hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Wazee wa kubring bring kuna hii bidhaa check kutoka china

    🌟 Timeless Elegance Meets Affordability: PT950 Platinum Ring 💍 HomeJewelry 🌟 Timeless Elegance Meets Affordability: PT950 Platinum Ring 💍 The on Original PT950 Platinum Ring AliExpress combines luxury, quality, and affordability, making it a must-have for any jewelry enthusiast. At just 💵...
  2. Hii Ngoma ya Joel Lwaga Imekua ni National Anthem. Wachawi haeakosekani hata wenye chuki pia, lakini imeenda

    Yes! No one saw it coming ..wafia dini wanasema eti ni bongo flavor. Hawasikilizi message. Hii hapa... Kaka Joel mimi binafsi nlikua sikujui, ila kuna siku nlikuta wimboo huu unapigwa mahali nikauliza huyu nani? And the rest is this thread. Keep it Up
  3. Hii ni special kwa makada wa CHADEMA

    Tumeona jana mwenyekiti wenu akisema masuala ya ndani ya chama chenu ya yeye kuendelea kuwa Mwenyekiti ni yenu binafsi. Hivyo basi msiwe mnatushirikisha sisi raia wa kawaida kuhusu mambo yenu na ikitokea mkaonewa kaeni chini na waliowaonea na kutafuta solution na sio kutoka nje na kuanza...
  4. Miradi ya EPC+F yamuondoa Waziri Bashungwa Ujenzi, Mpina alionya mikataba hii miaka 2 iliyopita akapuuzwa

    MSIKILIZE HAPA MH RAIS SAMIA KUHUSU EPC+F LEO TAREHE 10 DISEMBA 2024 https://youtu.be/8RqWIsRYKvQ?si=Q7tQR3tXSsYr95au MSIKILIZE HAPA MPINA AKIPINGA EPC +F TAREHE 26 May 2023 https://youtu.be/xFIULsHcw8o?si=b7d9zumzL3OvPb0e SIKILIZA HII HAPA SIKU YA KUSAINI MKATABA WA EPC+F TAREHE 17 Jun...
  5. Na hii ndio maana halisi ya ule msemo wa kusema Mungu ni roho

    Kiuhalisia ni kwamba mara nyingi watu wamekua wakisema Mungu ni roho, namimi nakubaliana na hii kauli ya kwamba ni kweli Mungu ni roho, lakini tujiulize kidogo je, Mungu ni roho kwa namna gani? Kwa maana maandiko husema ya kwamba sisi tuliumbwa kwa mfano wake. Kwahiyo kama sisi tumeumbwa kwa...
  6. Je hii ni njia mpya ya kuingiza kipato? Makato ya kushtukiza katika simu

    Habari zenu? Natumaini wote mko salama. Je, hii ni njia mpya ya kutengeneza kipato? Is this a new hustle? Mara kadhaa imewahi kunitokea katika simu nakuta hela inakatwa, kama vile nimeongeza vocha halafu nataka kuunga kifurushi naambiwa salio halitoshi. Kipindi cha nyuma nilikuwa nasamehe...
  7. Hongereni Watanzania Kwa Miaka 63 Ya Uhuru

    Kwanza tupongezane sote kwa siku hii ambayo ni kumbukizi ya Uhuru ambao wapendwa wetu walipambana kwa jasho na damu mpaka leo hii tunajitawala na kuyaendesha mambo yetu kwa utashi na uhuru kabisa bila bughudha yoyote ile. Ilikuwa ni ndoto ya waafrika wengi kutaka kuwa huru dhidi ya utawala wa...
  8. Usitumie hii mbinu kwenye mapenzi utakuja kufa!

    Waswahili wanasema "Kata mti panda mti!". Huu msemo usiulete kwenye mapenzi utakuja kufa ulimi nje!. Baada yakubwagana na mpenzi wangu chapchap kuuponya moyo,roho na nafsi yangu nikaamua kutafuta mpenzi harakaraka ili ku cover nafasi iliyoachwa wazi!. alikuwa binti fulani hivi ndembendembe...
  9. M

    Application yangu hii hapa kwa sasa ni ya android ipo testing naomba ushauri wako..

    Hello wakuu nimetengeneza application ya simu inayohusiana na Real estate jisajili tumia weka comments...
  10. Kama mwanaume hii unaweza kweli

    kama
  11. M

    Kurujuan ya mzee MAGOMA inaendelea kufanya kazi ndani ya mtaa wa Jangwani. Lini hii slow pacha itazibwa?

    Eng Hersi na boss wake GSM wakae chini wayamalize na mwanachama kindakindaki wa Yanga,maarufu kama mzee Magoma. Mzee huyu alisikika katika vyombo vya habari akitoa kauli ya kuwa yanga ina slow pacha na haya ni matokeo ya Kurujuan yake aliyoisoma kwa kila ambaye ana mpango wa kuidhulumu Yanga...
  12. Kiukweli kabisa hii wala sio timu yetu. Timu yetu ameondoka nayo Gamondi

    Tulitegemea kuwa na msimu mzuri sana kwenye CL mwaka huu ila viongozi wameuharibu kwa sababu wanazozijua wao.
  13. CCM wanaishi kwa Uongo, Na hii ndo laana Kuu itakayoliandama hili Taifa milele CCM likiendelea kuwa chini ya CCM

    Kuna masuala yapo kiroho. Kuna mambo yanatupata leo kutokana na misingi iliyowekwa kiroho ambayo bila kuondoa mzizi mkuu kamwe hatutakuja kupata suluhisho. CCM wanaishi kwa uongo na hii ndo dhambi kubwa itakayoendelea kulitesa hili Taifa hadi pale yatakapotokea mabadiliko kwa CCM kuondoka...
  14. F

    Tunamhitaji Mbowe, Zitto, Lipumba na wapinzani wengine wote kusimama imara kwa umoja kuna mambo hayaendi sawa nchi hii

    Sisi ndio tutakaoteseka kama mambo yataendelea kama yanavyoendelea sasa hapa nchini. Kwa kweli tumerudi nyuma mno kwenye masuala ya uongozi na usimamizi wa utendaji wa watumishi wa serikali na rasilimali zetu. Huu ndio wakati muafaka sana kwa viongozi wa upinzani kuungana na kuwa sauti moja...
  15. L

    Serikali iondoe utaratibu wa kukata bima ya mkopo kwa mkupuo kwa watumishi wanapochukua mkopo bank

    Tunajua kuwa watumishi wengi karibu wote wanatumia mikopo kuendeleza/kuanzisha biashara zao,kusomesha watoto,kujisomesha na mambo mengine. Hapo miaka ya nyuma kidogo bima ya mkopo ilikuwa inalipwa kwa awamu mpaka mkopo unaisha hii ilitoa nafuu kubwa Sana kwa mkopaji kwa sasa bima hii inakatwa...
  16. American Renegades: Naitafita sana hii movie.

    Wakuu,naomba msaada kwa yeyote mwenye link ya site kwaajili ya ku-download hiyo movie.
  17. Hii kampuni nikweli au matapeli?

    Nimefika nyumbani muda huu namkuta dogo yupo busy kwenye simu yake anatrade kwenye hii kampuni ya mtandaoni Anadai nimsaidie ku withdraw na Mimi nikamwambia awatafute customer care wamsaidie lakini baada ya kuwatafuta wapo wanamzungusha tu Badae nimemwambia aachane nao Sasa najiuliza hii...
  18. Jukwaa la Siasa Tanzania: Kwa Nini Vijana Wanajihisi Kusalitiwa na CHADEMA?

    Nakumbuka mwaka 2015 jijini Dar es Salaam, kipindi ambacho kishindo cha kampeni za CHADEMA kilikuwa kikubwa. Kati ya matukio yaliyonivutia ni kundi kubwa la watu nililoliona maeneo ya Magomeni likielekea Msimbazi kuhudhuria mikutano ya chama. Ingawa wakati huo sikuwa na mshikamano wa karibu na...
  19. G

    Mungu aliagiza tukaijaze dunia. Hii habari ya kuoana imetoka wapi?

    Mungu aliagiza tukazaane tuijaze dunia, wala hakusema tuoane. Huu ubunifu wa kufuga mtoto wa mtu kwa lengo la kunyanduana tu ulianzishwa na nani?
  20. H

    Naomba makadirio ya fedha ujenzi wa nyumba hii

    Kiasi gani cha fedha kinahitajika hapa, kukamilisha ujenzi nyumba kama hii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…