Nahitaji kununua hisa, ninaanzaje?

Nahitaji kununua hisa, ninaanzaje?

Gumasa

Member
Joined
May 10, 2023
Posts
62
Reaction score
63
Jambo wakuu!

Baada ya kusoma maandiko mengi sehemu mbalimbali yanayohusu ununuzi wa HISA,sasa ninajaribu kufikri kwa kina ili niweze kufanya maamuzi.

Ninaomba kueleweshwa kwa ufasaha na uaminifu hatua za kufuata,usalama wa fedha,kiwango cha mtaji na mahali pa kuwekeza ili nipate faida.
Ahsante!
 
Ili ununue hisa, lazima upitie kwa madalali wa hisa waliosajiliwa. Kumbuka hawa watu sio ndugu zako na hawajali kama utapata faida au hasara, wao watakuwa wanachukua kamisheni yao kila unaponunua au kuuza. Kwa hiyo, usitegemee wao wakufanyie maamuzi ya nini ununue. Lazima ujiongeze mwenyewe.
 
Jambo wakuu!

Baada ya kusoma maandiko mengi sehemu mbalimbali yanayohusu ununuzi wa HISA,sasa ninajaribu kufikri kwa kina ili niweze kufanya maamuzi.

Ninaomba kueleweshwa kwa ufasaha na uaminifu hatua za kufuata,usalama wa fedha,kiwango cha mtaji na mahali pa kuwekeza ili nipate faida.
Ahsante!
Kwa mtazamo wangu

Kununua HISA ni maumivu tu kwa wenye kipato kidogo, SABABU kubwa gawio la hisa mara nyingi haifiki hata 5% ya value ya hisa, sometimes even ni 3.0% ya value ya hisa.

Meaning, mjanja aliewekeza kwenye Fixed Deposit ambayo mabank mengi yanatoa 12% interest inakupa zaidi kwa thamani ya pesa yako.

Hisa zinalipa kama ukiwa na subira may be 8 - 20 years ndiyo utakuta thamani ya uwekezaji wako inaweza hata kuwa 20 times

In short HISA kiukweli ni kwa wenye pesa nyingi na wanoweza kuwa na subira kuziacha muda mrefu.
 
Back
Top Bottom