Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).
Kuanzishwa kwa uundaji na ukarabati wa vichwa vya treni za MGR (Meter Gauge Railway) nchini ni hatua kubwa kwa maendeleo ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) na Taifa kwa ujumla.
Kiteknolojia
Hatua hii inaashiria mwanzo wa kujitegemea kiteknolojia. Tanzania inaanza kujenga uwezo wa ndani wa...
Tumesoma vitu vingi kuhusu historia, tumesikia pia zikisilimuliwa ila zipo ukisikia unahisi kama kuna namna kuna kipande kilipindishwa na ukweli wake kufichwa.
Mfano mie kila nikisikia kuhusu Maeneo fulani ya nchi yetu yenye vivutio kugunduliwa na wagezi huwa naona kuna uongo kabisa...
Waarabu ndio waliomfukuza mtume kutoka Makka na kumfanya akimbilie Madina.
Waarabu ndio waliowatesa waliosilimu na kuwapa adhabu kubwa.
Kwa hivyo asili ya waarabu wakipinga uislam.
Kwa hivyo usishangae nchi za uarabuni leo kushirikiana na wasiokuwa waislam.
History hujirejea.
Wakiristo...
Jamaa anatangaza bolu dakika tano, dakika 40 anasimulia mambo ambayo hayana hata umuhimu, kipindi kinakuwa kimeisha anaboa sana.
“ametokea stade malieee akiwa MVP, akaenda kwenye kikosi cha kocha Gamondi akiwa na depu”
“Djigui Diarra alienda kumfata refa pale maana anatabia za uongozi alikua...
Watanzagiza wanaangamizwa na kuangamia kwa kukosa uelewa wa historia, wengi hawaelewi historia ya hii nchi tuishio, muslim wanailewa vizuri na ndiyo maana wako ahead of the game, nashauri raisi ajaye (kama hata kuna kitu kama raisi ajaye tena ambaye siyo muslim) kama siyo mwana historia basi...
Historia inaonesha uongozi unaweza kuwa halali Kisheria lakini ukakosa uhalali wa kijamii
Takribani miezi minne baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Tanzania inakabiliana na kipimo halisi cha demokrasia yake na uwezo wa upinzani kuwakilisha sauti za wananchi.
Kwa mujibu wa utafiti wa...
Habari wakuu, moja kwa moja kwenye mada. Kwanza naomba mtambue sitaki kuleta mtafaluku kwenye dini zenu, nataka kujua kama hili gape la tofauti kati ya uhalisia na maandiko yenu hamlioni??
Natamani niweke vifungu vya maandiko lakini uzi utakua mrefu sana na utaboa. Naomba leo tutumie kigezo cha...
My Take
Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao.
Kama kawaida watakuja kutukana 🤣🤣🤣👇👇
====
Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa nishati ya jua...
My Take
Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao.
Kama kawaida watakuja kutukana 🤣🤣🤣👇👇
====
Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa nishati ya jua...
Haya ni majibu ya swali dogo tu la "Jamiiforums ni nini ? hakuna kitu ulicho kiacha nyuma imefunguka kila kitu.
Picha ni JamiiAi Screenshot
Picha ya pili 2
1re
Picha ya tatu 3
Picha ya nne 4
Picha ya tano 5
picha ya sita 6
Muhimu:
Ikumbukwe JamiiAi imejengwa kwa teknolojia...
MWANAMAPINDUZI JOHN OKELLO
John Okello ambaye aliongoza Mapinduzi ya Zanzibar alizaliwa mwaka 1937 huko Uganda katika kabila la Lang'o ambalo pia ni la Rais wa Zamani wa Uganda Milton Obotte. Alizaliwa akiitwa John Gideon Etuku. Wazazi wake walifariki Akiwa bado mdogo na kulazimika kwenda...
Samia ndio Rais Aliyetoa Ajira Nyingi Kwa Wananchi Kuliko Rais mwingine Yeyote Katika Historia ya Tanzania.
Yaani Toka 2021 amekuwa anamwaga maelfu ya Ajira Kila mwaka Kwa Vijana kiasi kwamba kuwakuta jobless mtaani imekuwa nadra sana.Pia Soma (1) Rais Samia Ni Mwamba Kwelikweli Na Chaguo La...
Guantanamo bay ambacho ni kituo cha jeshi la Marekani katika ardhi ya Cuba pwani kilijipatia umaarafu sana baada ya vita vya ugaidi kuanzia mwaka 2001.
Hapo Guantanamo bay ndipo walipokuwa wanashikiliwa kama mahabusu watu waliokamatwa na vyombo vya US kutoka nchi nyingine wakituhumiwa kama...
NANI ANAHUSIKA NA KUTUNZA KUMBUKUMBU NA HISTORIA YA BABA WA TAIFA?
JIWE LA KUMBUKUMBU YA NYUMBA YA MTUMWA SULEIMAN ALIYOFIKIA MWALIMU NYERERE 1954
Mmoja kati ya wafuatiliaji wa Maktaba kanitumia picha ya jiwe linalotumika kama kumbukumbu kueleza nyumba ambayo alifikia Mwalimu Nyerere, Mtaa wa...
Watu hujiuliza wana uhusiano na Waisilamu,Waisilamu Wanafuga Majini?
Majini ni viumbe wa Mwenyezi Mungu wameumbwa miaka 2000 iliyopita kabla ya kuumbwa mwanadamu,wao wanatuona sisi hatuwaoni,Jini ameumbwa kutokana na moto binadamu ameumbwa kutokana na mchanga na maraika wameubwa kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.