binadamu ana tafsri yake kuusu mafanikio, mwengine ana amini kuwa na pesa nyingi ni mafanikio, mwengine kuwa na furaha ndio mafanikio. Mafanikio yapo katika angle tano muhimu ambazo ukielewa utakuwa na mafanikio ya...
  6. Mtaji wa laki 2 ( 200,000) Fanya biashara hizi

    Nataka niwatie moyo vijana wanaohangaika na mitaji mikubwa, basi tumieni hicho kidogo ulicho nacho Hakuna pesa isiyofanya biashara, pesa yoyote ina uweZo wa kufanya biashara na kuzaa nyingine Hapa nitashare na wadau biashara ya kufanya ukiwa na mtaji kiduchu 1. Nunua WiFi 3 Kwa 70,000 funga...
  7. M

    Wazee wa Masafa, Dar mpaka Mwanza unaondoka na ipi kati ya hizi ?

    LC 300 LC 300 HILUX NISSAN Y62 PRADO J250 Lx FORTUNER LAND ROVER DEFENDER FORD RANGER LEXUS
  8. Kuna kazi wanaozifanya sijawahi kuelewa huwa wanaishi vipi

    Wamachinga watembezi bidhaa barabarani, bar n.k. Wapiga debe, Wauza ice cream, Wabeba mizigo(makuli), Wachuuzi stendi, Waokota makopo(sijui hata kama ni kazi) Sijawahi kuelewa mtu anayefanya hizi kazi anawezaje kukidhi mahitaji yake ya chakula, mavazi, makazi na kuhudumia familia bila kukata...
  9. M

    Hizi breaking news za waarabu wa Mbwinde kwamba Netanyahu kauawa, source yake ni wapi ?

    Imekuwa too much sasa, kila kona uwakutapo waarabu wa Mbwinde utawakuta wakipeana habari za Netanyahu kuuawa. Ni wapi wanazitoa hizi habari ?
  10. Siku hizi hatutongozi tena wanawake… tunawapa tu “idea” tu!

    Kuna jambo nimekuwa nikiliangalia sana kwenye mahusiano ya siku hizi. Dunia imebadilika, na hata namna ya kuanzisha mahusiano imebadilika. Zamani kulikuwa na kitu kinaitwa kutongoza. Mwanaume alikuwa anakaa chini, anatafuta maneno mazuri, anahangaika kweli kweli mpaka mwanamke aelewe kuwa...
  11. Mwanamke anavaa shanga na hajui kukatika ni matumizi mabaya ya shanga

    Raha ya shanga mwanamke ajue kuzungusha kiuno asa unakuta mwanamke kavaa shanga afu kitandani gogo miuno zero.
  12. Mwigulu: Simba sasa hivi hawana striker, kwa sarakasi hizi anaweza akacheza huyu

    Utani wa Mwigulu Nchemba kwa Klabu ya Simba, "Sasa hivi hawana Mshambuliaji"
  13. Shetani kama ni kidume avae mwili kama Yesu kristo aje Duniani alete hizi tabia zake za kipumbavu

    Hapo vip! Nimetafakari sana juu ya Shetani anavyojificha katika ulimwengu wa roho na kuwatenda watu kwa hila kwa maarifa na kujificha...hii ni ishara ya uwoga,udhaifu,unafiki na uwongo. Sidhani kama akija Duniani na kwa wanadamu walivyokuwa na hasira naye kama watamuacha ata akae kwa amani kwa...
  14. Naomba kuuliza hivi Italy timu kubwa na maarufu na ina mashabiki wengi ipi kati ya hizi Juventus, AC Milan, Inter Milan, AS Roma, Napoli

    Hapa nani mkubwa kuzidi wenzie maana hapo hizo timu huwa sielewagi nani maarufu. Na yenye mashabiki wengi kuzidi zote hapo
  15. Alietengeza mgogoro wa Aridhi Ngorongoro ndo anapokea riport ya tume leo tuache cheap politics hizi haziwezi kusogeza taifa popote

    Wakati mgogoro wa aridhi unaendelea kweli kama anaejiita amiri jeshi mkuu alishindwa kutoka na kusimama na kusema wamasai hawatikiwi kwenda popote wabaki ngorongoro kauli yake si ilikua inatosha tu kuweza kutatua huo mgogoro mpaka iundwe tume hiyo tume itumie kodi za wananchi maskini kulikua na...
  16. L

    Hizi ni Documents Tatu unazo hitaji Wakati wa Ku file annual returns

    Habari mjasiriamali, Kama wewe ni mmiliki wa Kampuni nikukumbushe kua kila mwaka unatakiwa ku file annual returns. Sasa hizi ni Documents Tatu unazohitaji kuwa nazo wakati wa ku file annual returns; 1. Form no. 128 Hii fomu inabeba taarifa zifuatazo Wamiliki wa Kampuni ambao ni shareholders...
  17. Responded NIDA: Kujua kama Kitambulisho chako cha NIDA kimechapishwa, huna ulazima wa kwenda Ofisini, unaweza kujua kwa njia ya Mtandao

    Baada ya Wananchi mbalimbali kupitia Jukwaa la JamiiForums.com kuweka wazi malalamiko yao ya kutopata taarifa ya kujua lini hasa kitambulisho cha NIDA kinakuwa tayari kwa wale wapya waliojisajili na wale ambao wamefanya mchakato wa kupata vitambulisho vipya, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa...
  18. Kiongozi mwenye kuukumbatia umaskini hafai kwa nyakati hizi

    "Mimi nimetokea familia maskini", "Mimi nimelala kwenye ngozi ya ng'ombe badala ya godoro".... "Mimi sina biashara yoyote na kiasi nilicho nacho benki hakizidi hata Tsh 20m".... viongozi wenye kauli za aina hii HATUWATAKI. Hakuna ufahari wowote kwenye umaskini. UMASKINI NI LAANA. Ninaandika huu...
  19. Hizi prank za vijana kujifanya machizi zinazidi kuongezeka zina tafsiri mbaya kiroho

    Zamani zetu kuwa chizi/ kichaa ilikuwa msiba wa kaya na jumuiya yote ya eneo hilo Sababu za uchizi zilitafutwa na kufanyiwa utafiti. Familia husika ikifanya kila liwezekanalo isihusishwe na vinasaba kwakuwa ingekuwa na impact mbaya kuanzia mahusiano, uongozi mpaka biashara Sababu maarufu...
  20. Wamiliki wa hospitali binafsi wanajua kweli gharama wanazokutana nazo wagonjwa?

    Dah, nipongeze utaratibu wa baadhi ya kampuni zinazotoa huduma za kadi Zaidi wewe uliyelipia hela ndefu kupata kadi hiyo. Ukweli nimewaza sana, hivi hawa wamiliki wanakufaga kweli? Ama ndugu zao wanakufaga? Mbona gharama kubwa sana aisee, kama vile hawaoni pepo. Embu kaeni chini mjadiliane...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…