historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania FT: Brazil U-20 4-1 Tanzania U-20 | FIFA U-20 WOMEN’S WORLD CUP | Stadion Miejski, Bielsko Biała, Poland | 10:00 Jioni

    Safari ya timu ya Taifa ya Tanzania ya wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite Queens, katika mashindano ya FIFA U-20 Women’s World Cup Poland 2026 inaanza leo, Septemba 5, 2026, kwa kukutana na Brazil katika mchezo wa Kundi B. Mchezo huo unaweka historia kwa Tanzania, kwani Tanzanite Queens...
  2. JamiiForums Tanzania Agizo la Siri kwa Uhamiaji, wapewa amri kila MTANZANIA anayeingia nchini achunguzwe historia yake ya machapisho mtandaoni

    Kwanza ni upotezaji wa Muda, Pili Magufuli alijaribu akafeli, tatu Tanzania si wajinga wako anonymous! Wanaweza sumbua watu maarufu na wamiliki wa Platform kadhaa lakin si mtu simple Hii wanasema ianze September 4/ 2026 Britanicca
  3. JamiiForums Tanzania Usifungwe na historia yako

    Hakuna kitu watesi wanakipenda kama historia. Utahukumiwa kwa maamuzi na maisha uliyoishi jana. Utatiwa unyonge kwa historia yako mwenyewe uamini kuwa maisha ya jana hayabadiliki na ukishakosea ndio basi. Watesi huamini nyakati haziwabadilishi watu. Ulivyokuwa nyakati hizo ndivyo utakavyoendelea...
  4. JamiiForums Tanzania Yaya Toure aandika historia, kocha wa kwanza mwafrika kuipeleka timu Ligi ya Mabingwa Ulaya

    Nyota wa Zamani wa Soka Africa, Yaya Toure ameweka rekodi ya kipekee baada ya kuwa kocha wa kwanza Mwafrika kuifikisha timu katika hatua ya ligi ya UEFA Champions League, bila kufungwa hata mchezo mmoja katika safari hiyo ya kufuzu. Timu yake ya Slovan Bratislava imepita kwenye michezo kadhaa...
  5. JamiiForums Tanzania Historia ya Makamu wa Rais wa Tanzania: Kuanzia Karume hadi Ndejembi

    Historia ya nafasi ya Makamu wa Rais nchini Tanzania imebadilika sana tangu Muungano wa mwaka 1964. Tanzania ilianza ikiwa na Makamu wa Kwanza na Makamu wa Pili, mfumo ambao ulihusisha kwa karibu nafasi ya Rais wa Zanzibar na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano. Mwaka 1995 mfumo huo ukabadilika...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Dk Nchimbi aingia kwenye historia ya vigogo waliotimuliwa CCM kisa kutofautiana na Rais, chama

    Siku mbili baada ya Dk Emmanuel Nchimbi kujiuzulu nafasi ya Makamu wa Rais, hatimaye CCM imemfukuza uanachama. Taarifa ya kufukuzwa kwa Dk Nchimbi ilitolewa saa 4:30 usiku wa Agosti 26, 2026 na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Asha-Rose Migioro katika ofisi ndogo za makao makuu Lumuumba Dar es...
  7. JamiiForums Tanzania Afrika Inatishwa na Historia Yake Yenyewe

    Mzungumzaji anaeleza kuwa viongozi waliopo madarakani wanataka kuandika historia inayowatukuza wao pekee badala ya mashujaa wa kweli: "Afrika inaogopa historia yake yenyewe Hili limekuwa tatizo kubwa sana." "...viongozi wa leo hawa waliokuja kuchukua madaraka baada ya uhuru wao wanataka...
  8. JamiiForums Tanzania Siri ya Kuanguka kwa Sayansi ya Misri ya Kale: Je, Ni Sababu za Kidini, Kisiasa, au Wazungu Walituibia Historia Yetu?

    Wakuu salamu, Kuna ukweli mchungu sana kuhusu Ustaarabu wa Misri ya Kale (Ancient Egypt) ambao mara nyingi haufundishwi mashuleni. Misri haikupotea kwa sababu majengo au mahruba (pyramids) yalibomolewa. Kilichopotea ni kitu chepesi lakini cha thamani zaidi: Mnyororo ulio hai wa watu waliokuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Tupate historia leo katika soka! Ipi imekukosha zaidi?

    Tarehe 24 Agosti imeacha alama kubwa katika historia ya soka, kuanzia rekodi za Arsenal, hat-trick ya Thierry Henry hadi mafanikio makubwa ya Bayern Munich. Haya ni baadhi ya matukio muhimu yaliyotokea siku hii: 1997: THIERRY HENRY AWEKA ALAMA LIGUE 1 Akiwa na miaka 20 tu na akiichezea AS...
  10. JamiiForums Tanzania Historia ya CHADEMA: Ilipotoka ilipo na iendako

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ndicho chama kikuu na chenye nguvu zaidi cha upinzani nchini Tanzania. Kikiwa kimeanza kama kikundi kidogo cha wasomi, kimekua na kuwa tishio kubwa zaidi la kitaasisi dhidi ya utawala wa miongo mingi wa chama tawala, Chama Cha Mapinduzi (CCM). Chama...
  11. JamiiForums Tanzania Maelfu ya wananchi wafika Julius Nyerere Hydro Power Plant kushuhudia uzinduzi wa kituo hiko

    Hapa ni Julius Nyerere Hydro Power Plant, yaani Kilipo Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere MW 2,115 ambapo uzinduzi wa kituo hiki utafanywa rasmi leo Agosti 22, 2026 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Maelfu ya Wananchi wameshafika tayari kuwa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Watu Wenye Ushawishi mkubwa katika Historia

    Nimetoa Facebook kama ilivyo, je nilikuwa nauliza 21 Isaac Newton na 93 Nikola Tesla walivumbua vitu Gani
  13. JamiiForums Tanzania Kwaheri John Iliffe (1939 - 2026) Muokozi wa Historia ya Tanganyika

    https://youtu.be/JUp3UJpK4U8?si=T5QSIKAgYlmQXyT0
  14. JamiiForums Tanzania SEKIONE KITOJO:- SAUTI ILIYOACHA ALAMA KATIKA HISTORIA YA UTANGAZAJI TANZANIA

    Kuna baadhi ya watangazaji ambao hawakuwa wanatangaza tu habari au mpira; walikuwa wanaifanya redio iwe picha inayotembea kichwani mwa msikilizaji. Miongoni mwao ni Sekione Kitojo, jina ambalo kwa wasikilizaji wa zamani wa Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD) na baadaye Deutsche Welle (DW)...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Usijiweke kwenye kundi moja na Imelda Marcos. Bado unaweza kujinasua na historia kama ya Imelda

    Kundi la madikiteita waliowahi kutokea duniani.... As first lady of the Philippines, Imelda Marcos shared power in a "conjugal dictatorship" with her husband, Ferdinand Marcos, marked by severe human rights abuses, martial law, and the theft of an estimated $10 billion. While Ferdinand oversaw...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi dunia ina historia ya kuwa na Rais kichaa kama Trump? Sasa anajificha na kuzungukwa na silaha akihofia kuuliwa na muajemi halafu domokaya

    Wakati wa kampeni alipanga kupigwa shaba (kukunwa na shaba) akatamba si muoga, sasa anajificha... Ila kwa kweli huyu jamaa kama si mwehu basi uzee unamvamia vibaya mno na hastahili kubaki ofisini. Nilidhani ni sisi tu Afrika tuna maraisi wazee wang'ang'anizi wa madaraka hata akili...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto, Uhuru na Walinzi: Je, Historia Inajirudia?

    Rais William Ruto jana, Agosti 6, 2026, aliwakutana na maafisa wa usalama binafsi zaidi ya 5,000 State House, ambapo aliahidi kubadilisha matumizi ya majina “watchman” na “guard” na kuwatambua rasmi kama Private Security Officers (PSOs). Ruto pia alizungumzia kuboresha mishahara, heshima na...
  18. JamiiForums Tanzania Historia ya watu wengi ipo machoni mwao

    Macho hayafichi, tabasamu linaweza kufanya kazi ya kuku-brand ila macho yanabaki vile vile. Combination ya hurka yako na historia ya maisha yako ya nyuma hubebwa na macho yako. Makusudi yako yatafichwa na kukenua kwako ila sio macho yako. Machungu yako yatafichwa na kuchangamka kwako ila sio...
  19. JamiiForums Tanzania Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    Mwaka 1933, kutokana na hofu kuwa African Association ilionekana kuwa na sura ya Kiislamu pekee, waasisi waliamua kutenganisha dini na siasa ili kuwavutia Wakristo. Mzee Bin Sudi na Kleist Sykes walisema: "tuanzishe taasisi nyingine ili tuiondoe Uislamu ndani ya African Association". Jambo hili...
  20. JamiiForums Tanzania Huwezi Kukwepa Historia Hii na Ukabakia na Historia ya TANU

    Wajenzi Halisi" wa Tanganyika "Harakati hizi za kudai uhuru zimeanza Dar es Salaam Kariakoo Gerezani... na walioanzisha hizi harakati ni wazee wangu." "Mbona hizi historia zimepishana hivi?" (Swali la kijana aliyesoma historia shuleni dhidi ya maelezo ya Mohammed Said). "Mbona mnaweka historia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…